SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,356
Unamfahamu Disasta, and yet unasema anategemea few diehard fanatics kusikika. Are you one of them?Hao Cheenbeez na Lunya umewasema wewe, wapo rappers kama Prof J, Mwana FA, Fid Q au AY kila mmoja alikuwa na style yake but they were not loosers na hawakuwa wakitegemea few diehard fanatics ili kusikika bali umma uliwakubali kwa kazi zao.
Kwenye game yoyote unayoingia make sure that you're among the winners.
Facts always win, kwenda na wishful thinking za wachache has never appealed to me.Mkuu kwenye hip hop battle numbers na trending sio kipimo sahihi, mfano rejea beef ya Pusha T na Drake....Drake ana numbers kubwa kuliko Pusha T , Pusha T hata afanye nini hawezi kugusa namba za Drake, hata wimbo alioutoa Drake kama diss kwa Pusha T na Kanye West "Duppy Free Style" ulimuacha Pusha T kwenye views ya wimbo aliotoa wa Story of Adidon (tena hata haukuwekwa kwenye proper streaming platforms) lakini nani aliyeshinda hiyo battle ?
Rejea battle ya Nas na Jay Z, Jay Z alikuwa na numbers kubwa zaidi ya Nas na hata mwanzo wa Diss ya Jay Z ya Takeover alimsema Nas kuhusu mauzo yake kumuonyesha si kitu na Album ya Jay Z ya Blueprint iliuza zaidi ya Nas na ilingia Namba moja Billboard wakati album ya Nas iliishia namba 5 kwa mauzo ya wiki ya kwanza ...lakini kwenye hiyo battle nani aliyeshinda ? Mpaka leo mtu akizidiwa kwenye diss wanasema amekuwa "ethered" wakirejea diss track ya ether aliyoitoa Nas.
View attachment 2491885View attachment 2491887
View attachment 2491888View attachment 2491889
Amewekwa kwe limelight na hii current battle, so I'm not one of those diehard fanatics.Unamfahamu Disasta, and yet unasema anategemea few diehard fanatics kusikika. Are you one of them?
No one asked you to be his diehard fanatic, and it's not a sin to be one.Amewekwa kwe limelight na hii current battle, so I'm not one of those diehard fanatics.
😂😂😂 Mwamba amechanwa kavukiwa nguo kaveshwa tenaView attachment 2484818
Hii punch ya Dizasta Vina ni kama ngumi Sugunyo ya Mandonga iliyotoka katikati ya milipuko ya mabomu ya Ukraine.
Jikite kumsikiliza Zuchu asee...Mtu hata flow yake haivutii, no wonder hapati streams za kutosha kwenye digital platforms na miaka kumi kwenye game hajafikisha hata 35,000 subscribers.
Uandishi lazima uandane na unavyoweza kucheza na sauti(ref Biggy Smalls-BIG or Ice Cube).
Sikiliza flows Rapcha you'll understand what I mean, siyo unatamka maneno utadhani unauza maembe soko la Vingunguti.
More power to you "wisemen" and do you. i ride with rapcha all dayThree good questions, one lame answer!
Disasta doesn't need to change, he's doing what he does the best. Maybe you're the one who needs to change, from listening to the kid rhymes from the likes of Rapcha, to listening to the conscious, lyrical and philosophical MC's like Dizasta!
Oh wait, you don't have to change too. This could be the best you can do, listening to the Rapchas!
Peace be upon you!
Open forum for free opinions, only goons take simple discussions personal.No one asked you to be his diehard fanatic, and it's not a sin to be one.
The fact that umemjua, na probably umesikiliza diss track yake, it's a win for him. Mengine ni personal opinions tu.
One thing about opinions, they are like assholes. We all have one!
Says one irrelevant looser, no wonder you're a fan boy of your fellow looser.Jikite kumsikiliza Zuchu asee...
Ujinga ni KUJIFICHA kwenye lugha za wenzako fala Mmoja....Says one irrelevant looser, no wonder you're a fan boy of your fellow looser.
Ain't no sin brother. Peace!More power to you "wisemen" and do you. i ride with rapcha all day
DeucesOpen forum for free opinions, only goons take simple discussions personal.
Nobody is asking anybody to be anything here.
So it's not about you to say he should change.Simshauri chochote, ni career yake ni maisha yake.
Inawezekana hata yeye pia ni mmoja wa subscribers wa Dizasta. Watoto anawasajili Diamond pale Wasafi, siku mbili tu utaona wana subscribers zaidi ya laki, sasa sijui ndio inadhihirisha kuwa nao ni wakali!Unamfahamu Disasta, and yet unasema anategemea few diehard fanatics kusikika. Are you one of them?
Let him please his diehard fans or rather minions..to me it doesnt matterSo it's not about you to say he should change.
Ila wekeni na chakula mezani kwake sio mnakuwa wafurukutwa tu wa battle..ooh kamchana kamchana, mwisho wa siku mnaishia kudownload bure hizo battleInawezekana hata yeye pia ni mmoja wa subscribers wa Dizasta.
You can't be serious. Umezungumzia 10 years ya Dizasta kwenye game, yet unakuja kudai amewekwa kwenye limelight na hii battle. All those years ulikuwa unamsikiliza!? Kama ulikuwa haumsikilizi hii conclusion yako unaitoa wapi!?Amewekwa kwe limelight na hii current battle, so I'm not one of those diehard fanatics.
Unawaita watu loosers as if wameshawahi kuja kubisha hodi kwako kuomba msaada.Says one irrelevant looser, no wonder you're a fan boy of your fellow looser.