Kwa hatua iliofikia, nataka nigombane na mama mkwe live live

Huwa nahofia sana kufanya confrontation hasa na mtu wa karibu ila kwa hatua ilipofikia, nataka nimvae mama mkwe wazi wazi, yani nimpe majibu makavu.

Yeye anataka ku impose sheria zake na kumfundisha mtoto mambo ya ajabu, anakiburi sana na pia ananichukulia ananiweza.

Sababu kubwa ni kua sijawahi kumuonesha ubabe, muda wote nilikua nikimheshimu sana.

Mimi nimegombana na mwandani wangu, et kisha amemkuta analia, anampokonya simu na kumsema kua mimi namsumbua sana mwanae anataka anivae mimi, kwakua sikujiandaa kumchana, nimekata simu, pia bint alikataa kumpa simu.

sipendi tuishi kwa migogoro ila sasa haina jinsi, i have to face the reality, tutaelewana mbele kwa mbele akiwa ananiheshimu

Ni hayo tu, mama wakwe mtulie na ndoa zenu maiingilie mapenzi ya watoto wenu, muda weny ushapita
Dont take that path. You know the problem? You have lost your frame and your masculinity. Work on that, regain your manhood frame, and your woman will respect you again. Otherwise, its a lost battle.
 
Huwa nahofia sana kufanya confrontation hasa na mtu wa karibu ila kwa hatua ilipofikia, nataka nimvae mama mkwe wazi wazi, yani nimpe majibu makavu.

Yeye anataka ku impose sheria zake na kumfundisha mtoto mambo ya ajabu, anakiburi sana na pia ananichukulia ananiweza.

Sababu kubwa ni kua sijawahi kumuonesha ubabe, muda wote nilikua nikimheshimu sana.

Mimi nimegombana na mwandani wangu, et kisha amemkuta analia, anampokonya simu na kumsema kua mimi namsumbua sana mwanae anataka anivae mimi, kwakua sikujiandaa kumchana, nimekata simu, pia bint alikataa kumpa simu.

sipendi tuishi kwa migogoro ila sasa haina jinsi, i have to face the reality, tutaelewana mbele kwa mbele akiwa ananiheshimu

Ni hayo tu, mama wakwe mtulie na ndoa zenu maiingilie mapenzi ya watoto wenu, muda weny ushapita
Binafsi sina Cha Mira Wala desturi MTU anapo ingilia Mambo yangu hasa yanayo husu maisha
 
Huwa nahofia sana kufanya confrontation hasa na mtu wa karibu ila kwa hatua ilipofikia, nataka nimvae mama mkwe wazi wazi, yani nimpe majibu makavu.

Yeye anataka ku impose sheria zake na kumfundisha mtoto mambo ya ajabu, anakiburi sana na pia ananichukulia ananiweza.

Sababu kubwa ni kua sijawahi kumuonesha ubabe, muda wote nilikua nikimheshimu sana.

Mimi nimegombana na mwandani wangu, et kisha amemkuta analia, anampokonya simu na kumsema kua mimi namsumbua sana mwanae anataka anivae mimi, kwakua sikujiandaa kumchana, nimekata simu, pia bint alikataa kumpa simu.

sipendi tuishi kwa migogoro ila sasa haina jinsi, i have to face the reality, tutaelewana mbele kwa mbele akiwa ananiheshimu

Ni hayo tu, mama wakwe mtulie na ndoa zenu maiingilie mapenzi ya watoto wenu, muda weny ushapita

Kama ni ME usikubali kupandwa kichwani na mwanamke.

Nimekuelewa. Wanataka wakutawale. Usikubali.
Weka misingi ya heshima.
 
Ukishaona mama mkwe anapenda kukaa kwa mwanae haswa wa kike jua ana shida
 
Huyo nae ndezi tu,mi mama wakwe zangu wote wa4 tunaelewana poa tu sijawahi hata kusikia kuna conflict.
Maana wanajua huku ntawafumua watoto wao vibaya wananijua.
So tumekua marafiki tu mpaka sasa.
 
Yap mwanaume hutakiwi kuwachekea chekea wakwe zako na mazoea
 
Mbona unateseka na vitu rahisi mkuu. Mpigie au akikupigia unamwacha abwabwaje akimaliza unamjibu asante mama basi mwanao abaki hukohuko kwenye amani then unakata simu na unamute jumla.
Wanaume harakati za kutafuta pesa zitusumbue na wanawake nao ambao walitoka kwenye mbavu zetu watusumbue????stupid
 
Huwa nahofia sana kufanya confrontation hasa na mtu wa karibu ila kwa hatua ilipofikia, nataka nimvae mama mkwe wazi wazi, yani nimpe majibu makavu.

Yeye anataka ku impose sheria zake na kumfundisha mtoto mambo ya ajabu, anakiburi sana na pia ananichukulia ananiweza.

Sababu kubwa ni kua sijawahi kumuonesha ubabe, muda wote nilikua nikimheshimu sana.

Mimi nimegombana na mwandani wangu, et kisha amemkuta analia, anampokonya simu na kumsema kua mimi namsumbua sana mwanae anataka anivae mimi, kwakua sikujiandaa kumchana, nimekata simu, pia bint alikataa kumpa simu.

sipendi tuishi kwa migogoro ila sasa haina jinsi, i have to face the reality, tutaelewana mbele kwa mbele akiwa ananiheshimu

Ni hayo tu, mama wakwe mtulie na ndoa zenu maiingilie mapenzi ya watoto wenu, muda weny ushapita
Mnyatie umtafune.. hakuna jinsi.
 
Kwa hatua iliofikia, nataka nigombane na mama mkwe live live.
Usigombane na mama mkwe, ni jambo baya hilo.

Shughulika na mkeo atambue kuwa maelekezo yako ni final (siyo ya mamaake). Asipoelewa mpe suspension akajifunze kukutii. Asipojirekebisha piga choni
 
Wadada wa siku hizi kama hawatotumia akili zao kufikiri vyema, watakuwa wanaolewa na kuachika kila siku...

Mtoto wa kike fikiria, Mama na baba yako wapo kwenye ndoa kwa miaka zaidi ya 30, unadhani wamepitia malumbano kiasi gani..?? Mbona hawakuachana..?? au ulishamsikia bibi yako akikuadithia kesi ya mama yako iliyoletwa nyumbani..??

Lakini wao kusemwa kidogo na mumewe anakimbilia kwa mama, na mama akimtetea yeye anaona sawa, stuka mtoto wa kike unavunjiwa ndoa hiyo, halafu uje ulie ukisema wanaume wote mbwa
 
Huwa nahofia sana kufanya confrontation hasa na mtu wa karibu ila kwa hatua ilipofikia, nataka nimvae mama mkwe wazi wazi, yani nimpe majibu makavu.

Yeye anataka ku impose sheria zake na kumfundisha mtoto mambo ya ajabu, anakiburi sana na pia ananichukulia ananiweza.

Sababu kubwa ni kua sijawahi kumuonesha ubabe, muda wote nilikua nikimheshimu sana.

Mimi nimegombana na mwandani wangu, et kisha amemkuta analia, anampokonya simu na kumsema kua mimi namsumbua sana mwanae anataka anivae mimi, kwakua sikujiandaa kumchana, nimekata simu, pia bint alikataa kumpa simu.

sipendi tuishi kwa migogoro ila sasa haina jinsi, i have to face the reality, tutaelewana mbele kwa mbele akiwa ananiheshimu

Ni hayo tu, mama wakwe mtulie na ndoa zenu maiingilie mapenzi ya watoto wenu, muda weny ushapita
Chunguza mkuu
 
tukusaidieje sasa
 
Back
Top Bottom