Asilimia kubwa ya wakuu wa shule wanaonewa tu katika hili.
1. Kwanza mkuu wa shule hajasomea mambo ya ufundi hivyo sio vzr kuadhibiwa kwa taaluma isiyo yake
2. Hela ili iweze kutoka kwenye accounrni ngumu Sana mkuu kuila maana lazma afisa elimu asaini, engeneer wilaya asaini huko shule Kuna kamati ya ujenzi.
3. Hela inayotoka haitoshi kumaliza jengo. Kwa mfano mabweni ya Sasa hiv mengi yametengewa mil 75. Kati ya hiyo hela ni mil 7.5 tu kwa ajil ya mafundi na inayobaki ni vifaa. Sasa kwa ufundi tu haitoshi. Fundi boma peke anataka Kama mil 9 Hadi 11. Bomba anataka Kama mil 1, umeme mil 1, rangi na bodi mil 3, tiles mil 2 . So ufundi peke yake unavuka mil 18 wakt kifungiu chake kikichotengwa ni 7.5. kwenye vifaa hela ndo haitoshi kabisa maana haujeng unavyotaka, injinia anapanga kila kitu. Simenti inayotumika 42.5 R, nondo zinawekwa kuanzia kwenye msingi.
4.BOQ inakuja haijajazwa bei na ukiijaza bei ukatafuta makisio ya gharama ni Kama mil 120 hiv.
5. Wageni wa kukagua ujenzi toka tamisemi, wilayani, takukukuru, usalama nk Karibu kila siku. Mkuu analazimika kutoa chakula na maji kwa hela yake tu
Nimebahatika kuwepo kwenye kamati flan ya ujenzi. Nilichokiona nawaonea huruma Sana wakuu wa shule. Nawahakikishia hapa 90% ya wakuu wanaotumbuliwa hawajala hela na muda mwingine wamedumbukiza hela zao kwenye mradi ilimradi wasitumbuliwe. Na bado wanasiasa wakifika hawamuelewi mtu