Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

[emoji38][emoji38] kukimbia unaweza usikimbie ila kwenye kiti hapakaliki ni unabadilisha badilisha mikao tu. Ukiwa muoga wa jambo utajikuta una banwa na haja kubwa tu kila wakati.
Hahaaa. Mwisho wa siku majibu yakitoka kama ni Negative unashangaa jinsi anavyofurahia utadhani amepata habari za kufaulu matokeo ya mtihani wa shule kumbe majibu ya Ukimwi.

Aisee.
 
Ila hiyo alivyofanya huyo mdada ni hatari sana mana akaamua kummaliza mwenzie pasi kujijua.

Sijui sasa huko mbele ilikuwaje mana hapo kwa huyo kaka ni mtihani mkubwa na mzito.
 
unachoongea ni sahihi mkuu...kama miez miwili hvi nlkua muhimbili pale jakaya kikwete nachek afya..sasa nikawa nimeshafanyiwa vipimo vyote nlivyoambiwa na daktari ila nikaambiwa baada ya kutoka kwa daktari nipitie kwnye chumba kingine kipo kwnye kona flan hvi...Si nikafika pale nikakaribishwa vzuri kweli nikaelekezwa nikae kwnye kiti..

Asalaleee nashangaa naambiwa bwana humu umekuja tutakufanyia kipimo cha HIV, nikashangaa kwnza nikauliza tena kama kipomo hcho nimeandikiwa / vipi. madaktar wakanambia pale kua hii ni lazima ata ue hujaandikiwa..bas nikaanza kuulizwa maswal mengi pale uku mwngine ananichukua damu tayar kwa kunipima

yan in short skutakiwa kua na hoja nyingine yoyote zaid ya kukubali kupimwa, ila nsshkuru majibu yalikua fresh

Ila skuiz mtu unaeza kupimwa ukimwi hospitali bila ata kuambiwa, unashangaa tu umewekwa kati unafanyiwa kipimo kikubwa
[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulienda kama mgonjwa au ulienda kufanya voluntary HIV test? Kama ulienda kumwona daktari vipimo hutegemea history alochukua toka kwako na anapaswa kukushirikisha. Nenda kasome tofauti kati ya screening na case finding
 
Katika suala la kupima akina mama nawapa big up, mko juu sana, na hawaogopi kupima
Umeona mkuu tunajitahidi aisee.

Na saa nyingine kwa mwanamke haikwepeki kwa sababu sasa hivi kila mwanamke anayepata ujauzito pale anapotaka kuanza clinic ni lazima apime ukimwi kwanza ndio huduma nyingine ziendelee.
 
Ndiyo maana wanataka waathirika wote wawe kwenye tiba itapunguza maambukizi mapya
Ahaa. Nimekuelewa sana dada ake. Ila kinachosumbua dada ake huku nchini mwetu elimu haipatikani ya kutosha ndio maana.
 
huu ulioandika hapa ni upuuzi ........ acha huu ujinga kama hujapata utaupata na kama unao utaendelea kuambukizwa na utavuta fasta jambo la kwanza ambalo ni gumu sana lakini la msingi ukisha gundulika unao ni kuikubali ile hali kufwata masharti unadunda miaka 100 coz uwe nao usiwe nao hakuna atakayebaki hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…