We unazungumzia hlo tu je kpnd kile cha magu aliposema amekuta mtu au watu wamechepusha bomba la taifa la mafuta kuelekea kuspojulikana unadhan hao watu wana mapesa kiasi gn ndugu na bahati mbaya magu hakuwataja. Na vile vichwa vya tren vlivyokutwa bandari haijulikan n vya nani maana shrika halikuwahi agza vichwa maana yake ukute mirad mingi ya mashrika ya umma ni project za watu hakuna pesa inaingia serikalini eeeh..huku nlipo ni jiran kbs na ziwa victoria lakn kuna shda ya maji htr leo ni sku ya 4 hakuna maji kutoka zaid ya miaka 60 ya uhuru hata maji tu yametushnda watu wanagawana pesa za umma, yaleyale ya escrow kikwete akasema siyo za umma ajabu magu alipoingia akasema ni za umma na akadaka baadhi ya wahuska.