Ai ndo iweke sura tofauti tofauti za wake za watu?Watu hawaelewi ila ukweli zile ni AI
Dah..!Katika hili wanawake wanalakujifunza, episodes zote hakuna ya mkewe... Respect kwa Baltazar
Ungekuwa unajua Picha za Ai zinavoonekana ungeelewaAi ndo iweke sura tofauti tofauti za wake za watu?
Halafu kipi kigumu kuamini hao michepuko 400 plus?
Zile video za huyo mwamba zimerekodiwa kwa simu yenye camera yenye viwango...video hazina giza giza ...sura za watu wote zinaonekana ka kwenye muvi vile...hakuna editing wala nini.Unaweza kudhani ni kweli kabisa Mzee Baltazar alisafisha kweli wanawake 400; dunia ya sasa imekuwa ni mazombi, just play with social media.
they believe everything from the social media without critical analysis, cha ajabu hata vyombo vya habari now days vimekuwa useless, wapo busy na nani atakuwa wa kwanza ku post.
Hii imenikumbusha enzi ya Babu Seya, Baba Kaka na watoto wote sehemu moja wamebaka.
Mwisho kabisa inakuja kujulikana kuwa jamaa alikanyaga nyaya hatari. Hiki ndio kimemkuta Baltazari matokeo yake jamaa kachafuka na wameharibu reputation ya familia
Now days kuna AI na Machine learning ambazo ni ngumu kutofautishq outputs zake na original. Ndio kinachomkuta Baltazar baada ya kukanyaga nyaya Hatari kwenye pita pita zake ndani ya jengo kuu
Vijana tuwe makini, sio kila nyaya inayojileta unataka pita nayo, chunguza kwanza mtu wake anapower kiasi gani na how stronger uta handle mikiki, wanawake wengi wa vigogo ikulu wana stress hatari maana jamaa zao hawana
Muda na wanakuaga na multiple relationships kwenye heka heka zao na hata nguvu zinakuwa low to handle kwa ulienae ndani.
Matokeo yake ukimpata mtu wake na ukimgusa tu hakuachi halaf along the way wana lose control hadi jamaa yake anastuka…… WAFWA……kama Baltazar
Nguza alikanyaga nyaya za kigogo wa state mliona kilichotokea.
kitu kingine, vijana kwa dunia ya sasa it is not worth it kuweka family issue kwenye social media , siku ukijichanganya kwenye line za wahuni utakuja kunielewa
Hakuna ulazima watu kumjua mke wako au watoto zako, hata your Staff Members hawapaswi kujua anything about your spouse and family issue except work issues
we are not perfect
Kujichanganya ni kawaida in life, unaweza ukajikuta umeingia cha kike, hata kwenye financial conflict or property conflict, mapenzi.
Manipulations alizofqnyiwa Baltazar, Nguza na Hata Mzee Kimambi na wengineo inatupa akili tunapaswa kuwa makini kwenye pita pita zetu
Famili ya Baltazar ipo kwenye shame with fake videos just for the interest of one person at the top.
Kazi kwenu
Mimi ninazo na nimepitisha kwenye AI video detector tools, zote ni AIZile video za huyo mwamba zimerekodiwa kwa simu yenye camera yenye viwango...video hazina giza giza ...sura za watu wote zinaonekana ka kwenye muvi vile...hakuna editing wala nini.
Acheni ujinga hakuna AI paleWatu hawaelewi ila ukweli zile ni AI
Ni imani tu
Source ?
Nitumie picha yako in private halafu nitumie na picha ya mwanamke yoyote au hata mwanaume ukitaka ……. Nikupige kwenye AI transformation model halaf uje ku comment tena hapa of the sameAcheni ujinga hakuna AI pale
Wabongo mnapenda sana ujuaji kwenye vitu msivyojua
Hakuna AI mkuu. Familia ya yule mjamzito inayosemekana ana unasaba nae ingekuwa imeshaamka kwa udhalilishaji.Unaweza kudhani ni kweli kabisa Mzee Baltazar alisafisha kweli wanawake 400; dunia ya sasa imekuwa ni mazombi, just play with social media.
they believe everything from the social media without critical analysis, cha ajabu hata vyombo vya habari now days vimekuwa useless, wapo busy na nani atakuwa wa kwanza ku post.
Hii imenikumbusha enzi ya Babu Seya, Baba Kaka na watoto wote sehemu moja wamebaka.
Mwisho kabisa inakuja kujulikana kuwa jamaa alikanyaga nyaya hatari. Hiki ndio kimemkuta Baltazari matokeo yake jamaa kachafuka na wameharibu reputation ya familia
Now days kuna AI na Machine learning ambazo ni ngumu kutofautishq outputs zake na original. Ndio kinachomkuta Baltazar baada ya kukanyaga nyaya Hatari kwenye pita pita zake ndani ya jengo kuu
Vijana tuwe makini, sio kila nyaya inayojileta unataka pita nayo, chunguza kwanza mtu wake anapower kiasi gani na how stronger uta handle mikiki, wanawake wengi wa vigogo ikulu wana stress hatari maana jamaa zao hawana
Muda na wanakuaga na multiple relationships kwenye heka heka zao na hata nguvu zinakuwa low to handle kwa ulienae ndani.
Matokeo yake ukimpata mtu wake na ukimgusa tu hakuachi halaf along the way wana lose control hadi jamaa yake anastuka…… WAFWA……kama Baltazar
Nguza alikanyaga nyaya za kigogo wa state mliona kilichotokea.
kitu kingine, vijana kwa dunia ya sasa it is not worth it kuweka family issue kwenye social media , siku ukijichanganya kwenye line za wahuni utakuja kunielewa
Hakuna ulazima watu kumjua mke wako au watoto zako, hata your Staff Members hawapaswi kujua anything about your spouse and family issue except work issues
we are not perfect
Kujichanganya ni kawaida in life, unaweza ukajikuta umeingia cha kike, hata kwenye financial conflict or property conflict, mapenzi.
Manipulations alizofqnyiwa Baltazar, Nguza na Hata Mzee Kimambi na wengineo inatupa akili tunapaswa kuwa makini kwenye pita pita zetu
Famili ya Baltazar ipo kwenye shame with fake videos just for the interest of one person at the top.
Kazi kwenu
Sasa ilikuwa rahisi kama ungeweka results ya hiyo tool uliyotumia tofauti na maneno yako.Mimi ninazo na nimepitisha kwenye AI video detector tools, zote ni AI
Unayo AI video detector ? Ni ya kulipia, pitisha hizo video nipe majibu
TZ ni very poor country hata technology huchelewa kufika, imagine hadi karne hii TZ kuna watu wanalipia eti kufanyiwa matangazo instagram 😹😹😹😹😹
Unahitaji ujinga kiwango cha reli kuamini hayo mavideo
Hata ya mke wake ni fake
Jamaaa kakanyaga pabaya
Ni reputation.Hakuna AI mkuu. Familia ya yule mjamzito inayosemekana ana unasaba nae ingekuwa imeshaamka kwa udhalilishaji.
Then ukitaka kujua kama jamaa anapenda huo mchezo, angalia familia yake. Watoto sita wanaofuatana vimo kama steers. Kheri yake ana hela ila kama Angekuwa hana hela wale watoto wangekuwa na utapia.
Ina maana hata yule aliyejiua ni AI sio?