kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Ifike mahali tuwaache wapasuane wavuane nguo hawa ni genge la wahuni,
Genge la watu wasio na busara je hii vita ya maneno ni uenyekiti tu au kuna jengine limejificha,
Lissu yupo kwenye koma ya hasira ameamua kurusha kila silaha bila staha lissu hana tofauti na slaa ile siku ya hotuba yake serena hotel,Lissu amejipambanua hana cha kupoteza anatoboa mtumbwi yeye atakimbilia ughaibuni na kukiacha chama hoi .
Wenye akili wantilia shaka uongozi wao hakuna mwananchi wa kuwaamini tena,
Chama kinaendeshwa na wahuni je wahuni hawa wakipewa nchi hawawezi kuja kuwakana wananchi na kusema wamejiingiza wenyewe ikulu kwa pesa zao na kupigwa risasi.....ndugu zangu Chadema ni wa kuogopwa hasa lissu na Mbowe ni watu hatari kwa maslahi yao....
USHAURI:
Kama mbowe alivyosema baada ya uchaguzi maneno yasiyo na staha watu wasije wakalaumiana basi na nishauri fukuza lissu chamani atakufanya kama lipumba uwe umebakia kupokea mialiko ikulu bila ruzuku.....!