Kwa hasara ambayo huyu mtoto ameniingizia: Nashauri Sheria itungwe iwe ni shuruti watoto kusaidia Wazazi uzeeni

Mtoto wa namna msipokuwa makini anaweza kuwavamia wakati unamla mama yake, ikawa balaa kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Or poor upbringing...

Hizi ndo zile famili mgeni ukifika ukikaa dk tano wewe ni mvumilivu uliyetukuka...

Toto linakuja linakumwagia uji na kukuvuta ndevu ..mama analiambiia oh junior dear...that no gudi..

Pumbav
Lingine ukifika tu linachukua pochi linaanza kuisearch,linatoa vitu vyote linaweka chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa analengo wa kujifunza mieleka huyo itabidi mzee baba uwe makini akikua tu wee ndio utakuwa uwanja wa.mazoezi yaaani huyo ni John Sinna wa bongo kabisa[emoji33][emoji33][emoji33]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ashtakiwe kwa uhujumu uchumi huyo dogo hatorudia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Samahani sina ligha nzuri ya kupamba huu ujumbe ila tambua 1 ya mzazi hovyo ni wewe
 
Kiukweli malezi mabaya Mkuu ....umemdekeza sana kijana wetu Huyo....binafsi nina mtoto wa umri huo...ila hajawahi kuharibu kitu changu cha thaman.laptop, simu Vitabu vyangu....vyote viko mahali ambapo anaviona kila akipita...ila hawez kuvigusa hadi niruhusu Mimi.
Game au movies huwa ananiomba....baba niwekee game ya gari...ndo nampa simu napo hapo sina Kazi nayo...na atacheza game ...atanirudishia iko salama..
Na anajielewa chochote ninachomwelewesha anasikiliza.
Na ninakumbuka kama ni kumpiga nadhan haifiki hata Mara tatu...tangu azaliwe...ana miaka 2 miez minne.
Sasa sijajua tatizo litakuwa wapi kwako Mkuu...tofaut malezi ya madeko.Jaribu kukomaa na mama yake...kwanza awe ana mkazie kumuonya na kumfinya kidogo...na wewe ukirudi unapiga mkwara kabisaa...hadi aone kweli baba kakasirika.
Ila kama anaharibu harafu mnaanza kuhuzunika tu..na kusema jaman mwanangu....junior...sijui Alvis,... Mmmhh....usirudie tena sawa? Hahahaaa...yaan hapo Mzee ....
Kila la Heri Mkuu...tuwapende watoto wetu kwa maisha yao ya baadae.sio kwa maisha.ya sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah mnaleaje mtoto nyie viazi ulaya wa kizazi hiki? Subiri achome moto nyumba kama alivosema mdau pale juu ndo muisome namba na mitoto yenu ya kisasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Watoto wana raha na shida zao...kuna wangu huyo anakama mwaka na miezi 6....haambiliki kwa lolote wala chochote anachoamua yeye wengine ni kufuata tu...hawez kicheza na watoto wenzank...dk 2 mbili nyingi unasikia kilio...ukisikia hivyo subir kesi kutoka kwa wazazi wa upande wa pale...tukiwa church kwaya ikiimba yeye ni kuselebuka uno au baba lao...kanisani ni kudandia watu amjue asimjue...hata mtumishi yeye ni kudandia...muda wote ni kuchungana...siku hizi akiwa anacheza na watoto wenzanke anahitaji usimamizi....mwanangu mwenyewe ni wakike...na masuala ya kubebana hataki kusikia...hata kama mpo town anataka atembee mwenyewe na hataki hata kushikwa mkono...ukimuacha hata mbili anasepa na njia yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…