Aisee sijui ni lini tutapata hiki kisa, waliowengi tunasikia juu kwa juu.Hivi ishu ya babu seya ilikuwa ni kweli kuhusu msoga dynasty?
Kwahio ni kwl katembea nao
Sure. Hiki kisa hata mimi natamani nikijue kiundani.Aisee sijui ni lini tutapata hiki kisa, waliowengi tunasikia juu kwa juu.
🤣🤣Jamaa ni mwendo wa doggy ili acheze na kifua chake...😂
Baltazar akigombea Urais anapita asubuhi👇👇Alafu wasingeweza kufanya AI ya hivyo kama adhabu kwani hiyo siô adhabu ya Mwanaume
Zaidi hiyo imemuongezea Sifa na jina kûbwa àmbalo linakaribia Mfalme Suleiman
Hilo ni tukio la kwèli Kwa sehemu kûbwa.
Semà watamuua
Ufanye A.I uweke sura za wakuu wa Taasisi wakuchekee sio? Mpaka mmoja wao kajinyonga wewe bado unaona ni A.I tu?
Zile clips ni kweli jamaa kala ile mizigo
Utajuaje wake za watu sembuse huko mbali kote Equatorial Guinea?Wewe umeona, unamjua mke hata mmoja kwa Sura anaetajwa?
Shida watanzania wavivu kusoma na research. Ni rahisi sana kumanipulate wabongo na yote takaamini na kusambaza ujumbe tena hadi vyombo vikumbwaEquatorial Guinea sex tape scandal: The story behind the Baltasar Ebang Engonga leak
Dozens of videos involving a senior civil servant in Equatorial Guinea have flooded social media, shocking people in the country.www.bbc.com
Ukisoma hii link ya bbc kwa undani, unaona kuwa kuna mipango michafu ya kisiasa. Lolote linawezekana.
Mimi Sijaona video zote ila ya kwenye maji sijui mto nikaona huu ni uhuni mtupu hapa kuna mchezo umechezwa.Shida watanzania wavivu kusoma na research. Ni rahisi sana kumanipulate wabongo na yote takaamini na kusambaza ujumbe tena hadi vyombo vikumbwa
Mnakumbuka lowasa alishawahi kusingiziwa mtoto wa nje, babu seya na wanae wote eti walibaka pamoja , yaani baba na mtoto wabake pamoja, Lissu walitaka kumuu ….. kuna mamlaka fulan ukiyakanyaga wahuni wanatumwa ! Baltazar anacheo hela na familia bora, wakaona wachafue humo
Tujifunze kuwa thinker, learn and search
Mavideo yote ni takataka
Jamaa yupo strict na kazi sana lakini pamoja na yote kapiga nyumba ndogo ya mkulu…..
Ile ya kwenye maji AI transformation model iikuwa na poor ouput, througput pia haikuwa na standard GHz. Zipo AI in combination na Machine learning ambayo hiyo machine learning ina soma behavior na trends character za muhusika kisha inapeleka inputs kwenye AI tool Transformation model , hiyo ngoma ikitoka ni hardly kugundua kuwa imetengenezwa , inafanya measurements, dimensions na cubic zote…. You can not Even sense kuwa ni AI….. na unahitaji advanced AI detector kupata analysis reports …. Tools za kawaida zimekuwa bypassedMimi Sijaona video zote ila ya kwenye maji sijui mto nikaona huu ni uhuni mtupu hapa kuna mchezo umechezwa.
Sema wewe.., nikisema mimi naonekana nina nongwaSema huwa siwaelewi wanaoweka status picha za watoto wao wachanga.
Hakuna AI pale.Unaweza kudhani ni kweli kabisa Mzee Baltazar alisafisha kweli wanawake 400; dunia ya sasa imekuwa ni mazombi, just play with social media.
they believe everything from the social media without critical analysis, cha ajabu hata vyombo vya habari now days vimekuwa useless, wapo busy na nani atakuwa wa kwanza ku post.
Hii imenikumbusha enzi ya Babu Seya, Baba Kaka na watoto wote sehemu moja wamebaka.
Mwisho kabisa inakuja kujulikana kuwa jamaa alikanyaga nyaya hatari. Hiki ndio kimemkuta Baltazari matokeo yake jamaa kachafuka na wameharibu reputation ya familia
Now days kuna AI na Machine learning ambazo ni ngumu kutofautishq outputs zake na original. Ndio kinachomkuta Baltazar baada ya kukanyaga nyaya Hatari kwenye pita pita zake ndani ya jengo kuu
Vijana tuwe makini, sio kila nyaya inayojileta unataka pita nayo, chunguza kwanza mtu wake anapower kiasi gani na how stronger uta handle mikiki, wanawake wengi wa vigogo ikulu wana stress hatari maana jamaa zao hawana
Muda na wanakuaga na multiple relationships kwenye heka heka zao na hata nguvu zinakuwa low to handle kwa ulienae ndani.
Matokeo yake ukimpata mtu wake na ukimgusa tu hakuachi halaf along the way wana lose control hadi jamaa yake anastuka…… WAFWA……kama Baltazar
Nguza alikanyaga nyaya za kigogo wa state mliona kilichotokea.
kitu kingine, vijana kwa dunia ya sasa it is not worth it kuweka family issue kwenye social media , siku ukijichanganya kwenye line za wahuni utakuja kunielewa
Hakuna ulazima watu kumjua mke wako au watoto zako, hata your Staff Members hawapaswi kujua anything about your spouse and family issue except work issues
we are not perfect
Kujichanganya ni kawaida in life, unaweza ukajikuta umeingia cha kike, hata kwenye financial conflict or property conflict, mapenzi.
Manipulations alizofqnyiwa Baltazar, Nguza na Hata Mzee Kimambi na wengineo inatupa akili tunapaswa kuwa makini kwenye pita pita zetu
Famili ya Baltazar ipo kwenye shame with fake videos just for the interest of one person at the top.
Kazi kwenu
Mdogo wetu HUJIELEWISijakuelewa Beibi au una maana kuwa upo kwenye Sink la choo unajisaidia? Ila angalia Beibi uwa kuna ma-snake uwa wanaibukiaga kwenye masink ya choo.
Achana na huyo kijana HAJIELEWI… vijana wengi wameamua zao kuchagua bange maishani kama kiburudisho au ndo waonekane ma-gangstar kama wanavyodanganyana kumbe wanauvuta uchizi kwa lazima na kujiharibia maisha yao.Ikifika muda wa kureflect kuhusu maisha yako jaribu kureflect ikiwa watoto wako wanastahili mzazi kama wewe. Huna haja ya kua mpuuzi, kuna options nyingi sielewi kwanini umechagua ya upuuzi
What makes you think that account is authentic?