Kwa hasira hizi na maelekezo haya tumekwisha

She is an idiot! Will teach her a lesson!
 
Huyu mwanamke uwezo wako ni mdogo sana. Katika nchi zilizositarabika alipaswa arudi Kizimkazi
 
Hajui asemalo...

Eti tuna usalama, utulivu na amani hapa nchini...

This is very ridiculous from this failed lady president she nick named herself as CHURA KIZIWI..!!

Hajamfikia Mwendazake John P. Magufuli kwa kauli za vitisho na vitendo katili vya kuua waziwazi mchana kweupe...

Lakini aliishia wapi? Kaburini, futi sita chini ya ardhi...

Nadhani hata huyu Samia suluhu, ni vyema afuate njia hiyohiyo tu alikopita mwenzi wake..!!
 
MENE MENE TEKELI NA PELESI. Mama samia Mungu anakuona mpaka hira yako na unafiki wako.Unafanya DHAMBI alafu Utaki kuonekana kuwa wewe ndiyo mfanya dhambi mkuu wa UUWAJI wa hii nchi.
Mzee kibao mpaka Leo umefunga mdomo. Mdude mmemuuwa na amri yako. Mpaka Leo ujasema chochote.
Shetani AWEZI KUMTOA SHETANI MWEZAKE. Ndiyo maana upo kimyaaa. Unanuka damu za watu
 
Kumalizana ni rahisi mwambieni mama aamrishe mahakama kwenye hiyo kesi mumnyonge Lisu. Shida iko wapi?. Mmeanza kuwachukia wakenya sababu mlipotaka kuongea nao mummalize Lisu hospital kule Kenya wakakataa DHAMBI zenu.
 
Kuna uwezekano Lissu akakaa ndani mda mrefu sana!
Target ni kumuuwa siyo kukakaa ndani ndiyo lengo la kila mwana ccm. Wana ccm wapo tayari damu ya Lisu iwe juu yao na juu ya watoto wao.
 
Kwa zile picha na video za kisutu ilikua lazima aseme haya kwa wivu.
 
Bravooo mama, bravo mama, hawa wajinga wanadhani Kenya ni sehemu ya Tanzania!! Wakwendeeee!!
 
Reactions: Tui
Toka hapa,
Yesu anakuja lini??
 
Maadam tu hai na hatamu za utawala mkononi,basi hacheki na wowote...mtachezea jando mpaka basi!!..waambieni vizabizabina wa kenya June 2 waje tena,waone mpingo ni mgumu kiasi gani
Wakenya wakija kusikiliza kesi ni kuingilia mambo yetu ya ndani. Wakati wa machafuko ya Kenya JK alifuata nini Kenya kama si kuingilia mambo yao ya ndani?
Proved Yoda johnthebaptist Retired G Sam Salary Slip
 
Kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…