Basi muambie tukapime.Mkuu hiyo inategemea aisee. Kwa mfano kimtaani mtaani ndio mwanamke anamwambia hivyo mwanaume ujue ndio amejiharibia na hatofuatwa tena. Kwanza kutongozwa kwenyewe atakusikia kwenye bomba.
Ni zaidi ya Amani kwa nilikua nina miaka 5 sijapima.Lakini sasa una amani moyoni
Unataka asemaje,Wee huu ugonjwa unauona wa kawaida eeh,..huu ugonjwa ni balaaHizi lugha ni moja ya chanzo cha watu kukataa kupima na hata wakikutwa + wakaja kusikia lugha kama hizi ndio mwanzo wa kufa moyo.
Tatizo sio kupima na wala tatizo sio huu ugonjwa , tatizo ni watu wanauchukuliaje huu ugonjwa!
Ni muhimu sana kwa kila hospitali kuweka utaratibu wa lazima kwa kila mgonjwa anayefika kutibiwa apimwe Ukimwi kwanza!Targert ya WHO ni kuwa ifikapo 2020 kila mwathirika awe kwenye tiba mpaka sasa hivi Sweden imaongoza kufika lengo hilo
Kwani huwa tunakataa basi mkuu, na pia nikwambie tu ukweli katika upimaji wa Ukimwi wanawake ndio wenye ujasiri kuliko wanaume mana mna kona kona nyingi.Basi muambie tukapime.
Sio kwa kunichekesha huko mkuu. Au unakuta mtu ameenda mwenyewe kupima wakati wa kusubiri majibu unasepa lol.Hata kama unajiamini vp. Ukienda kupima lazma upatwe na tumbo la kuhara unapo subiri majibu. Wengi tunajitunza sana njia tunazopita ila bana acheni kupima lile dude sio masihara.
Sabab kuna totoz nyingi sana zinaita zinamvuto hatari ila 65% to 70% of them unakuta washaungua.
Ni kweli udhaifu wetu sisi wanaume ni kwenye kupima mtu atatoa sababu nyiingi ili kukuzungusha tu.Kwani huwa tunakataa basi mkuu, na pia nikwambie tu ukweli katika upimaji wa Ukimwi wanawake ndio wenye ujasiri kuliko wanaume mana mna kona kona nyingi.
Kuna kijana mmoja msomi hapa mtaani kwetu alipata fursa ya kwenda kufanya kazi kwenye kiwanda kimoja kikubwa nchini marekani, baada ya kufanya maandalizi ya kwenda safari yake alilazimika kufanyiwa vipimo vya afya ikiwemo HIV test, alipopimwa alikutwa Positive, ni takribani mwezi sasa tangu apime kijana huyo ambaye alikuwa ni handsome kwa muonekano wa mwili wake kwa sasa amekuwa zaidi ya babu kizee, amekonda amebaki mifupa na kutembea kwake kwa shida, nashindwa kuelewa ni kitu cha ghafla kilichompata kijana huyu mpaka kuwa na hali hiyo, anyway, na kwa niliyoyaona sitashawishika kupima Ukimwi bora tu niendelee kuishi kwa matumaini. NB :Sishawishi wengine wasipime huo ni msimamo wangu tu.
Tupunguze uasharati jamani Ukimwi bado upo.
Sent using Jamii Forums mobile app
homgera sana mdau, ni mungu tu kakuepusha,yupo mmoja namfahamu ana mwili balaa na ana tako uspime lakin kaathirika, na hao nyeshi dalili ya kuumwa hilo gonjwaBaada ya condom kupasuka tukiwa tunagegedana nikamwambia tukapime akakubali alionyesha hofu lakn alijitahidi kuificha.
Tukaenda wote tulipopimwa tukatoka nje kusubiri majibu. Baada ya dakika 20 akaitwa na kuchukuliwa damu mara ya pili.
Muda wa kupewa majibu ukafika. Kweli bhana kumbe anaishi na maambukizi ya VVU.
Nikaeleza mbivu na mbichi nikapewa PEP. Nikazimeza kwa mwezi Mzima. Dawa zile ni kali mno, zinalevya mno na kuchosha. Ndoto za maruweruwe ya kutisha.
Nilipomaliza dawa nikaenda CTC pale Amana. Nikapima Nikaambiwa sina maambukizi. Nikakaa mwezi mmoja nikapima tena nikaambiwa sina.
Yule mwanamke huwezi kumdhania kabisa. Tena ni mnene na ana kalio la haja linaloweza kukudanganya. Kumbe ndani ameungua.
Sio kwa kunichekesha huko mkuu. Au unakuta mtu ameenda mwenyewe kupima wakati wa kusubiri majibu unasepa lol.
Hayo yashawah kunitokea.Baada ya condom kupasuka tukiwa tunagegedana nikamwambia tukapime akakubali alionyesha hofu lakn alijitahidi kuificha.
Tukaenda wote tulipopimwa tukatoka nje kusubiri majibu. Baada ya dakika 20 akaitwa na kuchukuliwa damu mara ya pili.
Muda wa kupewa majibu ukafika. Kweli bhana kumbe anaishi na maambukizi ya VVU.
Nikaeleza mbivu na mbichi nikapewa PEP. Nikazimeza kwa mwezi Mzima. Dawa zile ni kali mno, zinalevya mno na kuchosha. Ndoto za maruweruwe ya kutisha.
Nilipomaliza dawa nikaenda CTC pale Amana. Nikapima Nikaambiwa sina maambukizi. Nikakaa mwezi mmoja nikapima tena nikaambiwa sina.
Yule mwanamke huwezi kumdhania kabisa. Tena ni mnene na ana kalio la haja linaloweza kukudanganya. Kumbe ndani ameungua.
Mkuu nimekumbuka story moja inayohusu hizo mambo za kupima. Nina rafiki yangu aliwahi kuniambia yeye na mpenzi wake walipanga kwenda kupima kilichotokea wameshapima wanasubiri majibu mwanaume akamwambia mdada ngoja nikanunue maji nakuja huwezi amini anasema hadi wanaitwa wachukue majibu huyo mpenzi wake hajarudi katika kuanza kumtafuta anamkuta kwenye kituo cha daladala ndio akaanza kumrudisha kwenda kuchukua majibu.Ni kweli udhaifu wetu sisi wanaume ni kwenye kupima mtu atatoa sababu nyiingi ili kukuzungusha tu.
[emoji23] [emoji23] ebwana huyo hakuwa seriousMkuu nimekumbuka story moja inayohusu hizo mambo za kupima. Nina rafiki yangu aliwahi kuniambia yeye na mpenzi wake walipanga kwenda kupima kilichotokea wameshapima wanasubiri majibu mwanaume akamwambia mdada ngoja nikanunue maji nakuja huwezi amini anasema hadi wanaitwa wachukue majibu huyo mpenzi wake hajarudi katika kuanza kumtafuta anamkuta kwenye kituo cha daladala ndio akaanza kumrudisha kwenda kuchukua majibu.
Ila wanaume punguzeni uoga jamani daah.
[emoji23] [emoji23] ebwana huyo hakuwa serious
Kuna kaka alidate na mdada mpaka wakafikia kwenye "come and we stay" wote ni waajiriwa sasa kaka alipata safari ya kikazi anarudi nyumbani kupack nguo. Aliona begi la mdada litamtosha akaamua kulichukua na kutoa vitu ndipo alipokutana na furushi la ARV's.Mkuu nimekumbuka story moja inayohusu hizo mambo za kupima. Nina rafiki yangu aliwahi kuniambia yeye na mpenzi wake walipanga kwenda kupima kilichotokea wameshapima wanasubiri majibu mwanaume akamwambia mdada ngoja nikanunue maji nakuja huwezi amini anasema hadi wanaitwa wachukue majibu huyo mpenzi wake hajarudi katika kuanza kumtafuta anamkuta kwenye kituo cha daladala ndio akaanza kumrudisha kwenda kuchukua majibu.
Ila wanaume punguzeni uoga jamani daah.