Kwa hatua ilipofikia Young Africans ni dhahiri haiwezi kusonga

Kwa hatua ilipofikia Young Africans ni dhahiri haiwezi kusonga

UKiona timu inaanza kuleta wachezaji wa majaribio Tanzania ujue hali tete. Hao waganda wawili waliotoka Wakiso giants ya Uganda ni mwanzo tu
 
Gift Fred, beki wa kati kutoka Sports Club Villa ni mwananchi
 
Ni rasmi sasa Kaze siyo kocha msaidizi Yanga baada ya kutangazwa kocha mpya
 
Wazee wa .mizoga hapa ndiyo mwisho wa reli kwao wakisogea mbele wanatumbukia ziwani
 
Kuassi Yao kutambulishwa usiku huu. Ujio wa beki huyu unatamatisha maisha ya Djuma Shaban kwenye klabu ya Yanga ambaye awali nilisema amechoka na kushuka kiwango
 
Back
Top Bottom