Dini inategemea na tafsiri yakoNdioo ila Mungu Mwenyezi Yupo
Kwanza haya maswala ya kuzikwa na kiongozi wa dini wala si lazima.Hakuna mtu asiejua kwamba kuna maiti zinazikwa na serikali
Ndio maana nimesisitiza inapotokea kwamba ndugu / familia wanataka kukuzika je wajiandae na changamoto zipi.
Dini nzuri kuliko zote ni hiyo ya kwako tuu plus kuacha matendo mabaya na kutenda matendo mema, naamini kwa mtazamo wangu utaiona pepoWatu wasibadili dini kwasababu tuu ya kuzikwa?
Really???
Amini Mungu YupoDini inategemea na tafsiri yako
Tafuta dini ya kweli utaipataAmini Mungu Yupo
Tena katika Roho
Ila Dini zenu nyingi ni vikundi tu vya wahuni.
Huo ni mtazamo wakoDini nzuri kuliko zote ni hiyo ya kwako tuu plus kuacha matendo mabaya na kutenda matendo mema, naamini kwa mtazamo wangu utaiona pepo
Dah hayo mambo shidaKaka angu Kassim,alimpokea Yesu Kwa maelezo yake.
Akafariki,akazikwa na wafurukutwa wenzie.
Sisi tuliishia Amana hospital,mpaka mda huu hatujui na Wala hatutaki kujua kaburi lake lipo wapi.
Ni mule mule hakuna nafuuMkuu vipi kwa wanaobadili kwa maswala ya ndoa!?
Ngoja nitulieUpele umepata mkunaji, Mkuu tafadhali sana, tunaomba hii elimu hasa ukizingatia upo muda mrefu kwenye industry hii ya mazishi, Tunaomba jamiiforums tufaidike na uzoefu wako tupate elimu mapema kabla ya kufanya maamuzi ama kuwashauri wengine juu ya madhara ya hapo mbele,
Tunakuomba Mr Mshana utuwekee uzi
Kuna mahali nimesema hivyo?Watu wasibadili dini kwasababu tuu ya kuzikwa?
Really???
Dini ya kweli?Tafuta dini ya kweli utaipata
Kubadili ruksa ila nadhani watu wafocuss pia consequences zitazoangukia familia / ndugu.
Mi naamini ukishakufa umekufa tu hakuna maajabuKubadili ruksa ila nadhani watu wafocuss pia consequences zitazoangukia familia / ndugu.
Uamuzi wa mtu moja unaweza kuhatarisha usalama wa familia nzima ama kuleta unnecessary attention hasa kwenye ulimwengu huu wa social media
Uamuzi wa kubadili dini waweza kufanya mama na dada wa marehemu wasishiriki mazishi
*kuwashauri
You nailed it.Religion is an opium of people.
But God the Almighty is the Most High
And the Supreme Being.
Dini ni Biashara za watu leo.
Uhuni tuYou nailed it.
Nashangaa sana watu mpaka wanawajua watu kwasababu za kidini eti kafiri.
Wakati TMH hahitaji kupiganiwa.
Alafu cha kushangaza at the end of the day wanakuja kujua kuwa walifanya makosa yasiyorekebishika.