Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
vyote ni muhimu sana,01.Ufundi Bomba
02.umeme wa magari
04.udereva
05.Fokolift
06.welding
Kutokana na uwezo wako na uzoefu wako toa ushauri
Political science! Soma siasa..01.Ufundi Bomba
02.umeme wa magari
04.udereva
05.Fokolift
06.welding
Kutokana na uwezo wako na uzoefu wako toa ushauri
Udereva siyo fani. Mabodaboda wore madereva.01.Ufundi Bomba
02.umeme wa magari
04.udereva
05.Fokolift
06.welding
Kutokana na uwezo wako na uzoefu wako toa ushauri
Kupata kazi zake ngumu. Hawezi kuanzisha kiwanda chake mtaji mkubwa unatakiwa.Nenda kasome Lathe Machine Operator, uchungaji wa vyuma kwa mashine maalum inaitwa Lathe. Thank me later.
Bachelor degree in Gender and DevelopmentUmesomea nini chuo?
Ungeweka na ulichosomea chuo usishangae ukapata mtu akakupa connection
Kupata kazi zake ngumu. Hawezi kuanzisha kiwanda chake mtaji mkubwa unatakiwa.
Toa hints juu ya hii fani mkuuWewe ni Lathe Operator?
Umekwenda karakana yeyote ukakosa kazi hiyo?
Toa hints juu ya hii fani mkuu
Kuliko siasa ni bora akasome mambo ya mpira, mpaka afcon inakuja tz atakunja mkwanja wa kutoshaPolitical science! Soma siasa..
Kwanza karakana nyingi hazina lathe machine, kuanza kutafuta hizo karakana nayo ni kazi nyingine.Wewe ni Lathe Operator?
Umekwenda karakana yeyote ukakosa kazi hiyo?
Kwenye title ya mada yako kumeanza Kwa maneno " Kwa haraka"01.Ufundi Bomba
02.umeme wa magari
04.udereva
05.Fokolift
06.welding
Kutokana na uwezo wako na uzoefu wako toa ushauri