Kwa haraka nisome kozi gani iniweke mjini baaada ya kuhitimu chuo?

Kwa haraka nisome kozi gani iniweke mjini baaada ya kuhitimu chuo?

Kama umesoma Physics unaweza kujifunza vyote hapo juu kwa muda mfupi kabisa na ukawa pro
Ila kama umesoma yale mengine, jitahidi kama unavyo shauriwa
Sipati picha mtu aliyesoma Historia anataka kusoma umeme?
 
01.Ufundi Bomba
02.umeme wa magari
04.udereva
05.Fokolift
06.welding

Kutokana na uwezo wako na uzoefu wako toa ushauri
Udereva siyo fani. Mabodaboda wore madereva.
Ushauri Kuna kozi zinahitaji mtaji mkubwa baada ya kuhitimu na Kuna kozi zinahitaji mtaji mdogo baada ya kuhitimu.
Angalia uwezo wako wa kifedha baada ya kuhitimu ukoje.
Welding ukimaliza unahitaji welding machine, grinder, paint sprayer si chini ya 1M.
Fundi umeme unahitaji mita kupima umeme, tester. Laki tuu.
Fundi Bomba no.
 
Toa hints juu ya hii fani mkuu

Mkuu Jielimishe Google. Kazi inaitwa Lathe Operator, Lathe Machinist, CNC Lathe Operator, Machine Operator, CNC Turner, and Machinist.

Katika kusoma hii kozi unasomea pia ufundi Mchundo on the process.
 
Wewe ni Lathe Operator?

Umekwenda karakana yeyote ukakosa kazi hiyo?
Kwanza karakana nyingi hazina lathe machine, kuanza kutafuta hizo karakana nayo ni kazi nyingine.
Anyway Kila la heri huko VETA.
 
01.Ufundi Bomba
02.umeme wa magari
04.udereva
05.Fokolift
06.welding

Kutokana na uwezo wako na uzoefu wako toa ushauri
Kwenye title ya mada yako kumeanza Kwa maneno " Kwa haraka"
 
Kila kitu kinahitaji subira sana hasa ufundi na ukiwa humjui yoyote yaani huna pa kushika. Angalia mahitaji na future ya kozi yako utakayochagua, ukimaliza kama Bado hujapata chanel jibanze Kwa mafundi wa mtaani, komaa na ukishajiamini tu basi unaweza kwenda na kusimama mwenyewe. Siwezi kukushauri usome kipi maana vyote vina mahitaji siku hizi, ni wewe mwenyewe Sasa.
 
Back
Top Bottom