Kwa hapa Tanzania, Wachina hununua gramu1 ya Gallstone (Nyongo) Tsh. 8000 mpaka 10000

Kwa hapa Tanzania, Wachina hununua gramu1 ya Gallstone (Nyongo) Tsh. 8000 mpaka 10000

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
88,759
Reaction score
123,368
Inafahamika kama Gallstone (Nyongo). Inapatikana ndani ya mwili wa ngombe,anapochinjwa hutolewa hiyo nyongo. Wachina ndiyo wadau wakubwa wa kuhitaji hii kitu.

Wao huwa Wana amini hutibu Magonjwa ya Ini, Moyo na Homa ya Manjano. Kwa hapa Tanzania wachina hununua gram 1 ya hizo Gallstone (Nyongo) Tsh. 8000 mpaka 10000 ambapo ukiweza kuwa na kg1 ni mln 8,000,000 mpaka 10,000,000 unauza.

Kama kuna mtu ana shughulika na mifugo na atabahatika kuzipata, asisite kuwasiliana na mimi na tukafanya naye biashara maana nina wanunuzi/wahitaji wa uhakika

Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0715591141

Ova

Zaidi, soma:

1), Fursa ya biashara ya uume wa ng'ombe
IMG-20180807-WA0001.jpg
IMG-20180807-WA0000.jpg
 
Mkuu nimechinja sana ng'ombe na kiufupi najua iko attached sehemu flani kwenye maini but kwa ng'ombe mmoja ni almost km gram 10+,sasa hebu nipe data niingie site namna ya kihifadhi maana iko ktk form ya kimiminika lete details au km vp njoo PM
 
We Hifadhi nyongo unazozipata kwenye sehemu moja tu ila unapotoa nyongo kuwa makini kuna wakati zinatoka piece za grm 1 mpaka 6

Ova
 
Hizo ni nyongo zenyewe zikikaa kwa muda zinakuwa kama kama mawe mkuu

Ova
Mkuu we unaijua nyongo lakini kwa kuiona?
Binafsi navyoijua ni kimiminika kizito mithili ya ute wenye rangi flani sio kijani wala sio njano yaani km ipo btn hizo rangi mbili but kinakuwa ndani ya bladder flani attached kwenye maini ambapo enzi hizo nafanya hiyo kazi ya kuchinja ilikuwa inatolewa na kutupwa sasa hizo picha kidogo zinanichanganya
 
Hizo hupatikana ndani ya hiyo bladder
Ni mawe,ndomana na Sema unapopasua nyongo hiyo unatakiwa kutizama kwa umakini sana kuna baadhi ya ngombe huwa wanakuwa nazo

Ova
 
Nnavyopenda fursa
Ngoja nitengeneze Ramani...
Fursa mbona hiyo kitambo sana
Mimi kuna wakati nlikuwa nawauzia wachina utumbo wa nyoka(samaki mkunga)wa mtoni na walikuwa wanapatikana rufiji.....shuguli yake ili kuwa kutimiza kgs ila iikuwa balaa nlikuwa naonekana fala kumbe nlikuwa na mchongo maana si unajua ukikaa na wachina wnakupa mipango yao lukuki

Ova
 
Fursa mbona hiyo kitambo sana
Mimi kuna wakati nlikuwa nawauzia wachina utumbo wa nyoka(samaki mkunga)wa mtoni na walikuwa wanapatikana rufiji.....shuguli yake ili kuwa kutimiza kgs ila nlikuwa na one kana fala kumbe nlikuwa na mchongo maana si unajua ukikaa na wachina wnakupa mipango yao lukuki

Ova
Hii sijaisikia nilikua naijua ya pembe na nyeti ila kupatikana kwake kukanitatiza...
Labda nijaribu hiyo ya nyongo,
Sasa na wewe utachukua kwa bei hiyo au?
 
Hizo hupatikana ndani ya hiyo bladder
Ni mawe,ndomana na Sema unapopasua nyongo hiyo unatakiwa kutizama kwa umakini sana kuna baadhi ya ngombe huwa wanakuwa nazo

Ova
Duh hapa kazi ishakuwa ngumu tena coz hicho kitu yaonekana ishakuwa Nyau maana unachokiongea niliwahi kukisikia kitambo ila upatikanaji wake ndio mbinde,na nilichokisikia ni kuwa ni vitu flani vipo km tezi ndani ya mwili wa ng'ombe dah leo ndo nasikia tena kingine kuwa ndani ile bladder ya nyongo kuna mawe na sikuona hata siku moja coz jamaa walikuwa wanapasuaga nyongo na kupaka kwenye nyama ya kuchoma kule machinjioni.Anyway ww unanua bei gani kwa gram?
 
Hahaha kama unatokea deal na mifugo lazima utakutana nayo tu....
Grm1 10000tsh hapa na ukiwa nayo hela ni mezani mkuu

Ova
 
Kila ng'ombe huwa anayo au na huweza toa gram ngapi kwa ng'ombe mmoja?
 
Hahaha kama unatokea deal na mifugo lazima utakutana nayo tu....
Grm1 10000tsh hapa na ukiwa nayo hela ni mezani mkuu

Ova
Dah mkuu kweli nimechinja ng'ombe wengi na sijui siku wakidai roho zao nitawajibu nn ila hiyo kitu sijawahi kukutana nayo ila ngoja kesho nitajaribu kufanya upelelezi kwa wadau.Je unafuata mzigo popote au ndo mie nakutafuta?..Mi kanuni yangu huwa nafanya biashara Free on board(FOB) Yaani nilipo coz nishapoteza hela yangu kupeleka bidhaa flaniflani sehemu za mbali mwisho nakutana na usumbufu usio wa lazima so km uko serious nitakupa feedback km deal linawezekana au la.
 
Back
Top Bottom