t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Tumshukuru kwa lipi , hizo propaganda ambazo haziwezi kuleta impact yoyoye kwa maisha ya mwanachi wa kawaida .Tumshukuru hata Kwa kidogo anachokifanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumshukuru kwa lipi , hizo propaganda ambazo haziwezi kuleta impact yoyoye kwa maisha ya mwanachi wa kawaida .Tumshukuru hata Kwa kidogo anachokifanya.
Ukisikia tu jina la makonda kiharage kinakusimama. Njaa yako itakuua .Kajifunze kwanza kuandika vizuri ndio uje tena hapa. Achana na Mheshimiwa Makonda mtetezi wa wanyonge na sauti ya watanzania.watanzania tumempokea Mheshimiwa Makonda kwa mikono miwili na kwa upendo mkubwa sana katika mioyo yetu. Tunamshukuru sana Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan kwa kutuletea Mh Makonda kijana mchapa kazi na mwenye kujituma katika kufanya kazi.
Umesahau namba ya simu mkuu.Kajifunze kwanza kuandika vizuri ndio uje tena hapa. Achana na Mheshimiwa Makonda mtetezi wa wanyonge na sauti ya watanzania.watanzania tumempokea Mheshimiwa Makonda kwa mikono miwili na kwa upendo mkubwa sana katika mioyo yetu. Tunamshukuru sana Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan kwa kutuletea Mh Makonda kijana mchapa kazi na mwenye kujituma katika kufanya kazi.
Milele.......ni ujinga tu....imebakia Tanzania na Zimbabwe.....Ujinga wetu ndio karata kubwa ya Ccm kutawala nchi
Kwa anayofanya huoni anaonyesha kuwa mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, mkurugenzi na wegine hawafanyi kazi?Kajifunze kwanza kuandika vizuri ndio uje tena hapa. Achana na Mheshimiwa Makonda mtetezi wa wanyonge na sauti ya watanzania.watanzania tumempokea Mheshimiwa Makonda kwa mikono miwili na kwa upendo mkubwa sana katika mioyo yetu. Tunamshukuru sana Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan kwa kutuletea Mh Makonda kijana mchapa kazi na mwenye kujituma katika kufanya kazi.
Mtetezi wa wanyonge dhidi ya nani? Na kwa nini Watanzania wawe wanyonge ndani ya nchi yao miaka 60+ tangu tupate uhuru?Kajifunze kwanza kuandika vizuri ndio uje tena hapa. Achana na Mheshimiwa Makonda mtetezi wa wanyonge na sauti ya watanzania.watanzania tumempokea Mheshimiwa Makonda kwa mikono miwili na kwa upendo mkubwa sana katika mioyo yetu. Tunamshukuru sana Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan kwa kutuletea Mh Makonda kijana mchapa kazi na mwenye kujituma katika kufanya kazi.
Wewe unaelewa na unaona mbali sana..Ndugu zangu wadanganyika,
Matatizo au changamoto ambazo kiini chake ni mfumo mzima mbovu wa nchi hii, auwezi kutatuliwa kwenye mikutano na wananchi, kwa kuinua mwananchi mmoja na kumsikiliza kisha unampigia simu sijui waziri au mkurugezi kutatua shida ya huyo mwananchi.
Ukweli ni kwamba utatumia faida ya ujinga walionao wananchi wako, Wananchi hawajui nini maana ya propaganda na hiki anachokifanya bwana PAUL MAKONDA ni propaganda au mazigaombwe.
MAKONDA alikua karibu sana na Magufuli hivyo wenda alikua mshauri au alijifunza propaganda kutoka Kwa Magufuli, wananchi wanamuona Makonda kama mtu anayewasikiliza na kutatua shida zao Makonda anazidi kujipatia umaarufu, na sina tatizo na Makonda kwani najua ni mwanasisa na wanasiasa ni mabingwa wa kutumia propaganda ili kuwin trust kutoka kwa wananchi.
Lakini ukweli utabaki palepale anayoyafanya bwana Paul Makonda ni kiini macho tu kwani auwezi kutatua changamoto au shida za wananchi kwa kumsikiliza mwananchi mmoja mmoja pasipo kupambana na mfumo ambao ndio chanzo cha hizo changamoto, in short Makonda inabidi apambane na mfumo ambao umeletwa na chama chake mwenyewe.
Yeah time is the best answer!
Nyani akitaka kuangalia kundule ndo inakuwa hivyo, wacha wajione walivyo.Ndugu zangu wadanganyika,
Matatizo au changamoto ambazo kiini chake ni mfumo mzima mbovu wa nchi hii, auwezi kutatuliwa kwenye mikutano na wananchi, kwa kuinua mwananchi mmoja na kumsikiliza kisha unampigia simu sijui waziri au mkurugezi kutatua shida ya huyo mwananchi.
Ukweli ni kwamba utatumia faida ya ujinga walionao wananchi wako, Wananchi hawajui nini maana ya propaganda na hiki anachokifanya bwana PAUL MAKONDA ni propaganda au mazigaombwe.
MAKONDA alikua karibu sana na Magufuli hivyo wenda alikua mshauri au alijifunza propaganda kutoka Kwa Magufuli, wananchi wanamuona Makonda kama mtu anayewasikiliza na kutatua shida zao Makonda anazidi kujipatia umaarufu, na sina tatizo na Makonda kwani najua ni mwanasisa na wanasiasa ni mabingwa wa kutumia propaganda ili kuwin trust kutoka kwa wananchi.
Lakini ukweli utabaki palepale anayoyafanya bwana Paul Makonda ni kiini macho tu kwani auwezi kutatua changamoto au shida za wananchi kwa kumsikiliza mwananchi mmoja mmoja pasipo kupambana na mfumo ambao ndio chanzo cha hizo changamoto, in short Makonda inabidi apambane na mfumo ambao umeletwa na chama chake mwenyewe.
Sio apewe nchi tu, ikibidi/ikiwezekana achongewe na Sanamu kabisa.Kuna watu wanakwambia Makonda apewe nchi