Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Wanwake wote humu tuna tattoo, wooooteeemmh huwa siamini humu Jf km kuna mwanamke asiye na tattoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanwake wote humu tuna tattoo, wooooteeemmh huwa siamini humu Jf km kuna mwanamke asiye na tattoo
Wapo washkaji kibao hawajaoana wana watoto na miaka mingi wanaishiUkioa mkiwa mmeshagongana. Kuna asilimia 90 mtaachana. Mkionq bila kushiriki mnaasilimia 90 ya kuishi hadi mauti iwatenganishe.
Kaazi kweli kweli yakhee!Muhimu: wanawake waliojitunza wenye bikra hawahusiki.
Na huo ndio ukweli, kwa sasa ni ngumu sana kwa mkristo mwanaume kuingia kwenye ndoa bila tendo, Kwa wenzetu upande wa pili haya mambo yanaweza kurekebishika kwa talaka zisizo na mlolongo wa miaka ama kuongeza mke
1. Kwa mabinti wa sasa ni kizazi cha kumeza vidonge vya uzazi ambavyo vimehusishwa sana na kuleta matatizo katika uzazi, hata kwa wanafunzi wa kike wa sekondari p2 zimekuwa kama jojo, madhara ni hapo baadae kwenye kizazi, kwa sasa ukiingia kwenye ndoa bila kuzalisha mtoto unaweza kujiuzia mbuzi kwenye gunia, piga mimba azae kabisa na ikibidi ujiridhishe ni wako ndio uoe, haipendezi lakini hakuna namna !!
2. Unaingiaje kwenye ndoa humjui mwenzako akiwa uchi kwa hali ya sasa? mfano mdogo tu kuna wanaume hatupendi wanawake waliochora tatoo, siku unamuoa ndio unakuja kutana na tatoo ya linyoka limetanda mgongo mzima, kachora tatoo "yote ni yako Maiko" chini ya kitovu ni vema sana umchunguze akiwa uchi na ni ngumu kwa mwanaume rijali asionje mwanamke akimvulia nguo.
3. Mabinti kwa siku hizi suala la kujitunza limekuwa mtihani, Kama mwanamke sio bikra ni wajibu wako ujiridhishe kama utaweza kummudu, kuna wanawake huwa wametumika sana kupita kiasi na wanaume wengi hata maumbile yao hayavutii tena, wengine ukimuingilia hauenei, unabaki kupwaya na kuelea, ni vema ujiridhishe mapema kabla hujafanya maamuzi ya kuoa moja kwa moja,
Hakuna mtu anayependa NDUGU YAKE WA KIKE AZINIWE..Kila mtu avune alichopanda,kama alikuwa anapeza p2 kama pipi au kuchoropoa mimba?
Kuoa kwa mila sio kuzini. Wanaosema hivyo bi malimbukeni wa kidini.Wapo washkaji kibao hawajaoana wana watoto na miaka mingi wanaishi
Hizo sheria Kumi za kwenye biblia kuna baadhi hata kwa logic ya kawaida zinaeleweka.
Mfano usizini kuna magonjwa ukiumwa huwezi fanya mambo ya maendeleo.
Ninachokataaga Mimi eti ukioa kwa mila ni kuzini ila kwenda kanisani kufunga ndoa sio kuzini.
Huu utumwa nilishaukataaga.
Kikao kijacho Joshua atakuwa mgemi rasmi, atatueleza kafanyaje fanyaje mpaka akamilikishwa tenga la asali na kupita kinyang'anyiro cha uchaguzi bila kupingwa.Mkuu una zungumzia tatoo kama hiiView attachment 2834076
Bora umekuwa mkweli maana kuna watu washakuwa brainwashed mpaka basi.Kuoa kwa mila sio kuzini. Wanaosema hivyo bi malimbukeni wa kidini.
Hakuna haja ya kuita wavaa vimini wapuuzi, na kila mtu ana utaratibu wake pia, ila nyie watu wa kanisa mnajiona utaratibu wenu ni bora kuliko wengine, kama wewe mwanamke kuvaa kimini ni upuuzi Kwa wenzako ni fashion,vipi wewe na mkeo tukiwalazimisha kuvaa kama ninja kama wale wenzetu ambao kama wewe sio mwenzao wanaamini moto unakuhusuIla na sisi kanisa tunawa
Ila na sisi kama Kanisa tunawandekeza. Ni bora niendelee kuimba na mke wangu na watoto kuliko kuwa na waamini wapuuzi wa namna hiyo. Hakuna sehemu yoyote chini ya jua isiyo na utaratibu.
Kama huu mwili ni wa mwanamke na sio bondia bc ndugu yetu Joshua Thompson kazi anayo 😂Mkuu una zungumzia tatoo kama hiiView attachment 2834076
uzinzi umejaa huko makanisani we ongea vzr na mwenza wako kama watumishi hawapiti naeEndelea na uzinzi wako Mkuu.
Naomba uache vijana wa bwana wajitunze mpka pale watakapokula kiapo mbele ya kanisa.
UZINZI SIO SIFA, ACHA UZINZI.