Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Huwa siwezi amini kuna kipindi Nape alikuwa anaonekana shujaa, smart. Huwa naogopa kukumbuka hilo. Kuna kipindi naye Makamba akasingiziwa kuwa ni smart.
Nlikuwa nawaambia. Ukikuta nyoka anaungua na moyo usaidie moto kukolea. Unaweza msaidia nyoka...kwa tabia za kinafiki za nyoka kuna siku atakugonga akuue.
Nape lini alianza kuwa smart na mzalendo? Lini? Ninyi mnajisahaulisha tu. Hata kama aliwahi pishana na Magufuli. Si kwa maslahi ya Taifa. Ni kwa maslahi yake tu binafsi.
Leo hii mnaonaje? Suala la bundle mnaona anaowatetea? Huwezi ung'ata mkono unaokulisha. Mi sijui.
Makamba mnamuona? Unaweza niambie la maana lipi amefanya mpaka sasa? Ni wakati wa kuwaomba radhi watanzania na hawa watu.
Muombeni Radhi Nape na Muombeni Radhi Makamba kwa kuwahi wasingizia kuwa ni watu smart. Na mkome kusingizia watu uongo.