Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Inahitaji mental toughness kubwa kuweza kuacha.
Hama kwenu chalii.Bi mkubwa leo katoa chozi kwa sababu ya pombe zangu, pombe hainiharibii chochote
Bi mkubwa hataki kabisa
Naaga jamani, mimi mwenyewe chozi limenitoka limenitoka😪😪
Unapenda pombe na bado unasubiri ugali wa bimkubwa mezani!?Bi mkubwa leo katoa chozi kwa sababu ya pombe zangu, pombe hainiharibii chochote
Bi mkubwa hataki kabisa
Naaga jamani, mimi mwenyewe chozi limenitoka limenitoka😪😪