Kwa hali ya sasa Ngono haiepukiki kabla ya ndoa, Kijana wa kikristo ukioa bila utaratibu huu imekula kwako tegemea lolote

Kwa hali ya sasa Ngono haiepukiki kabla ya ndoa, Kijana wa kikristo ukioa bila utaratibu huu imekula kwako tegemea lolote

Kama ukifuata utaratibu wa kumpata mke/mume kutoka kwa Mungu Kama neno la Mungu linavyosema ( mithali 31:10...... ) Unaweza kuvumilia hadi ndoa, maana Mungu hawezi kukupa kitu kinyonge. Lakini kama mmekutana nje ya utaratibu wa Mungu ni nini kitakachowazuia kungonoka kabla ya ndoa? Jibu ni hakuna.
Mke anayeshushwa na Mungu kitu cha kwanza lazima awe bikra, wala hakuna mambo mengi.
 
Wajitunze vipi na hamuishi kuwaingiza majaribuni na hela zenu za mnavu wakati wao wametoka kwenye familia mbombongafu? Matokeo ya mwanamke yanatengenezwa na wanaume.
 
Hayo ni mawazo yako tu! Wapo mabinti waliojitunza vizuri huwezi kuamini.
Kama umekusudia kuoa na ukamtanguliza Mungu, atakutafutia binti mzuri ambaye amejitunza vizuri.
Mke mwema anatoka kwa BWANA.
Huyo binti amejitunzaje mkuu? Hem acha habari zako mkuu, kwa sasa hakikisha tu hajatatuliwa rinda, ukipata aliyemegwa na me chini ya watano hiyo ndio bikra ya kisasa.
 
Mi mwenyewe hapa nilikuwa na misimamo mikali kuhusu kuoa, sikutaka kuonja mpiko mpaka nifunge ndoa kule kwenye dini yangu. Kwa hali ilivyo mambo yamebadilika nami nimebadili msimamo nataka kuonja mpiko kwanza nijiridhishe kuwa mwanamke ninayemuoa ana sifa ya kuolewa na anakidhi viwango vyote ninavyohitaji. Unaoa mwanamke kwa harusi na watu wengi wanashuhudia baada ya mwezi mmoja watataka kuona amebeba mimba tayari na sio waanze kuhoji nani ni mbovu? Kumbe ni mwanamke alishaweka madawa ya kuzuwia mimba yamemuathiri kizazi chake mnaanza kuhangaika kutafuta tiba na tiba. Kuhusu kuuchunguza mwili wa mwanamke muolewaji hiyo nafanya sana tu, nikiona mwili una tatoo, sehemu ya siri haijakaa kama ya kawaida naghairi kuoa huyo mwanambe, penzi linayeyuka na sipokei wala kujibu simu yake tena, imetoka hiyo
Una akili mkuu ila utakua umeshapiga au unapotezea kbisa?
 
Muhimu: wanawake waliojitunza wenye bikra hawahusiki.

Na huo ndio ukweli, kwa sasa ni ngumu sana kwa mkristo mwanaume kuingia kwenye ndoa bila tendo, Kwa wenzetu upande wa pili haya mambo yanaweza kurekebishika kwa talaka zisizo na mlolongo wa miaka ama kuongeza mke

1. Kwa mabinti wa sasa ni kizazi cha kumeza vidonge vya uzazi ambavyo vimehusishwa sana na kuleta matatizo katika uzazi, hata kwa wanafunzi wa kike wa sekondari p2 zimekuwa kama jojo, madhara ni hapo baadae kwenye kizazi, kwa sasa ukiingia kwenye ndoa bila kuzalisha mtoto unaweza kujiuzia mbuzi kwenye gunia, piga mimba azae kabisa na ikibidi ujiridhishe ni wako ndio uoe, haipendezi lakini hakuna namna !!

2. Unaingiaje kwenye ndoa humjui mwenzako akiwa uchi kwa hali ya sasa? mfano mdogo tu kuna wanaume hatupendi wanawake waliochora tatoo, siku unamuoa ndio unakuja kutana na tatoo ya linyoka limetanda mgongo mzima, kachora tatoo "yote ni yako Maiko" chini ya kitovu ni vema sana umchunguze akiwa uchi na ni ngumu kwa mwanaume rijali asionje mwanamke akimvulia nguo.

3. Mabinti kwa siku hizi suala la kujitunza limekuwa mtihani, Kama mwanamke sio bikra ni wajibu wako ujiridhishe kama utaweza kummudu, kuna wanawake huwa wametumika sana kupita kiasi na wanaume wengi hata maumbile yao hayavutii tena, wengine ukimuingilia hauenei, unabaki kupwaya na kuelea, ni vema ujiridhishe mapema kabla hujafanya maamuzi ya kuoa moja kwa moja,
Imeandikwa usizini
 
Kuna maudhi sana siku hizi kwa sie tuliofunzwa kuwa wavumilivu, tusile vitu mpaka siku ya ndoa. Unachumbia binti, unajikaza huli kitu mpaka siku ya harusi ndio uzindue albamu kumbe wahuni wanakula, binti hajatulia keshaonjewa mpiko na muhuni fulani ambaye hatamuoa. Usipokuwa makini kwa uchunguzi utafunga ndoa na binti ambaye tayari ana kitu na boksi, ile umelala naye siku mbili tatu anakuambia tayari kitu kimeingia fasta unajisifu kidume kumbe kuna muhuni kakuwahi na binti anajua mchezo mzima. Cha kufanya ukichumbia ukakubaliwa hapohapo unaanza kuzindua albamu ili kujihami wahuni wasifanye yao kwa mchumba wako kisha mnawahi kufunga ndoa kabla hamjashitukiwa kama tayari mmeonjeana mpiko kabla ya ndoa. Mkishitukiwa mtatengwa ushirika, mkifunguliwa ushirika mnabariki ndoa huku mna mtoto na maisha yanaendelea kuliko kuacha imani kabisa kisa kuoa kwa kuvuta, wanasema kuoa gizani. Hali ndio hiyo mapasta muelewe hivyo msitenge vijana wanaoa kwa short cut kuna mambo wanayakwepa si vibaya
 
Hizo ni sababu tu zisizo za msingi kabisa, unajaribu kuzijengea hoja lakini hoja mfu, maumbile ya mwanadamu hakuna yaliyotumika sana au kidogo, hamna kipimo cha kupima matumizi hayo, Kuna watu wanapenda mashangazi, na hujawah sikia wanalalamika kupwaya huko unakosema wewe, kiatu kinaisha lakini mguu haujawah isha.

Hoja yako ya et kumpa mimba kabisa, mnawapa mimba baadaye mnawaona hawafai mnaanza kutafuta ambao hawajazaa, kwa hoja yako hiyo mmezalisha singo mamaz mtaani na bado mnasema Singo mama sio wa kuoa. Vijana hamueleweki mnataka nini
 
Kuna mmoja huyo sikuwa nimewahi kumkagua ile kiintelijensia, nimemaliza mchezo tunapiga stori na suti zetu za asili, akawa kama kakunja nne hivi, jicho la udadisi likatua pajani kwake nikaona kitu ka muunguzo wa ngozi hivi, nikawa natamani zaidi kuona kilichomuunguza.

Alaaaaaah! Kuangalia vizuri ni tattoo zile za kuchorea korosho imeandikwa I Love u Dullah 😂 😂, nikavunja ukimya nikamuuliza akanijibu easy tu hata wewe ukitaka nitakuandika. Kimoyomoyo nikajisemea hapa ni starehe reloaded tu hakuna maisha.
 
Muhimu: wanawake waliojitunza wenye bikra hawahusiki.

Na huo ndio ukweli, kwa sasa ni ngumu sana kwa mkristo mwanaume kuingia kwenye ndoa bila tendo, Kwa wenzetu upande wa pili haya mambo yanaweza kurekebishika kwa talaka zisizo na mlolongo wa miaka ama kuongeza mke

1. Kwa mabinti wa sasa ni kizazi cha kumeza vidonge vya uzazi ambavyo vimehusishwa sana na kuleta matatizo katika uzazi, hata kwa wanafunzi wa kike wa sekondari p2 zimekuwa kama jojo, madhara ni hapo baadae kwenye kizazi, kwa sasa ukiingia kwenye ndoa bila kuzalisha mtoto unaweza kujiuzia mbuzi kwenye gunia, piga mimba azae kabisa na ikibidi ujiridhishe ni wako ndio uoe, haipendezi lakini hakuna namna !!

2. Unaingiaje kwenye ndoa humjui mwenzako akiwa uchi kwa hali ya sasa? mfano mdogo tu kuna wanaume hatupendi wanawake waliochora tatoo, siku unamuoa ndio unakuja kutana na tatoo ya linyoka limetanda mgongo mzima, kachora tatoo "yote ni yako Maiko" chini ya kitovu ni vema sana umchunguze akiwa uchi na ni ngumu kwa mwanaume rijali asionje mwanamke akimvulia nguo.

3. Mabinti kwa siku hizi suala la kujitunza limekuwa mtihani, Kama mwanamke sio bikra ni wajibu wako ujiridhishe kama utaweza kummudu, kuna wanawake huwa wametumika sana kupita kiasi na wanaume wengi hata maumbile yao hayavutii tena, wengine ukimuingilia hauenei, unabaki kupwaya na kuelea, ni vema ujiridhishe mapema kabla hujafanya maamuzi ya kuoa moja kwa moja,
Ngono kabla ya ndoa ni jambo lisiloepukika. Na usidanganywe kuwa ukienda kwenye kanisa la walokole utampata bikra. Imekula kwako. Wengi wao wamebikiriwa na mitume, mashemashi, walimu wa kwaya, wazee wa kanisa, katekista, na kadhalika.
 
Back
Top Bottom