Kwa haya ambayo mliwasingizia Nape na Makamba mtubu sasa Mungu amewaweka wazi

Kwa haya ambayo mliwasingizia Nape na Makamba mtubu sasa Mungu amewaweka wazi

Nape lini alianza kuwa smart na mzalendo? Lini? Ninyi mnajisahaulisha tu. Hata kama aliwahi pishana na Magufuli. Si kwa maslahi ya Taifa. Ni kwa maslahi yake tu binafsi.

Leo hii mnaonaje? Suala la bundle mnaona anaowatetea? Huwezi ung'ata mkono unaokulisha. Mi sijui.

Makamba mnamuona? Unaweza niambie la maana lipi amefanya mpaka sasa? Ni wakati wa kuwaomba radhi watanzania na hawa watu.
Unahangaika bure, Charles Makongoro Nyerere alishajibu hadharani kwamba hao wote pamoja na yeye mwenyewe wapo kwenye hizo nafasi kwasababu ya wazazi wao, ukitafuta walichokifanyia hii nchi kamwe hutakiona
 
Back
Top Bottom