Kwa haraka haraka Cosmass "Rapcha" anatakiwa afanye nini ili game i-balance?

Halafu huyo ndo alikuwa ana question kama kweli wewe ni old school🤣🤣, youngins wana pretend wameshaona yote, tuwacheki tu mkuu
Ni kama kuwa old skool ni kujua kila kitu. Punguza ushamba. Early 90's nilikuwa naenda Sinza K'nyama kumshangaa Eazy B. Kuhusu hii game yako ya Bongo hunakipya unachoweza kuniambia.
 
Huyo jamaa ni mweupe au kwakua ni kaka yake na lissa
 
Wewe kiazi huyo babu yako nasikiliza RTD kabla mangoma yake hayajatumika. Inawezekana bado ulikuwa unanyonya.
Umeenda kuuliza kwa wakubwa zako Nyunyusa ni nani baada ya kupewa full story unavunga kuja na update hio? 🤣🤣been there...kausha tu kama ulivosema sio lazima umjue!
 
View attachment 2484818

Hii punch ya Dizasta Vina ni kama ngumi Sugunyo ya Mandonga iliyotoka katikati ya milipuko ya mabomu ya Ukraine.


bila haraka kwa kutulia tu rapcha hampotezee dizasta vina kwa sababu anaefaidika zaidi na hizo beef ni dizasta namba ya watu wanaomfatilia inaongezeka / imeongezeka kiasi chake baada ya beef na rapcha.
 
Umeenda kuuliza kwa wakubwa zako Nyunyusa ni nani baada ya kupewa full story unavunga kuja na update hio? 🤣🤣been there...kausha tu kama ulivosema sio lazima umjue!
Hata Hitler namfahamu tu kwa kusikia masimulizi ya watu. Una tatizo na hilo!? Au kuwa wa zamani ni ujanja kwako!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…