Kwa haya ya Baltazar, kuna nyaya kwenye maisha hupaswi kuzikanyaga na pia privacy kwenye mambo ya familia ni muhimu

Kwa haya ya Baltazar, kuna nyaya kwenye maisha hupaswi kuzikanyaga na pia privacy kwenye mambo ya familia ni muhimu

Zile video za huyo mwamba zimerekodiwa kwa simu yenye camera yenye viwango...video hazina giza giza ...sura za watu wote zinaonekana ka kwenye muvi vile...hakuna editing wala nini.
Alafu wewe utakuwa ulimwengu wa teknolojia umekutupa mkono, yani wewe unawaza eti camera yenye viwango, ungezaliwa kipindi cha Kinjeketile au chifu Mkwawa ungebisha tu vilevile kuwa hakuna ndege inaweza kubeba gari la Tani mbili alafu ikaweza kupaa.

AI inauwezo wa kumuonesha Barthazar mdomo wake kwa kumuangali unatamka maneno ya kisukuma ilhali hata kindengeleko hajui.

Wenzako sasa hiyo teknolojia ya AI wameianza kitambo wapo kwenye Laser technology
 
Dah..!
Ujue umeongea kitu kilinifikirisha pia..! Jamaa hakuwahi kum record mkewe, means alikua ana mheshimu...!

Wale Wanawake wengine aliwa record japo wengine ni wake za Watu, means aliwachukulia kama Malaya tu.
Heshima yake iko wapi? Kulala na wanawake kibao tena bila kinga ndio heshima loh. Ni muhuni tu yule.
 
Hakuna AI mkuu. Familia ya yule mjamzito inayosemekana ana unasaba nae ingekuwa imeshaamka kwa udhalilishaji.
Then ukitaka kujua kama jamaa anapenda huo mchezo, angalia familia yake. Watoto sita wanaofuatana vimo kama steers. Kheri yake ana hela ila kama Angekuwa hana hela wale watoto wangekuwa na utapia.
Ina maana hata yule aliyejiua ni AI sio?
kwamba watoto wakifatana wanakua na utapiamlo

mkuu utakuwa mgeni hii Tz na vijiji vyake hasa usukumani huko
 
Unaweza kudhani ni kweli kabisa Mzee Baltazar alisafisha kweli wanawake 400; dunia ya sasa imekuwa ni mazombi, just play with social media.

they believe everything from the social media without critical analysis, cha ajabu hata vyombo vya habari now days vimekuwa useless, wapo busy na nani atakuwa wa kwanza ku post.

Hii imenikumbusha enzi ya Babu Seya, Baba Kaka na watoto wote sehemu moja wamebaka.

Mwisho kabisa inakuja kujulikana kuwa jamaa alikanyaga nyaya hatari. Hiki ndio kimemkuta Baltazari matokeo yake jamaa kachafuka na wameharibu reputation ya familia

Now days kuna AI na Machine learning ambazo ni ngumu kutofautishq outputs zake na original. Ndio kinachomkuta Baltazar baada ya kukanyaga nyaya Hatari kwenye pita pita zake ndani ya jengo kuu

Vijana tuwe makini, sio kila nyaya inayojileta unataka pita nayo, chunguza kwanza mtu wake anapower kiasi gani na how stronger uta handle mikiki, wanawake wengi wa vigogo ikulu wana stress hatari maana jamaa zao hawana
Muda na wanakuaga na multiple relationships kwenye heka heka zao na hata nguvu zinakuwa low to handle kwa ulienae ndani.

Matokeo yake ukimpata mtu wake na ukimgusa tu hakuachi halaf along the way wana lose control hadi jamaa yake anastuka…… WAFWA……kama Baltazar

Nguza alikanyaga nyaya za kigogo wa state mliona kilichotokea.

kitu kingine, vijana kwa dunia ya sasa it is not worth it kuweka family issue kwenye social media , siku ukijichanganya kwenye line za wahuni utakuja kunielewa

Hakuna ulazima watu kumjua mke wako au watoto zako, hata your Staff Members hawapaswi kujua anything about your spouse and family issue except work issues

we are not perfect

Kujichanganya ni kawaida in life, unaweza ukajikuta umeingia cha kike, hata kwenye financial conflict or property conflict, mapenzi.

Manipulations alizofqnyiwa Baltazar, Nguza na Hata Mzee Kimambi na wengineo inatupa akili tunapaswa kuwa makini kwenye pita pita zetu

Famili ya Baltazar ipo kwenye shame with fake videos just for the interest of one person at the top.

Kazi kwenu
AI icheze na misura ya wake za wakubwa tupu?

Na wengine baada ya kashifa kubamba wakakimbilia kamba za katani ili kuua soo.

Weee bw. Acha kuitoa mada kwenye reli, jamaa alizini nao kweli, kwa muda mrefu katika maeneo mbali mbali na kuwarekodi.

Jana wakati akikingiwa kifua na mahakama, ilisema kuwa hao aliowalala ni watu wazima wenye utashi wao.
So kwanini mahakama isimsamehe kwa gia ya AI?
 
Hii mikono inayotype haya matusi ndiyo unatumia kumshika mama yako? Ndiyo hii unatumia kumbeba mwanao?
Sijakuelewa Beibi au una maana kuwa upo kwenye Sink la choo unajisaidia? Ila angalia Beibi uwa kuna ma-snake uwa wanaibukiaga kwenye masink ya choo.
 
Kama ni AI alipelekwa mahakamani kufanya nini?
Umesikiliza hukumu ya ile kesi?
Kwanini mahakama haijasema zile ni picha za kutengenezwa sio halisi?
Je Kama fake Kwanini wale walioshiriki wamefukuzwa kazi?

Sent from my SM-A325N using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kupelekwa mahakamani ndiyo kuhukumiwa? Kule ndipo ushahidi utatolewa! Watu wanahoji mbona wengine wamejiua ukiwauliza nani kajiua ushahidi hawana zaidi ya picha ya mtu amelala yaani hii nchi imejaa watu wajinga sana.
 
Hakuna AI mkuu. Familia ya yule mjamzito inayosemekana ana unasaba nae ingekuwa imeshaamka kwa udhalilishaji.
Then ukitaka kujua kama jamaa anapenda huo mchezo, angalia familia yake. Watoto sita wanaofuatana vimo kama steers. Kheri yake ana hela ila kama Angekuwa hana hela wale watoto wangekuwa na utapia.
Ina maana hata yule aliyejiua ni AI sio?
Hata hiyo picha ya watoto ni AI
 
Very good observation. Mi niliziangalia zile video nikagundua something fishy.
Ukiangalia video zote utagundua kuwa jamaa na mtu wake wanayenjunju wanajirekodi na wote wanaingalia camera. Ktk uhalisia hicho kitendo si cha kawaida, mke wa mtu au demu wa kitaa atakubali kutoa nyapu lakini si rahisi akubali kurekodi tukio.

Pili, mademu wengi anaofanya nao hawaoneshi Ile facial expression ya kupokea mkuyenge kwenye via vya uzazi. Wote wanaonekana kuwa na blunt affect ambayo hai_reflect real scenario ya tendo Hilo.
 
Back
Top Bottom