Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 7,018 Reaction score 17,932 Jul 14, 2026 #21 Inahitaji mental toughness kubwa kuweza kuacha.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jul 14, 2026 #22 Safi sana... Cc: Mahondaw
Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2010 Posts 8,069 Reaction score 15,029 Jul 15, 2026 #23 Mwizukulu mgikuru said: Bi mkubwa leo katoa chozi kwa sababu ya pombe zangu, pombe hainiharibii chochote Bi mkubwa hataki kabisa Naaga jamani, mimi mwenyewe chozi limenitoka limenitoka😪😪 Click to expand... Hama kwenu chalii. Pombe inaachwa kwa kuamua mwenyewe sio vilio vya wengine. Ukiwa mbali, una hela ya kutosha na unaishi mwenye hapo ukiamua kuacha utaeleweka. Sio kwa kuona mtu anakulilia. Utarudia tena kunywa it is a matter of time.
Mwizukulu mgikuru said: Bi mkubwa leo katoa chozi kwa sababu ya pombe zangu, pombe hainiharibii chochote Bi mkubwa hataki kabisa Naaga jamani, mimi mwenyewe chozi limenitoka limenitoka😪😪 Click to expand... Hama kwenu chalii. Pombe inaachwa kwa kuamua mwenyewe sio vilio vya wengine. Ukiwa mbali, una hela ya kutosha na unaishi mwenye hapo ukiamua kuacha utaeleweka. Sio kwa kuona mtu anakulilia. Utarudia tena kunywa it is a matter of time.
Msuguaji Senior Member Joined Jul 6, 2026 Posts 123 Reaction score 253 Jul 15, 2026 #24 Mwizukulu mgikuru said: Bi mkubwa leo katoa chozi kwa sababu ya pombe zangu, pombe hainiharibii chochote Bi mkubwa hataki kabisa Naaga jamani, mimi mwenyewe chozi limenitoka limenitoka😪😪 Click to expand... Unapenda pombe na bado unasubiri ugali wa bimkubwa mezani!? Bado hujafikia umri wa kunywa pombe!
Mwizukulu mgikuru said: Bi mkubwa leo katoa chozi kwa sababu ya pombe zangu, pombe hainiharibii chochote Bi mkubwa hataki kabisa Naaga jamani, mimi mwenyewe chozi limenitoka limenitoka😪😪 Click to expand... Unapenda pombe na bado unasubiri ugali wa bimkubwa mezani!? Bado hujafikia umri wa kunywa pombe!