Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Uangalie usiangalie ligi inatupunguzia nini? Wapo watu wengi ambao hawapendi mpira na hawafuatilii na haipunguzi kitu.I will short
Marefa wanakuja na matokeo yao kutoka nyumbani, every match ni same story, ukimtoa Alajiga, wengine wote wezi tu.
Karia kazuia VAR eti watu wajifunze kwanza, in reality anataka kuitumia kampeni ya TFF, VAR zipo mbili hata Tz.
Ila board ya ligi ipo kimya, reasons wanatoa za ajabu ajabu.
Ni kwamba NBC Premier League ndio mwisho kuangalia leo.
Yanga bila mbeleko ni mdebwedo sabaI will short
Marefa wanakuja na matokeo yao kutoka nyumbani, every match ni same story, ukimtoa Alajiga, wengine wote wezi tu.
Karia kazuia VAR eti watu wajifunze kwanza, in reality anataka kuitumia kampeni ya TFF, VAR zipo mbili hata Tz.
Ila board ya ligi ipo kimya, reasons wanatoa za ajabu ajabu.
Ni kwamba NBC Premier League ndio mwisho kuangalia leo.
Mechi za kuangalia matokeo , highlights na kipyenga cha mwisho ni za Simba tu maana zinaboa mno hakuna haki katika maamuzi Simba inabebwa mno. Mechi zingine angalia Mkuu upate burudani. Mi nishaacha kuangalia makolo wakicheza. Mechi yao ya jana vs Dodoma Jiji sikuangalia na niko poa tu nasubiri Othman Kazi Thursday night.I will short
Marefa wanakuja na matokeo yao kutoka nyumbani, every match ni same story, ukimtoa Alajiga, wengine wote wezi tu.
Karia kazuia VAR eti watu wajifunze kwanza, in reality anataka kuitumia kampeni ya TFF, VAR zipo mbili hata Tz.
Ila board ya ligi ipo kimya, reasons wanatoa za ajabu ajabu.
Ni kwamba NBC Premier League ndio mwisho kuangalia leo.
Mkumbushee,R jigger aliwahi kuibeba utopwinyo dhidi ya azam mpaka akafungiwa miezi sita au unajifanya kusahau
VAR ZIPO, KARIA ATAKI ZITUMIKE, kiongozi wa hovyo kabisaPole sana mkuu.
Ila kabla ya VAR hata ulaya walikua wanafanya makosa mengi tu.
Usitake marefa wawe na utimilifu bila usaidizi wa teknolojia.
Ni simba tu. yanga awachezi kihuni. mechi zao marefa wanakuwa na tyt game, also yanga awaforce referee decisions.Màkosa ya waamuzi yanashusha sana hadhi ya ligi yetu ila cha kushangaza zaidi makosa haya huwa yanazifaidisha simba na yanga tu!
Kweli marefa kama binadamu wanakosea lakini makosa ayo Huwa Aya fulululizi kwa kuinufaisha timu Moja.Pole sana mkuu.
Ila kabla ya VAR hata ulaya walikua wanafanya makosa mengi tu.
Usitake marefa wawe na utimilifu bila usaidizi wa teknolojia.
CAF wenyewe wanazitumia kimachale machaleVAR ZIPO, KARIA ATAKI ZITUMIKE, kiongozi wa hovyo kabisa
Mafukara ndio mnafilisika ..kabla hujazaliwa mo alikua tajiri, utakufa mo bado atakua tajiri zaidiMsimu huu kolo atatoa sana bahasha, tajiri lazima afirisike ili apate nafasi ya pili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ubaya ubweladiddyAngalia kipindi cha kwanza tu cha cha pili waachie wenyewe li ligi lao.