Kwa hawa Marefa ni upuuzi kuangalia NBC Premier League

Kwa hawa Marefa ni upuuzi kuangalia NBC Premier League

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
I will be short

Marefa wanakuja na matokeo yao kutoka nyumbani, every match ni same story, ukimtoa Alajiga, wengine wote wezi tu.

Karia kazuia VAR eti watu wajifunze kwanza, in reality anataka kuitumia kampeni ya TFF, VAR zipo mbili hapa Tz.

Ila board ya ligi ipo kimya, reasons wanatoa za ajabu ajabu. Karia must go

Ni kwamba NBC Premier League ndio mwisho kuangalia leo.
 
I will short

Marefa wanakuja na matokeo yao kutoka nyumbani, every match ni same story, ukimtoa Alajiga, wengine wote wezi tu.

Karia kazuia VAR eti watu wajifunze kwanza, in reality anataka kuitumia kampeni ya TFF, VAR zipo mbili hata Tz.

Ila board ya ligi ipo kimya, reasons wanatoa za ajabu ajabu.

Ni kwamba NBC Premier League ndio mwisho kuangalia leo.
Uangalie usiangalie ligi inatupunguzia nini? Wapo watu wengi ambao hawapendi mpira na hawafuatilii na haipunguzi kitu.
 
Wanabeti kwa hiyo dakika zikiwa za jioni ukafanya kosa kidogo tu hakuachi.
Tena kwa taarifa yako alikuwa na mikeka miwili, mmoja wa direct win mwingine wa W2&2+..
Kwa hiyo bado alikuwa anaendelea kuwasachi sema tu hawakujaa kwenye 18.
 
I will short

Marefa wanakuja na matokeo yao kutoka nyumbani, every match ni same story, ukimtoa Alajiga, wengine wote wezi tu.

Karia kazuia VAR eti watu wajifunze kwanza, in reality anataka kuitumia kampeni ya TFF, VAR zipo mbili hata Tz.

Ila board ya ligi ipo kimya, reasons wanatoa za ajabu ajabu.

Ni kwamba NBC Premier League ndio mwisho kuangalia leo.
Yanga bila mbeleko ni mdebwedo saba
 
Angalia kipindi cha kwanza tu cha cha pili waachie wenyewe li ligi lao.
 
I will short

Marefa wanakuja na matokeo yao kutoka nyumbani, every match ni same story, ukimtoa Alajiga, wengine wote wezi tu.

Karia kazuia VAR eti watu wajifunze kwanza, in reality anataka kuitumia kampeni ya TFF, VAR zipo mbili hata Tz.

Ila board ya ligi ipo kimya, reasons wanatoa za ajabu ajabu.

Ni kwamba NBC Premier League ndio mwisho kuangalia leo.
Mechi za kuangalia matokeo , highlights na kipyenga cha mwisho ni za Simba tu maana zinaboa mno hakuna haki katika maamuzi Simba inabebwa mno. Mechi zingine angalia Mkuu upate burudani. Mi nishaacha kuangalia makolo wakicheza. Mechi yao ya jana vs Dodoma Jiji sikuangalia na niko poa tu nasubiri Othman Kazi Thursday night.
 
Huu msimu nyimbo zitakazoachiwa na bendi ya mziki ya vyura:

1. Marefa wanawabeba
2. TFF imejipanga wabebe kombe
3. Timu zimetupania

FB_IMG_1727671751729.jpg
 
Pole sana mkuu.
Ila kabla ya VAR hata ulaya walikua wanafanya makosa mengi tu.
Usitake marefa wawe na utimilifu bila usaidizi wa teknolojia.
VAR ZIPO, KARIA ATAKI ZITUMIKE, kiongozi wa hovyo kabisa
 
Màkosa ya waamuzi yanashusha sana hadhi ya ligi yetu ila cha kushangaza zaidi makosa haya huwa yanazifaidisha simba na yanga tu!
Ni simba tu. yanga awachezi kihuni. mechi zao marefa wanakuwa na tyt game, also yanga awaforce referee decisions.

simba it has been too much. tena wazi wazi kabisa with no shame.

mechi ya Azam nili choka kabisa.
 
Pole sana mkuu.
Ila kabla ya VAR hata ulaya walikua wanafanya makosa mengi tu.
Usitake marefa wawe na utimilifu bila usaidizi wa teknolojia.
Kweli marefa kama binadamu wanakosea lakini makosa ayo Huwa Aya fulululizi kwa kuinufaisha timu Moja.
Ni Ngumu kuelewa kwa timu Moja kunufaika na makosa ya kibinadamu na nyingine kuto faidika, uo ni upangaji wa Matokeo.
 
Back
Top Bottom