Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He gotta keep on battling, his lyrics make more sense than Dizasta's twisted senseless flows.View attachment 2484818
Hii punch ya Dizasta Vina ni kama ngumi Sugunyo ya Mandonga iliyotoka katikati ya milipuko ya mabomu ya Ukraine.
Lyrics gani za raptcha zaidi ya mihemuko tu,hana ufundi wowote(rap skills) na kichwani pia ni mweupe.He gotta keep on battling, his lyrics make more sense than Dizasta's twisted senseless flows.
NAKAZIALyrics gani za raptcha zaidi ya mihemuko tu,hana ufundi wowote(rap skills) na kichwani pia ni mweupe.
Dizasta ni level nyingine,huwezi shindana naye kwa vina,flows,ujuzi nk.
Rapcha atulie tu na aendelee kujifunza storry telling kutoka kwa Dizasta.
Actually, dogo uwezo anao na uwepo wake kwa bongfleva Godfather ndio kumezidi kurahisisha mziki wakeRapcha hana uwezo mkubwa sema kapata bahati ya kupata tag kutoka P funk majani
Mtu hata flow yake haivutii, no wonder hapati streams za kutosha kwenye digital platforms na miaka kumi kwenye game hajafikisha hata 35,000 subscribers.Lyrics gani za raptcha zaidi ya mihemuko tu,hana ufundi wowote(rap skills) na kichwani pia ni mweupe.
Dizasta ni level nyingine,huwezi shindana naye kwa vina,flows,ujuzi nk.
Rapcha atulie tu na aendelee kujifunza storry telling kutoka kwa Dizasta.
u mean rapcha or dizastaMtu hata flow yake haivutii, no wonder hapati streams za kutosha kwenye digital platforms na miaka kumi kwenye game hajafikisha hata 35,000 subscribers.
Uandishi lazima uandane na unavyoweza kucheza na sauti(ref Biggy Smalls-BIG or Ice Cube).
Sikiliza flows Rapcha you'll understand what I mean, siyo unatamka maneno utadhani unauza maembe soko la Vingunguti.
I meant Dizasta, huyo dogo mwingine(Rapcha) at least ana subscribers 166,000 na digital platform numbers zake zinaridhisha ukilinganisha na uchanga wake kwenye game.u mean rapcha or dizasta
Hauwezi kua old school, alafu ukaupima ubora wa msanii kwa kuangalia idadi ya subscribers YouTube. Hauwezi kua old school alafu ukavutiwa na flow ya Rapcha dhidi ya lyrics za Dizasta.I meant Dizasta, huyo dogo mwingine(Rapcha) at least ana subscribers 166,000 na digital platform numbers zake zinaridhisha ukilinganisha na uchanga wake kwenye game.
Dizasta anaweza kuwa na uandishi mzuri lakini kinachomuangusha ni lafudhi mbovu yaani kama muuza maembe wa Mbagala, pia mashairi ni kama hayauziki no wonder numbers zake ziko hivyo, kuna hip hop artist wengi wa generation yake wana mafanikio zaidi yake bila ya kuwa na diehard fanatics kama alio nao yeye.
Numbers don't lie.
Naheshimu maoni ya kila mtu and I agree to disagree with anyone who has different opinions, I'm old school so I might differ with a lot of youngsters.
Im old school and im down with rapcha..dizasta is highly overatted though is good a little a bit more than any average underground artist, that being said, if he doesnt change he will remain stuck in the pit he dug and burried his head.Hauwezi kua old school, alafu ukaupima ubora wa msanii kwa kuangalia idadi ya subscribers YouTube. Hauwezi kua old school alafu ukavutiwa na flow ya Rapcha dhidi ya lyrics za Dizasta.
Ukiongelea numbers, tutajikuta tunaona Young thug anajua kuliko Nas, au Lunya anajua kuliko One the incredible. Kwa wanaoijua na kuifuatilia hip hop, content ndio kitu cha kwanza kuangalia.
Anyway, naheshimu mawazo yako brother!
Zillion times bro, you can say again and again.Im old school and im down with rapcha..dizasta is highly overatted though is good a little a bit more than any average underground artist, that being said, if he doesnt change he will remain stuck in the pit he dug and burried his head.