Kwa hali ya kawaida: Hivi mtu unawezaje kuiba zaidi ya Bilioni 100?

Kwa hali ya kawaida: Hivi mtu unawezaje kuiba zaidi ya Bilioni 100?

Chief Ortambo Ikumenye

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2017
Posts
255
Reaction score
529
Yaani kwa umri wangu huu wa miaka labda 40; hizo Bilioni 100 za uwizi zanifaa nini haswa?

Kwasababu hizi fedha hata kwa kuzila haziishi. Na mbaya zaidi: unakuta kwamba mtu anafanya wizi; anadhulumu haki za watu wengine kupata huduma, imagine hiyo ingewapa wanafunzi wangapi mikopo ya elimu ya juu?

Naongea kwa uchungu, kwasababu nachoka mimi nikiona huko mtandaoni watu kwa ujasiri, wanavyoichovya nchi, kuibanika, kuibagaza na kuibananga.

Naumia Babu yenu Chief Ikumenye.
 
We unazungumzia hlo tu je kpnd kile cha magu aliposema amekuta mtu au watu wamechepusha bomba la taifa la mafuta kuelekea kuspojulikana unadhan hao watu wana mapesa kiasi gn ndugu na bahati mbaya magu hakuwataja. Na vile vichwa vya tren vlivyokutwa bandari haijulikan n vya nani maana shrika halikuwahi agza vichwa maana yake ukute mirad mingi ya mashrika ya umma ni project za watu hakuna pesa inaingia serikalini eeeh..huku nlipo ni jiran kbs na ziwa victoria lakn kuna shda ya maji htr leo ni sku ya 4 hakuna maji kutoka zaid ya miaka 60 ya uhuru hata maji tu yametushnda watu wanagawana pesa za umma, yaleyale ya escrow kikwete akasema siyo za umma ajabu magu alipoingia akasema ni za umma na akadaka baadhi ya wahuska.
 
Wana pesa Hadi wanakunya mavi yananukia pesa...
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Shida sio kuzitumia mpaka ziishe ,hao wanarithisha kizazi na kizazi,unadhani samia anaweza kumaliza matrilioni yote!! ? Lengo lao ni kuvunja chain ya umasikini katika vizazi vyao.
Sa si bora hata wangeiba mtaji tu afu wafanye biashara, wapate hela zao sasa kuvunja chain ya umasikini kwa kiasi hiki kweli???
 
Wizi ni roho kama ilivyo ukahaba ulevi nk.

Kwenye laki Moja ukiiba elfu 10 halafu mambo yakawa swari ni lazima tu ushawishike kuirudia Ile elfu 90 iliyobaki
 
Back
Top Bottom