Kwa Hali inayoendelea nashawika kusema 2025 CCM iondoke madarakani au utawala ubadilishwe!

Una matatizo binafsi ya uchawa yamekupofusha macho
 
Haya ni mawazo ya kipuuzi sana na zaidi ni ya watu wenye umri kama wako.
Moja ya sifa yangu kubwa humu jf ninayojivunia ni being a realist, yaani kuwa mkweli daima toka ndani ya nafsi yangu, kwa upinzani legelege na nyoronyoro uliopo, bado hakuna chama cha kui check out CCM kwa huku bara!. Serikali za Mitaa ni CCM na uchaguzi mkuu wa mwakani ni CCM!.

Wapinzani tumeisha washauri Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030!

Wapinzani labda 2030 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
 
Bado ipo vizuri maana Mama anaupiga mwingi.
 
Shida si yale mambo ya Nape kuwa inategemea nani anatangaza?
 
Wawe wamaasai wawe wamakonde ama wowote wale bado hoja za kulinda mazingira hazipotezewi mashiko yake....

Ngororongo ni turathi ya dunia...

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kulinda mazingira msitumie kama kivuli cha kufanya upumbavu wenu si juzi wanasema hata Mbuga za wanyama zianze kuchimbwa madini unajua impact yake kwenye mazingira ukikubali kuchimba madini kwenye mbuga za wanyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…