Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Hasa kwenye nafasi ya Urais..
wanasubiri mistakes za serikali ndipo wareact...
Hawana na hawafanyi maandalizi yoyote ya maana, ya uchaguzi wa serikali za mitaa ndani ya vyama vyao wala nje ya vyama vyao wanajipiga kifua tu, safari hii sijui nini na nini huko, siku imeisha....
Hawana agenda, mipango mikakati mbadala, wala sababu za kuwashawishi wananchi wawakatae viongozi walioko mamlakani kwasababu mambo mengi yametekelezwa vizuri sana kwa uhakika na serikali iliyopo madarakani..
Hawana imani wala uhakika na wagombea wao nafasi mbalimbali kama vile wenyeviti wa mitaa na vijiji, madiwani, wabunge na hata Rais. Ni wagombea wao, wana hofu nao na wengi wao wanaitwa mamluki 🤣
Hawana uhakika wa kushinda nafasi yoyote ya uongozi katika uchaguzi wa ngazi yoyote.
Na maandalizi yao kwasasa ni kuandaa na kubuni sababu za kuwaeleza na kuwatuliza wanachama wao kwanini washindwa vibaya uchaguzi huo, kama kisingizio cha kuwatuliza na kuwapa moyo wafuasi na wanachama wao dhidi ya fedheha hiyo 🐒
Nini maoni yako kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na baadae uchaguzi mkuu mwaka ujao?