Kwa hatua iliofikia, nataka nigombane na mama mkwe live live

Kwa hatua iliofikia, nataka nigombane na mama mkwe live live

Nakupa ushauri mdogo kabla hujaongea na mama mkwe tafuta mzee either kwenye familia Yako au hapo mtaani kwako unae muamini sana na awe angalau 50 kwenda juu au 60 ambae anaishi na mke wake msimulie Kila kitu pasi na kumficha Kisha muombe ushauri unaweza fanya hivyo kwa wazee kama wawili ushauri wao ndio uutumie kufanya maamuzi
Tuwatumie wazee wa mitaani kwetu Wana maana sana🙏
 
Hahaha, mke yuko kwao na mama yake analeta besi.

Mwambie mkeo asirudi akae na mama yake, hata wiki haita isha watakoromeana na akirudi kwako hata mawasiliano yake na mama yake yanaweza kufa.

Ukilea ujinga utaumia wewe, nimeona gazeti la Nipashe leo kuna habari kwamba "single mother wameongezeka kuliko kawaida" . Na huyo muongeze huko.
 
Huwa nahofia sana kufanya confrontation hasa na mtu wa karibu ila kwa hatua ilipofikia, nataka nimvae mama mkwe wazi wazi, yani nimpe majibu makavu.

Yeye anataka ku impose sheria zake na kumfundisha mtoto mambo ya ajabu, anakiburi sana na pia ananichukulia ananiweza.

Sababu kubwa ni kua sijawahi kumuonesha ubabe, muda wote nilikua nikimheshimu sana.

Mimi nimegombana na mwandani wangu, et kisha amemkuta analia, anampokonya simu na kumsema kua mimi namsumbua sana mwanae anataka anivae mimi, kwakua sikujiandaa kumchana, nimekata simu, pia bint alikataa kumpa simu.

sipendi tuishi kwa migogoro ila sasa haina jinsi, i have to face the reality, tutaelewana mbele kwa mbele akiwa ananiheshimu

Ni hayo tu, mama wakwe mtulie na ndoa zenu maiingilie mapenzi ya watoto wenu, muda weny ushapita
Unatuambia sisi ili iweje?
 
Usigombane na huyo mama mkwee

Tumia hekima na akili ili kutatua huo mgogoro

Usigomabane na huyo mwanamke MTU mzima don't do that. Please.
 
Huwa nahofia sana kufanya confrontation hasa na mtu wa karibu ila kwa hatua ilipofikia, nataka nimvae mama mkwe wazi wazi, yani nimpe majibu makavu.

Yeye anataka ku impose sheria zake na kumfundisha mtoto mambo ya ajabu, anakiburi sana na pia ananichukulia ananiweza.

Sababu kubwa ni kua sijawahi kumuonesha ubabe, muda wote nilikua nikimheshimu sana.

Mimi nimegombana na mwandani wangu, et kisha amemkuta analia, anampokonya simu na kumsema kua mimi namsumbua sana mwanae anataka anivae mimi, kwakua sikujiandaa kumchana, nimekata simu, pia bint alikataa kumpa simu.

sipendi tuishi kwa migogoro ila sasa haina jinsi, i have to face the reality, tutaelewana mbele kwa mbele akiwa ananiheshimu

Ni hayo tu, mama wakwe mtulie na ndoa zenu maiingilie mapenzi ya watoto wenu, muda weny ushapita

Wewe ni KE au ME ?

Ili nikishauri vizuri yanipasa nijue kwanza hapo.
 
Mpigie simu umtukane sanaaaaa ikibidi weka namba yake hapa nikusaidie. Asikutishe hana lolote kama vipi amuoe huyo binti ake
 
Mpaka hapo wanakuendesha...

Unaishi vipi na mama mkwe nyumba moja?.. tafuta hata safari ya kikazi ya bandia .....akiondoka ndo urudi
Kuna mahali amesema anaishi naye nyumba moja? Kwa hiyo wewe hata kuja kutembelewa hutaki?
 
Wewe ndio mwanaume wa kwanza kugombana na mama mkwe,najua hayo mambo ya wanawake na mama zetu wakwe
Hata mimi nimeshangaa sana! Janaume zima unaenda kuwa na visa na mama mkwe? Litakuwa limetoka kwenye familia ya singo maza hili jamaa! Linanikumbusha Baba Karen aliyekuwa anajazwa ujinga na mamake ambaye ni singo maza ili amtese mke wake! Wamekuja kuachana sasa hivi anatapatapa!
 
Kuna mwingine huko ana bonge la nyumba kwake lakini kaliacha yuko kwa binti yake kaolewa nae ni mzee tu.
Kahamia huko kabisa.
Sielewi hiyo kitu unaendaje kwa watu badae huondoki.
Na una kwako kuzuri tu.
 
Back
Top Bottom