PostGE2025 Kwa hapa tulipofika; Ya Oktoba 29 tungeyaacha, tuendelee na mambo mengine

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Yale machafuko yalikuwa 100% avoidable. Wadau wote wa uchaguzi (except CCM na vibaraka wake) hawakuwa na haraka yoyote ya kufanya uchaguzi. Walikuwa willing kuahirisha uchaguzi kwa muda ili nchi ipate muda wa kushughulikia kasoro mbalimbali ambazo zimekuwa zikipigiwa kelele tangu reintroduction of multiparty system nchini.

Kama hao mazafakas wangesikiliza sauti za stakeholders na kuacha kulazimisha uchaguzi, hakuna mtu angeandamana. Fazafaka wa Kizimkazi na CCM yake are 100% culpable—no one else to blame. Kujaribu kumlaumu mdau mwingine yeyote ni kumuonea tu!
 
Hayo unayoyaita "Mambo mengine" niyapi!!?
We akili hauna kabisa. Yaani Uue watu kiholela alafu uje utulazimishe kufuata matakwa na ujinga wako!!!??

Unajipalia makaa alafu unajivuta nyuma tena sasa ayaote naani na ulijipalia mwenyewe???

Jibuni hoja za wananchi kwa usahihi!

1. Nani anateka watu hovyo!? Na kwa nini Serikali haijawahi shughulika na matukio hayo!!?
2.Tume huru ya uchaguzi
3.Katiba mpya
4.Ajira katika uzania sawa. No nepotism
5.Uwajibishwaji kwa Mafisadi
6.Uzania sawa kwa vyama vyote vya siasa Period!
 
Paroco Umeacha kuomba rushwa watoa huduma? Kama hujaacha na huko Mt. Meru watakufukuza, kama ulivyotimuliwa huku ulikotokea.
By the way, matusi yako hayanibabaishi, maana yanakuelezea ww ulivyo na tabia zako.
 
Wale wote wasiojifunza kutoka kwenye historia wamelaaniwa kuirudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…