Puncler
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 1,386
- 1,888
Numbers, figures and hard facts rule. I'm old school before social media kabla hata ya Nas na Young Thug hawajawa kwenye game.Hauwezi kua old school, alafu ukaupima ubora wa msanii kwa kuangalia idadi ya subscribers YouTube. Hauwezi kua old school alafu ukavutiwa na flow ya Rapcha dhidi ya lyrics za Dizasta.
Ukiongelea numbers, tutajikuta tunaona Young thug anajua kuliko Nas, au Lunya anajua kuliko One the incredible. Kwa wanaoijua na kuifuatilia hip hop, content ndio kitu cha kwanza kuangalia.
Anyway, naheshimu mawazo yako brother!
Kama unamkubali artist na majority hawamkubali then think twice, wewe kuona Nas ni bora kuliko Young Thug hakumfanyi awe bora in real sense.
Hip Pop yenu ya Kibongo imegubikwa zaidi na ushabiki to the extent you get blinded by it, wasikilizaji neutral I believe majority will choose Rapcha over Dizasta.
Kwenye hii battle yao digital platform numbers and trends give us the picture who is winning between the two.
Unadhani kila mtu anaona One Incredible ni bora kama unavyomuona wewe?