PostGE2025 Kwa hapa tulipofika; Ya Oktoba 29 tungeyaacha, tuendelee na mambo mengine

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wewe ni miongoni mwa member wajinga kabisa hapa JF. Halafu unajipachika title ya 'Dr'. Hujui ni kwa nini kila kilichotokea 29/10 kinatakiwa kijulikane na hatua zichukuliwe?
Jipachike na ww tittle ya Dr. Ukipenda unaweza hata kuwa Dr. Manyaunyau.
Ukimaliza kujipachika tittle Dr. rudi hapa utupe mkakati ni namna gani utawachukulia hatua watuhumiwa wa October 29.
Waliosema mwenye nguvu mpishe hawakuwa wajinga. Sana sana ww unayeota yasiyowezekana ndio mjinga.
 
Limekushinda wewe; halijawashinda waTanzania.

Haya unayotaka wewe ni kutafuta tu njia ya kuwanusuru wahalifu; upumbavu huo waTanzania hawautaki.
Sasa ww ambaye halijakushinda umechukua hatua gani mpaka sasa kuhakikisha watuhumiwa wafikishwa kwenye vyombo vya sheria na haki inapatikana?
Hekima ni pamoja na kujua lipi linawezekana na lipi haliwezekani. Kama tume tu ya uchunguzi imetufikisha hapa, ndio tutaweza kuwapeleka watuhumiwa mahakamani?
Tuacheni kupoteza muda na kodi za watanzania kwa kuota ndoto za mchana. Hakuna nia wala utashi wa kisiasa wa kushughulikia yaliyotokea period!
 
Una akili ya kipuuzi sana wewe mtu; kama walivyo wengine wote wanaotegemea manufaa toka kwa waovu hawa wanaolitingisha taifa hili.

Unatoa wapi ujasiri wa kuwaambia waTanzania wakubali kuendelea kuwa wanyanyaswaji ndani ya nchi yao wenyewe!.

Ni maslahi yapi ya taifa yatakayolindwa kwa kuendelea kuwa na wahalifu/majambazi wakiendelea kunajisi taifa hili?

Hiyo serikali imewasamehe vipi iliowaua; itawarudisha toka kwenye makaburi ya pamoja?

Hakuna mtu wala kundi lolote linalostahili lawama isipokuwa Samia Suluhu Hassan na Genge lake walioamua kung'ang'ania kukaa madarakani kwa nguvu. Hilo ndilo lililosababisha maafa yote haya, na litaendelea kusababisha maafa wakati wote kundi hili likiwa madarakani.
Jifunze kusoma kwa ufahamu kabla ya kutukana kwenye comment, its pathetic.
Hakuna anayepinga watuhumiwa kuwajibishwa hapa, ila tunakueleza ukweli kuwa hakuna nia wala utashi wa kisiasa wa kushughulikia yaliyotokea period!
Sasa ww ambaye una akili isiyo ya kipuuzi na uwezo wa kutenda haki tuambie umechukua hatua gani mpaka sasa kuhakikisha watuhumiwa wafikishwa kwenye vyombo vya sheria na haki inapatikana?
Hekima ni pamoja na kujua lipi linawezekana na lipi haliwezekani. Kama ripoti tu ya tume ya uchunguzi imeshindwa kutaja ni akina nani waliotenda jinai, ndio tutaweza kuwapeleka watuhumiwa mahakamani?
Tuacheni kupoteza muda na kodi za watanzania kwa kuota ndoto za mchana.
 
Unajiita Dr hakafu kichwa chako ni FUVU tu, badala ya kutumia LOGIC na AKILI, unatafuta WATU WA KUWAAMINI??

Nenda ka Mwamposa, basi.
Kama ni rahisi jiite Dr. na ww! By the way hujaalikwa kusoma makala yangu wala kuyaamini niliyoyaandika.
 
Hadi sasa silaha kuu ya ccm ni kutishia watu kuwatoa uhai pale wananchi wanapotoka kuongea maoni yao na hisia zao.. hili linafanyiwa kazi.

Kingine tukumbuke mauaji ya kutisha na utekaji kabla ya MO29, tukumbuke Watanzania wenzetu waliopoteza maisha kikatili, je ? nani ni mvunja amani? walioandamana ama watekaji? nani wafanya vurugu?

Lakini yana mwisho..
Mkuu wengi wao sana sana hawa mboga mboga na machawa wanaamini uchaguzi wa oktoba ndio chanzo cha kuandama bila kujua kwamba watu tumevumilia mengi mabaya yaliyofanywa before octoba ,watu wametekwa,vyombo vya habari vimenyimwa uhuru ,vimetokea vifo vingi vya wanaharakati kibao alafu mtu anakuja kusema kifo ni kifo na wanataka tukae kimya sisi sio maroboti tuongozwe kama nyumbu we are going through a lot of pain so tulitumia tukio kubwa ili kudai haki ambayo before hatukusikilizwa kwa sababu tu ya kuonekana hatuna cha kuwafanya😪😪😪
 
Matusi yako hayatatutoa hapa tulipo. Tunaomba utupe njia ya kuwawajibisha watuhumiwa na mkakati wake wa utekelezaji.
Mm na wenzangu wenye mtazamo kama wangu tumeng'amua hakuna political will ya kuwawajibisha watuhumiwa, tunaona bora mjadala ufungwe tufanye mambo mengine.
Hata hivyo tungependa kujua kutoka kwa nyie wenzetu waweza mambo yote mna suluhisho gani?
@Dr Adam wewe ni daktari wa kupima joto la kinyesi labda
 
Kungekuwa na ustaarabu wa kuruhusu wananchi kukosoa na kufanya maandamano kuonyesha hisia zao basi tusingefika huko, watu wangetoa maoni yao na kufanya maandamano ya amani ila shida katika nchi yetu kutoa maoni ya kukosoa serikali basi kawaida kujikuta umetekwa au kuuwawa kabisa, na maandamano hata ya amani yalionekana ni kama uasi kitu ambacho hakikuwa kikiruhusiwa na huko nyuma kiliwahi kuzuiliwa kabisa.

Kilicho tokea oct 29 ni kama mtu ambaye aliyekuwa akijaribu kuzuia kikohozi kwa muda mrefu.
 
Kuna msemo wa wenzetu wa kusini usemao, "kukaa nchale, kusimama nchale." Kwa maoni yangu hapo ndipo tulipofikia sasa baada ya ripoti ya Jaji Chande.

Kama umepata nafasi ya kumsikiza Jaji Chande, kwanza alipowasilisha ripoti kwa Rais Samia na baadaye alipokuwa akitolea ufafanuzi ripoti yake kwa vyombo vya habari: Hotuba ya Rais kwa wazee wa Dar es salaam, mahojiano ya balozi Nyalandu, maoni ya watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, viongozi wa dini wakiwemo Mashehe na hivi kalibuni Baba askofu Ryeyongeza, utakubaliana na wakili msomi Madeleka kuwa unahitaji Neema ya Mungu pekee kutokuchanganyikiwa mpaka sasa.

Ukisoma maoni ya wengi, ni dhahiri kuwa serikali, vyombo vya dola, vyama vyote vya siasa na waandamanaji, wote kwa pamoja wana cha kulaumiwa kwa namna moja au nyingine; Lakini ripoti ya Jaji Chande inaegemea kupeleka lawama zaidi kwa waandamanaji, wachochezi kutoka nje ya nchi na wachochezi wa ndani ambao kwa ujumla wao walipanga, waliratibu na kufadhili vurugu.

Kwa mtazamo wangu, ripoti ya tume haijafanikiwa kuliunganisha Taifa kuelekea kwenye maridhiano. Tulipofikia sasa, tumegawanyika zaidi kuliko tulivyokuwa awali jambo linaloleta mashaka kama maridhiano yataweza kupatikana kwenye mazingira haya.

Kwa maslahi ya Taifa, na kuepuka kuendelea kupoteza fedha za walipa kodi masikini wa nchi hii kwenye hizi tume, ni vyema TUKAKUBALIANA KUTO KUKUBALIANA. Maadam tayari serikali ilishawasamehe watuhumuwa wa kinachoitwa vurugu za Oktoba 29, tuishie hapa hapa, tuendelee tu na shughuli zingine za ujenzi wa Taifa. Masuala ya haki na kuwajibishana tumwachie Mungu, sisi yaneshatushinda.
images.webp
 
Attachments

Kungekuwa na ustaarabu wa kuruhusu wananchi kukosoa na kufanya maandamano kuonyesha hisia zao basi tusingefika huko, watu wangetoa maoni yao na kufanya maandamano ya amani ila shida katika nchi yetu kutoa maoni ya kukosoa serikali basi kawaida kujikuta umetekwa au kuuwawa kabisa, na maandamano hata ya amani yalionekana ni kama uasi kitu ambacho hakikuwa kikiruhusiwa na huko nyuma kiliwahi kuzuiliwa kabisa.

Kilicho tokea oct 29 ni kama mtu ambaye aliyekuwa akijaribu kuzuia kikohozi kwa muda mrefu.
Maandamano huwa na mabango yenye ujumbe, je yale yalikuwa ba mabango?
 
Mkuu maandamano yalishakatazwa hivyo hata wangebeba vitabu vya dini bado wangekutana na kipigo cha jeshi la polisi, Samia toka mwanzo alisema maandamano yatakuwa ya kutoka nyumbani na kwenda kwenye kituo cha kupiga kura tu. Sasa hapo mkuu bado unazungumzia mabango?
 
Kuna msemo wa wenzetu wa kusini usemao, "kukaa nchale, kusimama nchale." Kwa maoni yangu hapo ndipo tulipofikia sasa baada ya ripoti ya Jaji Chande.

Kama umepata nafasi ya kumsikiza Jaji Chande, kwanza alipowasilisha ripoti kwa Rais Samia na baadaye alipokuwa akitolea ufafanuzi ripoti yake kwa vyombo vya habari: Hotuba ya Rais kwa wazee wa Dar es salaam, mahojiano ya balozi Nyalandu, maoni ya watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, viongozi wa dini wakiwemo Mashehe na hivi kalibuni Baba askofu Ryeyongeza, utakubaliana na wakili msomi Madeleka kuwa unahitaji Neema ya Mungu pekee kutokuchanganyikiwa mpaka sasa.

Ukisoma maoni ya wengi, ni dhahiri kuwa serikali, vyombo vya dola, vyama vyote vya siasa na waandamanaji, wote kwa pamoja wana cha kulaumiwa kwa namna moja au nyingine; Lakini ripoti ya Jaji Chande inaegemea kupeleka lawama zaidi kwa waandamanaji, wachochezi kutoka nje ya nchi na wachochezi wa ndani ambao kwa ujumla wao walipanga, waliratibu na kufadhili vurugu.

Kwa mtazamo wangu, ripoti ya tume haijafanikiwa kuliunganisha Taifa kuelekea kwenye maridhiano. Tulipofikia sasa, tumegawanyika zaidi kuliko tulivyokuwa awali jambo linaloleta mashaka kama maridhiano yataweza kupatikana kwenye mazingira haya.

Kwa maslahi ya Taifa, na kuepuka kuendelea kupoteza fedha za walipa kodi masikini wa nchi hii kwenye hizi tume, ni vyema TUKAKUBALIANA KUTO KUKUBALIANA. Maadam tayari serikali ilishawasamehe watuhumuwa wa kinachoitwa vurugu za Oktoba 29, tuishie hapa hapa, tuendelee tu na shughuli zingine za ujenzi wa Taifa. Masuala ya haki na kuwajibishana tumwachie Mungu, sisi yameshatushinda.
Unawasaidiaje Watanganyika waliopoteza ndugu zao na mpaka Sasa hawajui wamefukiwa wapi
 
Nani alikuambia au aliweka sheria kwamba maandamano lazima yawe na mabango?? CCM?
Kinyume cha hapo ni vurugu na ndiyo maana mlikuwa mnachoma miundombinu ya Serikali na kuiba mali za watu. Truly uncouth, barbaric and uncivilized
 
Kuna msemo wa wenzetu wa kusini usemao, "kukaa nchale, kusimama nchale." Kwa maoni yangu hapo ndipo tulipofikia sasa baada ya ripoti ya Jaji Chande.

Kama umepata nafasi ya kumsikiza Jaji Chande, kwanza alipowasilisha ripoti kwa Rais Samia na baadaye alipokuwa akitolea ufafanuzi ripoti yake kwa vyombo vya habari: Hotuba ya Rais kwa wazee wa Dar es salaam, mahojiano ya balozi Nyalandu, maoni ya watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, viongozi wa dini wakiwemo Mashehe na hivi kalibuni Baba askofu Ryeyongeza, utakubaliana na wakili msomi Madeleka kuwa unahitaji Neema ya Mungu pekee kutokuchanganyikiwa mpaka sasa.

Ukisoma maoni ya wengi, ni dhahiri kuwa serikali, vyombo vya dola, vyama vyote vya siasa na waandamanaji, wote kwa pamoja wana cha kulaumiwa kwa namna moja au nyingine; Lakini ripoti ya Jaji Chande inaegemea kupeleka lawama zaidi kwa waandamanaji, wachochezi kutoka nje ya nchi na wachochezi wa ndani ambao kwa ujumla wao walipanga, waliratibu na kufadhili vurugu.

Kwa mtazamo wangu, ripoti ya tume haijafanikiwa kuliunganisha Taifa kuelekea kwenye maridhiano. Tulipofikia sasa, tumegawanyika zaidi kuliko tulivyokuwa awali jambo linaloleta mashaka kama maridhiano yataweza kupatikana kwenye mazingira haya.

Kwa maslahi ya Taifa, na kuepuka kuendelea kupoteza fedha za walipa kodi masikini wa nchi hii kwenye hizi tume, ni vyema TUKAKUBALIANA KUTO KUKUBALIANA. Maadam tayari serikali ilishawasamehe watuhumuwa wa kinachoitwa vurugu za Oktoba 29, tuishie hapa hapa, tuendelee tu na shughuli zingine za ujenzi wa Taifa. Masuala ya haki na kuwajibishana tumwachie Mungu, sisi yameshatushinda.
Hujafiwa
 
Kaa kimya nimekutukana tusi la sugu nasema tena MA
 
Jifunze kusoma kwa ufahamu kabla ya kutukana kwenye comment, its pathetic.
Hakuna anayepinga watuhumiwa kuwajibishwa hapa, ila tunakueleza ukweli kuwa hakuna nia wala utashi wa kisiasa wa kushughulikia yaliyotokea period!
Wewe umejipambanua kuwa mpuuzi mkubwa sana anayejifanya kuandika makala ndefu zisizokuwa na maana yoyote.

Inatia kinyaa sana kwako kujitambulisha kama unavyofanya katika jina lako.

Mwelekeo wa maandishi yako yote humu unajulikana; sasa unajifanya kujifichaficha na kupotosha kama unavyoeleza hapo juu?
Lengo lako siku zote ni kujikomba (sycopanthy) upate uteuzi, lakini watu wa aina yako inaonekana hata hao waovu hawana kabisa habari na watu duni kama nyinyi.
 
Kama ni rahisi jiite Dr. na ww! By the way hujaalikwa kusoma makala yangu wala kuyaamini niliyoyaandika.
Wewe hiyo Dr ni yA mchongo tu; huna unachojuwa kwenye fani hiyo.
Eleza hapa hiyo MD uliipata chuo gani na lini?
 
Back
Top Bottom