Kwa haraka nisome kozi gani iniweke mjini baaada ya kuhitimu chuo?

Kwa haraka nisome kozi gani iniweke mjini baaada ya kuhitimu chuo?

Kwenye title ya mada yako kumeanza Kwa maneno " Kwa haraka"
Hayo maneno ni ya hatari sana kuwa nayo Kwa Kwa haraka tu utoboe kwenye maisha unapaswa kuwa na mpango wa kufanikiwa kwenye maisha ila sio mpango wa kufanikiwa Kwa haraka kwani utapata stress tu siku ukijua kuwa mambo yana speed ya Kobe
 
Ahsante
 
Kama umesoma Physics unaweza kujifunza vyote hapo juu kwa muda mfupi kabisa na ukawa pro
Ila kama umesoma yale mengine, jitahidi kama unavyo shauriwa
Sipati picha mtu aliyesoma Historia anataka kusoma umeme?
Ni kweli ila nia tu hata wa histotia akiweka nia na muda wa kujifunza ataweza. Tukumbuke sekondari fizikia huishia form2, hi vyo basic anauo.
 
Mkuu Jielimishe Google. Kazi inaitwa Lathe Operator, Lathe Machinist, CNC Lathe Operator, Machine Operator, CNC Turner, and Machinist.

Katika kusoma hii kozi unasomea pia ufundi Mchundo on the process.
Una experience katika hii lathe machine
 
Back
Top Bottom