Lolote linawezekana kumhusu yeye kuondoka au kubaki akala benchiIla onyango bado yupo Simba mkuu, be informed
Beki za kati mbona tunazo za kutosha?Au Doumbia anapewa kwakheri?.Gift Fred, beki wa kati kutoka Sports Club Villa ni mwananchi
Yawezekana jamaa anaondokaBeki za kati mbona tunazo za kutosha?Au Doumbia anapewa kwakheri?.
Vipi kuhusu Mayele?Jonas Mkude rasmi ni mwananchi
50 kwa 50.Vipi kuhusu Mayele?
😀Wazee wa .mizoga hapa ndiyo mwisho wa reli kwao wakisogea mbele wanatumbukia ziwani
Ndio nani huyuKaribu Sudi Abdallah