I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 1,773
- 3,215
Kama hakuna response yoyote utaendelea kusema sema kila siku hadi mwisho wa dunia.?Ungekuwa umepoteza ndugu yako au umekuwa kilema ungesema hivyo kirahisi tu??

Kuna msemo wa wenzetu wa kusini usemao, "kukaa nchale, kusimama nchale." Kwa maoni yangu hapo ndipo tulipofikia sasa baada ya ripoti ya Jaji Chande.
Kama umepata nafasi ya kumsikiza Jaji Chande, kwanza alipowasilisha ripoti kwa Rais Samia na baadaye alipokuwa akitolea ufafanuzi ripoti yake kwa vyombo vya habari: Hotuba ya Rais kwa wazee wa Dar es salaam, maoni ya watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, viongozi wa dini wakiwemo Mashehe na hivi kalibuni baba askofu mmoja, utakubaliana na wakili msomi Madeleka kuwa unahitaji Neema ya Mungu pekee kutokuchanganyikiwa mpaka sasa.
Ukisoma maoni ya wengi, ni dhahiri kuwa serikali, vyombo vya dola, vyama vyote vya siasa na waandamanaji, wote kwa pamoja wana cha kulaumiwa kwa namna moja au nyingine; Lakini ripoti ya Jaji Chande inaegemea kupeleka lawama zaidi kwa waandamanaji, wachochezi kutoka nje ya nchi na wachochezi wa ndani ambao kwa ujumla wao walipanga, waliratibu na kufadhili vurugu.
Kwa mtazamo wangu, ripoti ya tume haijafanikiwa kuliunganisha Taifa kuelekea kwenye maridhiano. Tulipofikia sasa, tumegawanyika zaidi kuliko tulivyokuwa awali jambo linaloleta mashaka kama maridhiano yataweza kupatikana kwenye mazingira haya.
Kwa maslahi ya Taifa, na kuepuka kuendelea kupoteza fedha za walipa kodi masikini wa nchi hii kwenye hizi tume, ni vyema TUKAKUBALIANA KUTO KUKUBALIANA. Maadam tayari serikali ilishawasamehe watuhumuwa wa kinachoitwa vurugu za Oktoba 29, tuishie hapa hapa, tuendelee tu na shughuli zingine za ujenzi wa Taifa. Masuala ya haki na kuwajibishana tumwachie Mungu, sisi yaneshatushinda.
Ni muhimu kuweka Rekodi sawa ili Uongo, Hadaa, Udanganyifu na propaganda za wauaji zisitamalaki..
View: https://www.instagram.com/reel/DXqolt7jsr_/?igsh=MWoyeWFpOTdibG5jbw==
Tunaomba ww utupe solution na mkakati wa utekelezaji wake kuifikia haki!Yani watu wamekufa 0ct 29 unasema tuachane nayo
Kwa hiyo unataka watu waliozika nguo wasahau kilichowapata ndugu zao???inaonekana ww hujapoteza mtu oktoba 29 huko kusahau au kukubali kutokukubaliana unaposema wewe ndo wanapopataka wenyew wahusika wa yale mauaji wanataka tusahau as if nothing happened embu jaribu kuangalia zile video za watu walivyokua wanarundikwa mochwari kama maembe,au ile ya mwanza watu waliokuwa wakiangalia mpir awalivyouawa ukiona hizo hazijakugusa angalia ile ya yule mama alivyopigwa risasi mbele ya binti zake af vaa viatu vya ndugu zao then uje hapa urudie ulichokiandika sio unakurupuka tu.Kuna msemo wa wenzetu wa kusini usemao, "kukaa nchale, kusimama nchale." Kwa maoni yangu hapo ndipo tulipofikia sasa baada ya ripoti ya Jaji Chande.
Kama umepata nafasi ya kumsikiza Jaji Chande, kwanza alipowasilisha ripoti kwa Rais Samia na baadaye alipokuwa akitolea ufafanuzi ripoti yake kwa vyombo vya habari: Hotuba ya Rais kwa wazee wa Dar es salaam, maoni ya watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, viongozi wa dini wakiwemo Mashehe na hivi kalibuni baba askofu mmoja, utakubaliana na wakili msomi Madeleka kuwa unahitaji Neema ya Mungu pekee kutokuchanganyikiwa mpaka sasa.
Ukisoma maoni ya wengi, ni dhahiri kuwa serikali, vyombo vya dola, vyama vyote vya siasa na waandamanaji, wote kwa pamoja wana cha kulaumiwa kwa namna moja au nyingine; Lakini ripoti ya Jaji Chande inaegemea kupeleka lawama zaidi kwa waandamanaji, wachochezi kutoka nje ya nchi na wachochezi wa ndani ambao kwa ujumla wao walipanga, waliratibu na kufadhili vurugu.
Kwa mtazamo wangu, ripoti ya tume haijafanikiwa kuliunganisha Taifa kuelekea kwenye maridhiano. Tulipofikia sasa, tumegawanyika zaidi kuliko tulivyokuwa awali jambo linaloleta mashaka kama maridhiano yataweza kupatikana kwenye mazingira haya.
Kwa maslahi ya Taifa, na kuepuka kuendelea kupoteza fedha za walipa kodi masikini wa nchi hii kwenye hizi tume, ni vyema TUKAKUBALIANA KUTO KUKUBALIANA. Maadam tayari serikali ilishawasamehe watuhumuwa wa kinachoitwa vurugu za Oktoba 29, tuishie hapa hapa, tuendelee tu na shughuli zingine za ujenzi wa Taifa. Masuala ya haki na kuwajibishana tumwachie Mungu, sisi yaneshatushinda.
Serikali inataka kila kitu!Tukitaka maridhiano haikwepi Tundu Lissu na wengine walioko na kesi mahakamni zifutwe pia na waliotekwa serikali itoe maelezo ya kina kwa wananchi na hatua zilizochukuliwa za kiuwajibikaji kisha tusonge mbele
Acha kuandika kiushabiki maandazi kiCCM, sema CHADEMA walaumiwe kwa sababu zipi, walihusikaje na mauaji ya October 2029.
Watu wa kuwajibishwa ni CCM na dola kwa utekaji, rushwa, kuharibu uchaguzi, kushindwa kushugulikia ajira kwa vijana na kuhusika na mauaji.
Serikali, Jeshi la polisi na Tume ya Jaji Chande kwa pamoja wamesema hizi picha ni AI. Sasa tumwamini nani?View attachment 3581690
Dr Adam Francis hivi mauaji kama hayo unaachana vipi? Unadhani ni rahisi sana!! Mimi hizo picha zinanusumbua sana, hata nikifa baadae itakuwa ni mojawapo ya sababu!
Do you still have trust in State apparatuses with courage to engage in that escalated levels of cruelty against humanity?
Why massacre your own citizens?
Acha upumbavu na ondoa hiyo title ya Dr., unadhalilisha taaluma.Kuwatoa CHADEMA kwenye lawama ya Oktoba 29, nikama kubomoa msingi wa jengo. Chimbuko la haya yote, pamoja na mengine, ni malalamiko ya kukosekana kwa usawa katika chaguzi zetu. Hiki ndicho kilichopelekea kampeni ya "NO REFORMS, NO ELECTION" jambo lililopelekea kukamatwa na kushitakiwa kwa Tundu Lissu. Swali la msingi ni Je, CHADEMA wangekubali kuingia kwenye uchaguzi yaliyotokea yangetokea? Jibu dhahiri ni hapana! Sasa kwanini uwatoe kwenye lawama?
Nasisitiza hapo hapoKuna msemo wa wenzetu wa kusini usemao, "kukaa nchale, kusimama nchale." Kwa maoni yangu hapo ndipo tulipofikia sasa baada ya ripoti ya Jaji Chande.
Kama umepata nafasi ya kumsikiza Jaji Chande, kwanza alipowasilisha ripoti kwa Rais Samia na baadaye alipokuwa akitolea ufafanuzi ripoti yake kwa vyombo vya habari: Hotuba ya Rais kwa wazee wa Dar es salaam, maoni ya watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, viongozi wa dini wakiwemo Mashehe na hivi kalibuni baba askofu mmoja, utakubaliana na wakili msomi Madeleka kuwa unahitaji Neema ya Mungu pekee kutokuchanganyikiwa mpaka sasa.
Ukisoma maoni ya wengi, ni dhahiri kuwa serikali, vyombo vya dola, vyama vyote vya siasa na waandamanaji, wote kwa pamoja wana cha kulaumiwa kwa namna moja au nyingine; Lakini ripoti ya Jaji Chande inaegemea kupeleka lawama zaidi kwa waandamanaji, wachochezi kutoka nje ya nchi na wachochezi wa ndani ambao kwa ujumla wao walipanga, waliratibu na kufadhili vurugu.
Kwa mtazamo wangu, ripoti ya tume haijafanikiwa kuliunganisha Taifa kuelekea kwenye maridhiano. Tulipofikia sasa, tumegawanyika zaidi kuliko tulivyokuwa awali jambo linaloleta mashaka kama maridhiano yataweza kupatikana kwenye mazingira haya.
Kwa maslahi ya Taifa, na kuepuka kuendelea kupoteza fedha za walipa kodi masikini wa nchi hii kwenye hizi tume, ni vyema TUKAKUBALIANA KUTO KUKUBALIANA. Maadam tayari serikali ilishawasamehe watuhumuwa wa kinachoitwa vurugu za Oktoba 29, tuishie hapa hapa, tuendelee tu na shughuli zingine za ujenzi wa Taifa. Masuala ya haki na kuwajibishana tumwachie Mungu, sisi yaneshatushinda.
Unaweza kucheka kana kwamba ni mazuri!Serikali inataka kila kitu!
Inataka maridhiano, inataka kuwashikilia watu na kuwapeleka mahakamani bila kosa, inataka ipate sura nzuri kutoka jumuia ya kimataifa, inataka wenye makosa wao waonekane hawana makosa kwa kuua watu kinyume cha katiba, inataka isiulizwe kitu chochote kuhusiana na mauaji ya October 29 na inataka kila mtu aipongeze kwa yote!
Chande na Juma wajitafakari wanafanya majaji waonekane machawaLakini ripoti ya Jaji Chande inaegemea kupeleka lawama zaidi kwa waandamanaji, wachochezi kutoka nje ya nchi na wachochezi wa ndani ambao kwa ujumla wao walipanga, waliratibu na kufadhili vurugu.
Kuendelea na mambo mengine ni uamuzi wetu.Lakini,kuwaacha na kukaa kimya ni kutozitendea haki tabia zetu za asili za nongwa na gubu.Gubu liendelee!Kuna msemo wa wenzetu wa kusini usemao, "kukaa nchale, kusimama nchale." Kwa maoni yangu hapo ndipo tulipofikia sasa baada ya ripoti ya Jaji Chande.
Kama umepata nafasi ya kumsikiza Jaji Chande, kwanza alipowasilisha ripoti kwa Rais Samia na baadaye alipokuwa akitolea ufafanuzi ripoti yake kwa vyombo vya habari: Hotuba ya Rais kwa wazee wa Dar es salaam, maoni ya watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, viongozi wa dini wakiwemo Mashehe na hivi kalibuni baba askofu mmoja, utakubaliana na wakili msomi Madeleka kuwa unahitaji Neema ya Mungu pekee kutokuchanganyikiwa mpaka sasa.
Ukisoma maoni ya wengi, ni dhahiri kuwa serikali, vyombo vya dola, vyama vyote vya siasa na waandamanaji, wote kwa pamoja wana cha kulaumiwa kwa namna moja au nyingine; Lakini ripoti ya Jaji Chande inaegemea kupeleka lawama zaidi kwa waandamanaji, wachochezi kutoka nje ya nchi na wachochezi wa ndani ambao kwa ujumla wao walipanga, waliratibu na kufadhili vurugu.
Kwa mtazamo wangu, ripoti ya tume haijafanikiwa kuliunganisha Taifa kuelekea kwenye maridhiano. Tulipofikia sasa, tumegawanyika zaidi kuliko tulivyokuwa awali jambo linaloleta mashaka kama maridhiano yataweza kupatikana kwenye mazingira haya.
Kwa maslahi ya Taifa, na kuepuka kuendelea kupoteza fedha za walipa kodi masikini wa nchi hii kwenye hizi tume, ni vyema TUKAKUBALIANA KUTO KUKUBALIANA. Maadam tayari serikali ilishawasamehe watuhumuwa wa kinachoitwa vurugu za Oktoba 29, tuishie hapa hapa, tuendelee tu na shughuli zingine za ujenzi wa Taifa. Masuala ya haki na kuwajibishana tumwachie Mungu, sisi yaneshatushinda.
Kama huoni dhamira yake achana nalo, sisi tutaendelea kuliongeleaTunaomba ww utupe solution na mkakati wa utekelezaji wake kuifikia haki!
Mm sioni kama kuna dhamira ya dhati ya kuwajibishana. Huu ndio msingi wa hoja yangu kuwa hili limetushinda, tumwachie Mwenyezi Mungu, atalitolea hukumu siku ya kiama kwa haki!
Wenzako wanaleta hisia kwenye jambo ambalo halihitaji hisia. Na kutokana na kuendekeza mambo ya hisia unakuta wengine wanaota kwamba kuna kesi zitafunguliwa ICC wanasahau msemo wa Kiswahili usemao Mwenye nguvu mpishe.Tunaomba ww utupe solution na mkakati wa utekelezaji wake kuifikia haki!
Mm sioni kama kuna dhamira ya dhati ya kuwajibishana. Huu ndio msingi wa hoja yangu kuwa hili limetushinda, tumwachie Mwenyezi Mungu, atalitolea hukumu siku ya kiama kwa haki!
ImechanganyikiwaSerikali inataka kila kitu!
Inataka maridhiano, inataka kuwashikilia watu na kuwapeleka mahakamani bila kosa, inataka ipate sura nzuri kutoka jumuia ya kimataifa, inataka wenye makosa wao waonekane hawana makosa kwa kuua watu kinyume cha katiba, inataka isiulizwe kitu chochote kuhusiana na mauaji ya October 29 na inataka kila mtu aipongeze kwa yote!
Kesi za aina hii watu huwa wanaweza kuja kuwajibishwa hata miaka 20 mbeleni mambo yakibadilika.Kama hakuna response yoyote utaendelea kusema sema kila siku hadi mwisho wa dunia.?
Tunaongelea Oct 29 because why not?Wenzako wanaleta hisia kwenye jambo ambalo halihitaji hisia. Na kutokana na kuendekeza mambo ya hisia unakuta wengine wanaota kwamba kuna kesi zitafunguliwa ICC wanasahau msemo wa Kiswahili usemao Mwenye nguvu mpishe.
Walionyimwa haki zao, wanafaidika vipi baada ya miaka 10 au hiyo 20?Kesi za aina hii watu huwa wanaweza kuja kuwajibishwa hata miaka 20 mbeleni mambo yakibadilika.