sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
-
- #41
Mke anayeshushwa na Mungu kitu cha kwanza lazima awe bikra, wala hakuna mambo mengi.Kama ukifuata utaratibu wa kumpata mke/mume kutoka kwa Mungu Kama neno la Mungu linavyosema ( mithali 31:10...... ) Unaweza kuvumilia hadi ndoa, maana Mungu hawezi kukupa kitu kinyonge. Lakini kama mmekutana nje ya utaratibu wa Mungu ni nini kitakachowazuia kungonoka kabla ya ndoa? Jibu ni hakuna.
Subiri mwanao aje kuuziwa mbuzi kwenye gunia halafu muanze kuhangaika mahospital na kwa manabii fake kutafuta mtoto.Comment nzuri sana. Umemaliza sina cha kuongezea maana nikiongezea, nitaharibu ila Mungu akubariki sana.
Huyo binti amejitunzaje mkuu? Hem acha habari zako mkuu, kwa sasa hakikisha tu hajatatuliwa rinda, ukipata aliyemegwa na me chini ya watano hiyo ndio bikra ya kisasa.Hayo ni mawazo yako tu! Wapo mabinti waliojitunza vizuri huwezi kuamini.
Kama umekusudia kuoa na ukamtanguliza Mungu, atakutafutia binti mzuri ambaye amejitunza vizuri.
Mke mwema anatoka kwa BWANA.
Wacha weeeeee.Subiri mwanao aje kuuziwa mbuzi kwenye gunia halafu muanze kuhangaika mahospital na kwa manabii fake kutafuta mtoto.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Una akili mkuu ila utakua umeshapiga au unapotezea kbisa?Mi mwenyewe hapa nilikuwa na misimamo mikali kuhusu kuoa, sikutaka kuonja mpiko mpaka nifunge ndoa kule kwenye dini yangu. Kwa hali ilivyo mambo yamebadilika nami nimebadili msimamo nataka kuonja mpiko kwanza nijiridhishe kuwa mwanamke ninayemuoa ana sifa ya kuolewa na anakidhi viwango vyote ninavyohitaji. Unaoa mwanamke kwa harusi na watu wengi wanashuhudia baada ya mwezi mmoja watataka kuona amebeba mimba tayari na sio waanze kuhoji nani ni mbovu? Kumbe ni mwanamke alishaweka madawa ya kuzuwia mimba yamemuathiri kizazi chake mnaanza kuhangaika kutafuta tiba na tiba. Kuhusu kuuchunguza mwili wa mwanamke muolewaji hiyo nafanya sana tu, nikiona mwili una tatoo, sehemu ya siri haijakaa kama ya kawaida naghairi kuoa huyo mwanambe, penzi linayeyuka na sipokei wala kujibu simu yake tena, imetoka hiyo
daah kuna mdau limemkuta hili. Jamaa aliparamia dem hamjui vizuri akaweka ndani akizan kapata mke kumbe kajibebesha gubegube la kukata na shokaKwa hali ilivyo inabidi kufosi mimba kwanza. Akipata mimba ndio unaoa fasta. La sivyo utaoa garasa limeshatoa mimba 8 halizai tena
mmh huwa siamini humu Jf km kuna mwanamke asiye na tattooAhsante kaka sawa sitachora
hapana mkuu, sikuwahi kupigaUna akili mkuu ila utakua umeshapiga au unapotezea kbisa?
[emoji38][emoji38][emoji38]Wahaya huwa mna matatizo gani lakini, umeambiwa umuelezee kwa kiswahili wewe bado huelewi tu.
Imeandikwa usiziniMuhimu: wanawake waliojitunza wenye bikra hawahusiki.
Na huo ndio ukweli, kwa sasa ni ngumu sana kwa mkristo mwanaume kuingia kwenye ndoa bila tendo, Kwa wenzetu upande wa pili haya mambo yanaweza kurekebishika kwa talaka zisizo na mlolongo wa miaka ama kuongeza mke
1. Kwa mabinti wa sasa ni kizazi cha kumeza vidonge vya uzazi ambavyo vimehusishwa sana na kuleta matatizo katika uzazi, hata kwa wanafunzi wa kike wa sekondari p2 zimekuwa kama jojo, madhara ni hapo baadae kwenye kizazi, kwa sasa ukiingia kwenye ndoa bila kuzalisha mtoto unaweza kujiuzia mbuzi kwenye gunia, piga mimba azae kabisa na ikibidi ujiridhishe ni wako ndio uoe, haipendezi lakini hakuna namna !!
2. Unaingiaje kwenye ndoa humjui mwenzako akiwa uchi kwa hali ya sasa? mfano mdogo tu kuna wanaume hatupendi wanawake waliochora tatoo, siku unamuoa ndio unakuja kutana na tatoo ya linyoka limetanda mgongo mzima, kachora tatoo "yote ni yako Maiko" chini ya kitovu ni vema sana umchunguze akiwa uchi na ni ngumu kwa mwanaume rijali asionje mwanamke akimvulia nguo.
3. Mabinti kwa siku hizi suala la kujitunza limekuwa mtihani, Kama mwanamke sio bikra ni wajibu wako ujiridhishe kama utaweza kummudu, kuna wanawake huwa wametumika sana kupita kiasi na wanaume wengi hata maumbile yao hayavutii tena, wengine ukimuingilia hauenei, unabaki kupwaya na kuelea, ni vema ujiridhishe mapema kabla hujafanya maamuzi ya kuoa moja kwa moja,
Hata mpishi huonja kabla ya kuleta chakula mezani.Endelea na uzinzi wako Mkuu.
Naomba uache vijana wa bwana wajitunze mpka pale watakapokula kiapo mbele ya kanisa.
UZINZI SIO SIFA, ACHA UZINZI.
Kila mtu avune alichopanda,kama alikuwa anapeza p2 kama pipi au kuchoropoa mimba?HAYA NI MAFUNDISHO YA KIPUMBAVU.
Utakubali mtoto wako wa kike afanyiwe hayo?
Ngono kabla ya ndoa ni jambo lisiloepukika. Na usidanganywe kuwa ukienda kwenye kanisa la walokole utampata bikra. Imekula kwako. Wengi wao wamebikiriwa na mitume, mashemashi, walimu wa kwaya, wazee wa kanisa, katekista, na kadhalika.Muhimu: wanawake waliojitunza wenye bikra hawahusiki.