Kwa haraka haraka Cosmass "Rapcha" anatakiwa afanye nini ili game i-balance?

Kwa haraka haraka Cosmass "Rapcha" anatakiwa afanye nini ili game i-balance?

Unakataa tena wakati unatukumbusha sisi wengine kuwa tumuwekee Dizasta msosi mezani! Sasa Rapcha anawekewa msosi mezani na nani kama sio wewe diehard fan!?
Huoni dhihaka nyuma ya komenti? Are u that blind, nyie si makonshasi? Hata mzee moris angeiona hiyo, i bet humjui hata mzee moris?
 
You can't be serious. Umezungumzia 10 years ya Dizasta kwenye game, yet unakuja kudai amewekwa kwenye limelight na hii battle. All those years ulikuwa unamsikiliza!? Kama ulikuwa haumsikilizi hii conclusion yako unaitoa wapi!?
Hii conclusion ya ten years nimeitoa kwenye comments za waja, wanadai dogo yuko kitambo roughly around 10yrs japo bado ni underground.
Probably ni generation ya kina Roma au Stamina(though I ain't so sure).
 
Rapcha hajatoa lakini ndiye anaye trend. Rapcha moto wa kuotea mbali acheni kumchafua

1674490294037.png
 
Back
Top Bottom