Kwa haya madudu anayovumbua Waziri Silinde huko TAMISEMI ni kama vile Jafo hakuwepo Mitano iliyokwisha!

Asilimia kubwa ya wakuu wa shule wanaonewa tu katika hili.

1. Kwanza mkuu wa shule hajasomea mambo ya ufundi hivyo sio vzr kuadhibiwa kwa taaluma isiyo yake

2. Hela ili iweze kutoka kwenye accounrni ngumu Sana mkuu kuila maana lazma afisa elimu asaini, engeneer wilaya asaini huko shule Kuna kamati ya ujenzi.

3. Hela inayotoka haitoshi kumaliza jengo. Kwa mfano mabweni ya Sasa hiv mengi yametengewa mil 75. Kati ya hiyo hela ni mil 7.5 tu kwa ajil ya mafundi na inayobaki ni vifaa. Sasa kwa ufundi tu haitoshi. Fundi boma peke anataka Kama mil 9 Hadi 11. Bomba anataka Kama mil 1, umeme mil 1, rangi na bodi mil 3, tiles mil 2 . So ufundi peke yake unavuka mil 18 wakt kifungiu chake kikichotengwa ni 7.5. kwenye vifaa hela ndo haitoshi kabisa maana haujeng unavyotaka, injinia anapanga kila kitu. Simenti inayotumika 42.5 R, nondo zinawekwa kuanzia kwenye msingi.

4.BOQ inakuja haijajazwa bei na ukiijaza bei ukatafuta makisio ya gharama ni Kama mil 120 hiv.

5. Wageni wa kukagua ujenzi toka tamisemi, wilayani, takukukuru, usalama nk Karibu kila siku. Mkuu analazimika kutoa chakula na maji kwa hela yake tu

Nimebahatika kuwepo kwenye kamati flan ya ujenzi. Nilichokiona nawaonea huruma Sana wakuu wa shule. Nawahakikishia hapa 90% ya wakuu wanaotumbuliwa hawajala hela na muda mwingine wamedumbukiza hela zao kwenye mradi ilimradi wasitumbuliwe. Na bado wanasiasa wakifika hawamuelewi mtu
 
Ngoja JPM atoke,mtaona kua nchi hii inaliwa hadi basi,ukienda kwenye suala la ujenzi,watu wanakula kinoma,utalii nako,ni shida.
Ngoja atoke akina Nape,January na wengine wateme nyongo.
Kila mtu anaona namna Magufuli amefanya kwenye vita dhidi ya ufisadi
 
Hujui chochote wewe,subiri kuangalia TBC na bunge lenu la chama kimoja,usikie na kusifu utakachosikia.
Narudia tena,hujui chochote.Relax ukijua UPIGAJI hakuna.
 
Utendaji wa kazi wa kijima haufiki popote. Waziri hawezi kufanya kila kitu mwenyewe. Kinachotakiwa ni ku-creat mechanism ya utendaji na kazi ya waziri iwe ni ku-deal na mechanism na siyo mtu mmoja mmoja.
Mifumo ndio jibu.Asante sana.

Hata kule marekani ni mifumo iliyo mdhibiti Trump kufanya mambo ya ajabu ajabu
 
Hiyo ni ndogo. Ngoja utakuja kuyasikia madudu ya jiwe siku akitoka. Usishangae katiba ikaja kurekebishwa ili ashiuakiwe.
Huyu haachwi.

Amekuwa na kiburi mno, si serikalini tu, ndani ya chama na kwingine kote.

Atang'ang'ania sana madarakani huyu, akitumia bunduki akijaribu kuyakwepa hayo yote yanayomsubiri.
 
Wote wale wale. Hakuna Cha Jafo Wala Nani. Mawaziri wengi hawajaielewa falsafa za kupambana na ufisadi. Ningekua mwandishi wa habari, ningekusanya taarifa za uchunguzi wa kinachoitwa Hospitali, vituo vya afya na zahanati zilizojengwa na serikali. Je, Fedha iliyotengwa imetumika ipasavyo? Ubora wa majengo na upatikanaji wa vifaa tiba. Ni upigaji mtupu
 
Nimefuatilia ziara ya Naibu waziri Silinde wa Tamisemi na hasa mkoani Mtwara, kwa kweli madudu ni mengi sana.

Najiuliza tu mbona waziri Jafo alikuwa anatamba sana kwa kujenga madarasa na zahanati kwa kutumia fedha za ndani, kumbe zilikuwa mbwembwe tu.

Huyu Silinde akiendelea hivi na huu ujasiri bila shaka atakuwa waziri kamili soon.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo aliyekuwepo alikuwa miongoni mwawaliochelewesha maendeleo?na je hakuwa wa kambi pendwa
 
Bashwee hata akitoka Silinde akaja waziri/NW mwingine naye ataibua madudu ya silinde, kila mtu akija anaona mwenzake alikuwa anakosea.
Kwa hiyo anayemchelewesha mwenzie ni nani?aliyepo au aliyetangulia au aliyeondoka.
 
Asilimia kubwa ya wakuu wa shule wanaonewa tu katika hili.

1. Kwanza mkuu wa shule hajasomea mambo ya ufundi hivyo sio vzr kuadhibiwa kwa taaluma isiyo yake

2. Hela ili iweze kutoka kwenye accounrni ngumu Sana mkuu kuila maana lazma afisa elimu asaini, engeneer wilaya asaini huko shule Kuna kamati ya ujenzi.

3. Hela inayotoka haitoshi kumaliza jengo. Kwa mfano mabweni ya Sasa hiv mengi yametengewa mil 75. Kati ya hiyo hela ni mil 7.5 tu kwa ajil ya mafundi na inayobaki ni vifaa. Sasa kwa ufundi tu haitoshi. Fundi boma peke anataka Kama mil 9 Hadi 11. Bomba anataka Kama mil 1, umeme mil 1, rangi na bodi mil 3, tiles mil 2 . So ufundi peke yake unavuka mil 18 wakt kifungiu chake kikichotengwa ni 7.5. kwenye vifaa hela ndo haitoshi kabisa maana haujeng unavyotaka, injinia anapanga kila kitu. Simenti inayotumika 42.5 R, nondo zinawekwa kuanzia kwenye msingi.

4.BOQ inakuja haijajazwa bei na ukiijaza bei ukatafuta makisio ya gharama ni Kama mil 120 hiv.

5. Wageni wa kukagua ujenzi toka tamisemi, wilayani, takukukuru, usalama nk Karibu kila siku. Mkuu analazimika kutoa chakula na maji kwa hela yake tu

Nimebahatika kuwepo kwenye kamati flan ya ujenzi. Nilichokiona nawaonea huruma Sana wakuu wa shule. Nawahakikishia hapa 90% ya wakuu wanaotumbuliwa hawajala hela na muda mwingine wamedumbukiza hela zao kwenye mradi ilimradi wasitumbuliwe. Na bado wanasiasa wakifika hawamuelewi mtu
Siwakatae hayo majukum?? Mbn wanakubari! Niwahusika.

Maana km nimimi nasina masrahi nakataa, weka mtu mtaaramu wa mambo ya BOQ.
Siyo unakubari hafu mnakula tumbua tumbua ikija unalalamika.
Silinde tumbua.
 
Kwa hiyo anayemchelewesha mwenzie ni nani?aliyepo au aliyetangulia au aliyeondoka.

Katiba ndio inatuchelewesha ,tatizo kila kiongozi akija afuati guidelines anakuja na idea zake za kutengeza upigaji so lazima amkandie aliyopita ilia ajiletee uhalali.
 
Asilimia kubwa ya wakuu wa shule wanaonewa tu katika hili.

1. Kwanza mkuu wa shule hajasomea mambo ya ufundi hivyo sio vzr kuadhibiwa kwa taaluma isiyo yake

2. Hela ili iweze kutoka kwenye accounrni ngumu Sana mkuu kuila maana lazma afisa elimu asaini, engeneer wilaya asaini huko shule Kuna kamati ya ujenzi.

3. Hela inayotoka haitoshi kumaliza jengo. Kwa mfano mabweni ya Sasa hiv mengi yametengewa mil 75. Kati ya hiyo hela ni mil 7.5 tu kwa ajil ya mafundi na inayobaki ni vifaa. Sasa kwa ufundi tu haitoshi. Fundi boma peke anataka Kama mil 9 Hadi 11. Bomba anataka Kama mil 1, umeme mil 1, rangi na bodi mil 3, tiles mil 2 . So ufundi peke yake unavuka mil 18 wakt kifungiu chake kikichotengwa ni 7.5. kwenye vifaa hela ndo haitoshi kabisa maana haujeng unavyotaka, injinia anapanga kila kitu. Simenti inayotumika 42.5 R, nondo zinawekwa kuanzia kwenye msingi.

4.BOQ inakuja haijajazwa bei na ukiijaza bei ukatafuta makisio ya gharama ni Kama mil 120 hiv.

5. Wageni wa kukagua ujenzi toka tamisemi, wilayani, takukukuru, usalama nk Karibu kila siku. Mkuu analazimika kutoa chakula na maji kwa hela yake tu

Nimebahatika kuwepo kwenye kamati flan ya ujenzi. Nilichokiona nawaonea huruma Sana wakuu wa shule. Nawahakikishia hapa 90% ya wakuu wanaotumbuliwa hawajala hela na muda mwingine wamedumbukiza hela zao kwenye mradi ilimradi wasitumbuliwe. Na bado wanasiasa wakifika hawamuelewi mtu
Mambo kama haya hawataki kuyasikia hata kidogo, na hata hao ma- DEO nao lazima wale na DT na DED, ambao nao lazima wale na watu wa wizarani and the chain goes on.
 
Wewe umesomea ualimu then unakubali kupewa majukum ya ujenzi, we mhandisi wa ujenzi?

Wakati hta kwako mpk upigiwe hesabu na fundi.
Acha watumbuliwe.
 
Nimemuona Mh Silinde wakati akikagua mradi wa bweni la shule ya sekondari wilayani Tandahimba mkoani Mtwara kiukweli madudu ni mengi sana. Asiishie kutumbua wakuu wa shule tu, kwa mfumo wa sasa pesa haitoki Bila Afisa elimu kusaini na pia Mkurugenzi ( DED) lazima pia asaini sasa wakuu wa shule wengi wanalazimishwa kutoa migao kwa hao maboss wao. Mfano huyo Mkurugenzi wa wilaya ya Tandahimba Mr Said Msomoka ni fisadi wa kutupwa yeye kazi yake ni kula pesa za halmashauri tu, analazimisha watumishi wake wa chini kumpa hela za miradi wanayoisimamia, usipotoa sasa kazi unayo. To be honest Tamisemi Kuna madudu mengi sana. Big up Silinde, endelea hivyo hivyo mpaka hawa watu waogope kula pesa za serikali.
 
Mwendelezo wa kazi za serikali kufanywa kipropaganda kupitia media.
 
Najiuliza tu mbona waziri Jafo alikuwa anatamba sana kwa kujenga madarasa na zahanati kwa kutumia fedha za ndani, kumbe zilikuwa mbwembwe tu.
Kama unakumbuka Rais alisema alijiuliza sana kuhusu kumrudisha Jafo kwenye hiyo nafasi ikiwa na maana kwamba bado utendaji wake haukumkuna vilivyo, nadhani hayo ya Mtwara ni baadhi ya mambo ambayo Rais ameona ni udhaifu alionao Jaffo, ni Kama Awesso na Mbarawa
 
Mfano huyo Mkurugenzi wa wilaya ya Tandahimba Mr Said Msomoka ni fisadi wa kutupwa yeye kazi yake ni kula pesa za halmashauri tu, analazimisha watumishi wake wa chini kumpa hela za miradi wanayoisimamia, usipotoa sasa kazi unayo.
Haya yapo kwenye kila Halimashauri, migao kwa madiwani ili wasiwe wakali kwenye vikao pia inahusika, Magufuli amejitahidi kupigana vita lakini bado ana safari ndefu sana kwakuwa waasaliti wake ni hao wateule wake
 
Nilichogundua hata kiongozi ajae naye ataanza kutumbuatumbua watu watasema Madudu yalikuwa mengi
 
Back
Top Bottom