Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

[emoji38][emoji38] kukimbia unaweza usikimbie ila kwenye kiti hapakaliki ni unabadilisha badilisha mikao tu. Ukiwa muoga wa jambo utajikuta una banwa na haja kubwa tu kila wakati.
Hahaaa. Mwisho wa siku majibu yakitoka kama ni Negative unashangaa jinsi anavyofurahia utadhani amepata habari za kufaulu matokeo ya mtihani wa shule kumbe majibu ya Ukimwi.

Aisee.
 
Kuna kaka alidate na mdada mpaka wakafikia kwenye "come and we stay" wote ni waajiriwa sasa kaka alipata safari ya kikazi anarudi nyumbani kupack nguo. Alaina begi la mdada litamtosha akaamua kulichukua na kutoa vitu ndipo alipokutana na furushi la ARV's.

Mkaka alichanganyikiwa alivunja vitu ndani ya nyumba alilia naadavya hapo Ali Julia kila kilicho chake na kusepa
Ila hiyo alivyofanya huyo mdada ni hatari sana mana akaamua kummaliza mwenzie pasi kujijua.

Sijui sasa huko mbele ilikuwaje mana hapo kwa huyo kaka ni mtihani mkubwa na mzito.
 
Siku hizi hamfanyi aisee zamani ilikuwa kabla ya kupima unapewa counselling ya maana na kabla ya kupewa majibu unafanyiwa counselling juzi nmeenda hospitali Dr kaniandikia tu kipimo cha HIV kama cha malaria vile simple bila hata kuniuliza kama niko tayari kupima

Sent using Jamii Forums mobile app
unachoongea ni sahihi mkuu...kama miez miwili hvi nlkua muhimbili pale jakaya kikwete nachek afya..sasa nikawa nimeshafanyiwa vipimo vyote nlivyoambiwa na daktari ila nikaambiwa baada ya kutoka kwa daktari nipitie kwnye chumba kingine kipo kwnye kona flan hvi...Si nikafika pale nikakaribishwa vzuri kweli nikaelekezwa nikae kwnye kiti..

Asalaleee nashangaa naambiwa bwana humu umekuja tutakufanyia kipimo cha HIV, nikashangaa kwnza nikauliza tena kama kipomo hcho nimeandikiwa / vipi. madaktar wakanambia pale kua hii ni lazima ata ue hujaandikiwa..bas nikaanza kuulizwa maswal mengi pale uku mwngine ananichukua damu tayar kwa kunipima

yan in short skutakiwa kua na hoja nyingine yoyote zaid ya kukubali kupimwa, ila nsshkuru majibu yalikua fresh

Ila skuiz mtu unaeza kupimwa ukimwi hospitali bila ata kuambiwa, unashangaa tu umewekwa kati unafanyiwa kipimo kikubwa
[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi hamfanyi aisee zamani ilikuwa kabla ya kupima unapewa counselling ya maana na kabla ya kupewa majibu unafanyiwa counselling juzi nmeenda hospitali Dr kaniandikia tu kipimo cha HIV kama cha malaria vile simple bila hata kuniuliza kama niko tayari kupima

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulienda kama mgonjwa au ulienda kufanya voluntary HIV test? Kama ulienda kumwona daktari vipimo hutegemea history alochukua toka kwako na anapaswa kukushirikisha. Nenda kasome tofauti kati ya screening na case finding
 
Katika suala la kupima akina mama nawapa big up, mko juu sana, na hawaogopi kupima
Umeona mkuu tunajitahidi aisee.

Na saa nyingine kwa mwanamke haikwepeki kwa sababu sasa hivi kila mwanamke anayepata ujauzito pale anapotaka kuanza clinic ni lazima apime ukimwi kwanza ndio huduma nyingine ziendelee.
 
Ndiyo maana wanataka waathirika wote wawe kwenye tiba itapunguza maambukizi mapya
Ahaa. Nimekuelewa sana dada ake. Ila kinachosumbua dada ake huku nchini mwetu elimu haipatikani ya kutosha ndio maana.
 
Kuna kijana mmoja msomi hapa mtaani kwetu alipata fursa ya kwenda kufanya kazi kwenye kiwanda kimoja kikubwa nchini marekani, baada ya kufanya maandalizi ya kwenda safari yake alilazimika kufanyiwa vipimo vya afya ikiwemo HIV test, alipopimwa alikutwa Positive, ni takribani mwezi sasa tangu apime kijana huyo ambaye alikuwa ni handsome kwa muonekano wa mwili wake kwa sasa amekuwa zaidi ya babu kizee, amekonda amebaki mifupa na kutembea kwake kwa shida, nashindwa kuelewa ni kitu cha ghafla kilichompata kijana huyu mpaka kuwa na hali hiyo, anyway, na kwa niliyoyaona sitashawishika kupima Ukimwi bora tu niendelee kuishi kwa matumaini. NB :Sishawishi wengine wasipime huo ni msimamo wangu tu.
Tupunguze uasharati jamani Ukimwi bado upo.

Sent using Jamii Forums mobile app
huu ulioandika hapa ni upuuzi ........ acha huu ujinga kama hujapata utaupata na kama unao utaendelea kuambukizwa na utavuta fasta jambo la kwanza ambalo ni gumu sana lakini la msingi ukisha gundulika unao ni kuikubali ile hali kufwata masharti unadunda miaka 100 coz uwe nao usiwe nao hakuna atakayebaki hapa duniani
 
Back
Top Bottom