Hili la "kutowezekana" umelitoa wapi wewe?Hekima ni pamoja na kujua lipi linawezekana na lipi haliwezekani
Unataka nije kuripoti kwako nimechukua hatua gani; kichwani kweli zinakutosha wewe?Sasa ww ambaye halijakushinda umechukua hatua gani mpaka sasa kuhakikisha watuhumiwa wafikishwa kwenye vyombo vya sheria na haki inapatikana?
Hekima ni pamoja na kujua lipi linawezekana na lipi haliwezekani. Kama tume tu ya uchunguzi imetufikisha hapa, ndio tutaweza kuwapeleka watuhumiwa mahakamani?
Tuacheni kupoteza muda na kodi za watanzania kwa kuota ndoto za mchana. Hakuna nia wala utashi wa kisiasa wa kushughulikia yaliyotokea period!
Mbona una agua agua malengo yangu? Ww ni mpiga lamli? Aliyekuambia anataka uteuzi ni nani?Wewe umejipambanua kuwa mpuuzi mkubwa sana anayejifanya kuandika makala ndefu zisizokuwa na maana yoyote.
Inatia kinyaa sana kwako kujitambulisha kama unavyofanya katika jina lako.
Mwelekeo wa maandishi yako yote humu unajulikana; sasa unajifanya kujifichaficha na kupotosha kama unavyoeleza hapo juu?
Lengo lako siku zote ni kujikomba (sycopanthy) upate uteuzi, lakini watu wa aina yako inaonekana hata hao waovu hawana kabisa habari na watu duni kama nyinyi.
Dunia haijaacha kuzaa wendawazimu. Sina mashaka ww ni miongoni mwaoUnataka nije kuripoti kwako nimechukua hatua gani; kichwani kweli zinakutosha wewe?
Vyombo vipi vya sheria unavyozungumzia wewe. Hujui kuwa vimetekwa na majambazi ambayo ndiyo tunatakiwa kupambana nayo kuviachia vyombo hivyo vifanye kazi yake inavyotakiwa. Wewe haya huyajui?
Bila kukuficha, unakili za kipumbavu sana wewe.
Dokta Kanjanja Adam Francis, ni lazima nikupashe ukweli; wewe ni tapeli unayetumia kinga ya digrii Feki ya MD kujifanya unao uelewa wa maswala ya kisiasa; wakati ukipigania manufaa yako binafsi.Dunia haijaacha kuzaa wendawazimu. Sina mashaka ww ni miongoni mwao
Hadhi ya kuwa na sifa hizo zote yapo wazi, hayajifichi kwenye maandishi yako yote; kasoro yale ya Dini, ambayo ndiyo ningekushauri ujikite huko.Mbona una agua agua marengo yangu? Ww ni mpiga lamli? Aliyekuambia anataka uteuzi ni nani?
Na haya mambo ya mtu kukurupuka kuita watu wajinga, wapuuzi, duni ni mambo yakishamba sana.
Hivi mara hii ulishasahau kwamba ulijitangaza hapa na ki CV choka sana; ambayo kama ungekuja kwangu kama mwajili usingepata kazi?Kama unadhani ww ni bora tuweke credential zetu hapa side by side umma umue kati yangu na ww nani duni?
Hili ninakuhakikishia kuwa sihitaji mwaliko, na nitakuwepo sana kukupasha ukweli wa uduni wa hali yako.Hujaalikwa kusoma makala zangu ndefu wala kutoa maoni yako hapa.
Maneno mengi vitendo sifuri! Ungekuwa una hiyo CV ya maana siungeiweka hapa tuione?Hadhi ya kuwa na sifa hizo zote yapo wazi, hayajifichi kwenye maandishi yako yote; kasoro yale ya Dini, ambayo ndiyo ningekushauri ujikite huko.
Hivi mara hii ulishasahau kwamba ulijitangaza hapa na ki CV choka sana; ambayo kama ungekuja kwangu kama mwajili usingepata kazi?
Kwa wasifu ule uliojitangaza nao hapa JF, huna popote pa kuanzia kulinganisha na nilipo mimi. Sisemi kwa kujivuna, ila ninakupa ukweli wenyewe ndio huo. Na usitegemee kabisa hata siku moja niweke humu wasifu wangu, eti tu kujilinganisha na mtu mpuuzi kabisa kama wewe.
Unahangaikia mambo ya siasa ukitumia ngao ya taaluma ambayo nayo inaonekana huna; tena siasa zenyewe za kinafiki na kujikomba?
Sasa kama huoni uduni wa hali yako, unataka hadi iweje ndipo ujitambue wewe kuwa kweli unaishi maisha ya kiduni sana?
Unatiwa na bata mzingaKuna msemo wa wenzetu wa kusini usemao, "kukaa nchale, kusimama nchale." Kwa maoni yangu hapo ndipo tulipofikia sasa baada ya ripoti ya Jaji Chande.
Kama umepata nafasi ya kumsikiza Jaji Chande, kwanza alipowasilisha ripoti kwa Rais Samia na baadaye alipokuwa akitolea ufafanuzi ripoti yake kwa vyombo vya habari: Hotuba ya Rais kwa wazee wa Dar es salaam, mahojiano ya balozi Nyalandu, maoni ya watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, viongozi wa dini wakiwemo Mashehe na hivi kalibuni Baba askofu Ryeyongeza, utakubaliana na wakili msomi Madeleka kuwa unahitaji Neema ya Mungu pekee kutokuchanganyikiwa mpaka sasa.
Ukisoma maoni ya wengi, ni dhahiri kuwa serikali, vyombo vya dola, vyama vyote vya siasa na waandamanaji, wote kwa pamoja wana cha kulaumiwa kwa namna moja au nyingine; Lakini ripoti ya Jaji Chande inaegemea kupeleka lawama zaidi kwa waandamanaji, wachochezi kutoka nje ya nchi na wachochezi wa ndani ambao kwa ujumla wao walipanga, waliratibu na kufadhili vurugu.
Kwa mtazamo wangu, ripoti ya tume haijafanikiwa kuliunganisha Taifa kuelekea kwenye maridhiano. Tulipofikia sasa, tumegawanyika zaidi kuliko tulivyokuwa awali jambo linaloleta mashaka kama maridhiano yataweza kupatikana kwenye mazingira haya.
Kwa maslahi ya Taifa, na kuepuka kuendelea kupoteza fedha za walipa kodi masikini wa nchi hii kwenye hizi tume, ni vyema TUKAKUBALIANA KUTO KUKUBALIANA. Maadam tayari serikali ilishawasamehe watuhumuwa wa kinachoitwa vurugu za Oktoba 29, tuishie hapa hapa, tuendelee tu na shughuli zingine za ujenzi wa Taifa. Masuala ya haki na kuwajibishana tumwachie Mungu, sisi yameshatushinda.
Unajua maana ya Psychological projection?Unatiwa na bata mzinga
Sisi watabiri tunaona ripoti ya jaji Chande imeamsha hasira upyaaaaaa. Hamna uchaguzi utakaokuwa wa amani nchini Tanzania hadi pale CCM itakapotolewa madarakaniKwa mtazamo wangu, ripoti ya tume haijafanikiwa kuliunganisha Taifa kuelekea kwenye maridhiano. Tulipofikia sasa, tumegawanyika zaidi kuliko tulivyokuwa awali jambo linaloleta mashaka kama maridhiano yataweza kupatikana kwenye mazingira haya.
Hivi unafikiri ninaweza kufanya mambo ya kitoto kama unavyojionyesha hapa mwenyewe?Maneno mengi vitendo sifuri! Ungekuwa una hiyo CV ya maana siungeiweka hapa tuione?
Hata hili nalo hujui? Kweli wewe ni kilaza mkubwa sana.Muda wote unajifichaficha na ID fake ili usifahamike halafu unajifanya unaweza chukulia hatua serikali? Kama kweli unajiamini na unaamini hicho unachokitenda ungeanza na kutumia majina yako na sura yako halisi ili unapotukana watu, viongozi na serikali ujulikane
"Senior"? You must be kidding!wa kuandikia watu
For reckord sake, sitafuti kazi kama unavyobwabwaja, by the way nimeshakuwa senior officer, that is alot
Haya sasa, chukulia mfano huu hapa pekee.Unajua maana ya Psychological projection?
Kwakifupi ni tabia ya watu waovu kudhani wengine ni waovu kama wao.
As a Doctor, sina mashaka hicho ulichokiandika ndio tabia yako halisi. Pole sana.
Itoshe tu kusema, "Never wrestle with a pig. You both get dirty, and the pig likes it"Hivi unafikiri ninaweza kufanya mambo ya kitoto kama unavyojionyesha hapa mwenyewe?
Niweke CV yangu hapa kukufurahisha wewe, nitakuwa mpumbavu kama ulivyo wewe?
Kwannza hicho unachoita CV kama ulivyoweka hapa haina hata hadhi ya kuitwa hivyo.
Hata hili nalo hujui? Kweli wewe ni kilaza mkubwa sana.
Nijulikane ili iweje? Unafikiri nipo hapa kutafuta fursa ya uteuzi kama unavyofanya wewe?
Hujui maana ya watu kuingia humu JF kwa kutumia majina bandia?
Wewe kazi yako humu ni nini hasa?
"Senior"? You must be kidding!
Hata ukiulizwa kwa nini kuna baadhi ya watu wanatumia aspirin 81 mg huna jibu hadi ukatafute google!
Weka hapa chuo ulichopatia hiyo MD Feki, halafu nitakupa ukweli wako wote.
Wewe ni tapeli mkubwa, sampuli ile ile ya akina Samia.
Mnaogopa nini kuwafungulia mashtaka?Kuwatoa CHADEMA kwenye lawama ya Oktoba 29, nikama kubomoa msingi wa jengo. Chimbuko la haya yote, pamoja na mengine, ni malalamiko ya kukosekana kwa usawa katika chaguzi zetu. Hiki ndicho kilichopelekea kampeni ya "NO REFORMS, NO ELECTION" jambo lililopelekea kukamatwa na kushitakiwa kwa Tundu Lissu. Swali la msingi ni Je, CHADEMA wangekubali kuingia kwenye uchaguzi yaliyotokea yangetokea? Jibu dhahiri ni hapana! Sasa kwanini uwatoe kwenye lawama?
EEEeeenHEEEeeee!Itoshe tu kusema, "Never wrestle with a pig. You both get dirty, and the pig likes it"