Kwa haya anayoyafanya Makonda najaribu kufikiri nje ya box

Ukisikia tu jina la makonda kiharage kinakusimama. Njaa yako itakuua .
 
Umesahau namba ya simu mkuu.
 
Kwa anayofanya huoni anaonyesha kuwa mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, mkurugenzi na wegine hawafanyi kazi?
Huo ndio mfumo anaokwambia mbovu
 
Mtetezi wa wanyonge dhidi ya nani? Na kwa nini Watanzania wawe wanyonge ndani ya nchi yao miaka 60+ tangu tupate uhuru?

Halafu anakuwaje sauti ya Watanzania wakati tayari sisi ni nchi huru na tunao uhuru wa kuongea na kujumuika?
 
Wewe unaelewa na unaona mbali sana..

Na Mimi nimekuelewa na ofcoz hivyo ndivyo ilivyo...

Paul Makonda anafanya kazi ya vyama vya upinzani vinavyopaswa kuifanya..

Anaufunua udhaifu na shida ya mfumo wa utawala wa nchi yetu..

Unapotatua tatizo la mtu mmoja mmoja kimsingi unakuwa hujatatua tatizo kabisa kwa sababu msingi au kiini cha matatizo hayo kinakuwa hakijatatuliwa..

Kama tatizo la msingi halitatuliwi, wananchi baadhi watafurahia kwa muda tu lakini baada ya muda mfupi huko mbeleni watakuja kushangaa sana maana matatizo yao ya aina hiyo hiyo yatashamiri na kuongezeka zaidi na Kwa watu wengi zaidi..

Ndipo watakapoanza kujiuliza kulikoni...!!!??


Na philosophically, ikifikia hatua watu wakaanza kujiuliza maswali kama haya, basi tambua kuwa wanaelekea kwenye suluhisho la matatizo yao...!
 
Nyani akitaka kuangalia kundule ndo inakuwa hivyo, wacha wajione walivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…