Kwa hali ya sasa Ngono haiepukiki kabla ya ndoa, Kijana wa kikristo ukioa bila utaratibu huu imekula kwako tegemea lolote

Kwa hali ya sasa Ngono haiepukiki kabla ya ndoa, Kijana wa kikristo ukioa bila utaratibu huu imekula kwako tegemea lolote

Ukioa mkiwa mmeshagongana. Kuna asilimia 90 mtaachana. Mkionq bila kushiriki mnaasilimia 90 ya kuishi hadi mauti iwatenganishe.
Wapo washkaji kibao hawajaoana wana watoto na miaka mingi wanaishi

Hizo sheria Kumi za kwenye biblia kuna baadhi hata kwa logic ya kawaida zinaeleweka.
Mfano usizini kuna magonjwa ukiumwa huwezi fanya mambo ya maendeleo.

Ninachokataaga Mimi eti ukioa kwa mila ni kuzini ila kwenda kanisani kufunga ndoa sio kuzini.

Huu utumwa nilishaukataaga.
 
Muhimu: wanawake waliojitunza wenye bikra hawahusiki.

Na huo ndio ukweli, kwa sasa ni ngumu sana kwa mkristo mwanaume kuingia kwenye ndoa bila tendo, Kwa wenzetu upande wa pili haya mambo yanaweza kurekebishika kwa talaka zisizo na mlolongo wa miaka ama kuongeza mke

1. Kwa mabinti wa sasa ni kizazi cha kumeza vidonge vya uzazi ambavyo vimehusishwa sana na kuleta matatizo katika uzazi, hata kwa wanafunzi wa kike wa sekondari p2 zimekuwa kama jojo, madhara ni hapo baadae kwenye kizazi, kwa sasa ukiingia kwenye ndoa bila kuzalisha mtoto unaweza kujiuzia mbuzi kwenye gunia, piga mimba azae kabisa na ikibidi ujiridhishe ni wako ndio uoe, haipendezi lakini hakuna namna !!

2. Unaingiaje kwenye ndoa humjui mwenzako akiwa uchi kwa hali ya sasa? mfano mdogo tu kuna wanaume hatupendi wanawake waliochora tatoo, siku unamuoa ndio unakuja kutana na tatoo ya linyoka limetanda mgongo mzima, kachora tatoo "yote ni yako Maiko" chini ya kitovu ni vema sana umchunguze akiwa uchi na ni ngumu kwa mwanaume rijali asionje mwanamke akimvulia nguo.

3. Mabinti kwa siku hizi suala la kujitunza limekuwa mtihani, Kama mwanamke sio bikra ni wajibu wako ujiridhishe kama utaweza kummudu, kuna wanawake huwa wametumika sana kupita kiasi na wanaume wengi hata maumbile yao hayavutii tena, wengine ukimuingilia hauenei, unabaki kupwaya na kuelea, ni vema ujiridhishe mapema kabla hujafanya maamuzi ya kuoa moja kwa moja,
Kaazi kweli kweli yakhee!
 
Wapo washkaji kibao hawajaoana wana watoto na miaka mingi wanaishi

Hizo sheria Kumi za kwenye biblia kuna baadhi hata kwa logic ya kawaida zinaeleweka.
Mfano usizini kuna magonjwa ukiumwa huwezi fanya mambo ya maendeleo.

Ninachokataaga Mimi eti ukioa kwa mila ni kuzini ila kwenda kanisani kufunga ndoa sio kuzini.

Huu utumwa nilishaukataaga.
Kuoa kwa mila sio kuzini. Wanaosema hivyo bi malimbukeni wa kidini.
 
Ila na sisi kanisa tunawa

Ila na sisi kama Kanisa tunawandekeza. Ni bora niendelee kuimba na mke wangu na watoto kuliko kuwa na waamini wapuuzi wa namna hiyo. Hakuna sehemu yoyote chini ya jua isiyo na utaratibu.
Hakuna haja ya kuita wavaa vimini wapuuzi, na kila mtu ana utaratibu wake pia, ila nyie watu wa kanisa mnajiona utaratibu wenu ni bora kuliko wengine, kama wewe mwanamke kuvaa kimini ni upuuzi Kwa wenzako ni fashion,vipi wewe na mkeo tukiwalazimisha kuvaa kama ninja kama wale wenzetu ambao kama wewe sio mwenzao wanaamini moto unakuhusu
 
Endelea na uzinzi wako Mkuu.

Naomba uache vijana wa bwana wajitunze mpka pale watakapokula kiapo mbele ya kanisa.

UZINZI SIO SIFA, ACHA UZINZI.
uzinzi umejaa huko makanisani we ongea vzr na mwenza wako kama watumishi hawapiti nae
 
Back
Top Bottom