Kwa haya majibu ya lissu itoshe kusema Chadema ni wa kuogopwa kama ukoma

Gentleman,
yaani wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa Taifa chadema wenye akili timamu wamuunge mkono kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi mwenye tamaa hivyo? kweli? thubutu 🤣
Sema mna hofu akiingilia Lissu mirija inaweza kukatwa....hapokei Rushwa huyo mwamba na lazima hutamtaka kwa vyovyote vile.
 
Mbowe ni wa kuogopwa kinoma
 
Mangi kapokea pesa hajampa mgao Mnyapaa.

........Cdm Wahuni sana.
 
Sema mna hofu akiingilia Lissu mirija inaweza kukatwa....hapokei Rushwa huyo mwamba na lazima hutamtaka kwa vyovyote vile.
mtaalamu mbobevu mwanasiasa muandamizi kama mimi na wengine kweli tunaweza kutishwa na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi mwenye mdomo na tamaa kama huyo na asie na maono 🤣
 
Nafikiri Chadema inayo nafasi ya kuaminiwa ukilinganisha na ccm. Ni nani mwanaccm mwenue ujasiri wa kuzungumza madudu ya ccm akabaki salama? Yuko wapi Horace Kolimba?
 
Bora wezi wa Ccm wameshiba shiba kulko wezi wa CDm wao bado njaa na hasira ni kali sana….ingawa kati yao hakuna bora kwa Taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…