Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kwa hiyo hata AI hauzijui? Angalia video ngingine mpaka jamaa anaset camera. Kwa hiyo mawaziri na wakubwa wameamua wake zao wachafuliwe majina?Umejuaje sio AI ?
Tafuta picha za watu wengine utengeneze kwani picha si ziko kibao mitandaoniNitumie picha yako in private halafu nitumie na picha ya mwanamke yoyote au hata mwanaume ukitaka ……. Nikupige kwenye AI transformation model halaf uje ku comment tena hapa of the same
Kivipi ni AIWatu hawaelewi ila ukweli zile ni AI
Alafu wewe utakuwa ulimwengu wa teknolojia umekutupa mkono, yani wewe unawaza eti camera yenye viwango, ungezaliwa kipindi cha Kinjeketile au chifu Mkwawa ungebisha tu vilevile kuwa hakuna ndege inaweza kubeba gari la Tani mbili alafu ikaweza kupaa.Zile video za huyo mwamba zimerekodiwa kwa simu yenye camera yenye viwango...video hazina giza giza ...sura za watu wote zinaonekana ka kwenye muvi vile...hakuna editing wala nini.
Hauna unachojua kuhusu AI mwehu weweMshamba mwenyewe usiyejua kitu uko Africa unajihisi mjanja!
Heshima yake iko wapi? Kulala na wanawake kibao tena bila kinga ndio heshima loh. Ni muhuni tu yule.Dah..!
Ujue umeongea kitu kilinifikirisha pia..! Jamaa hakuwahi kum record mkewe, means alikua ana mheshimu...!
Wale Wanawake wengine aliwa record japo wengine ni wake za Watu, means aliwachukulia kama Malaya tu.
Mwehu Baba Yako aliyekuzaa ukawa pungaHauna unachojua kuhusu AI mwehu wewe
Mnaleta mada msizozielewa mkikosolewa mnaanza matusiMwehu Baba Yako aliyekuzaa ukawa punga
Au sio?!Alafu wasingeweza kufanya AI ya hivyo kama adhabu kwani hiyo siô adhabu ya Mwanaume
Zaidi hiyo imemuongezea Sifa na jina kûbwa àmbalo linakaribia Mfalme Suleiman
Hilo ni tukio la kwèli Kwa sehemu kûbwa.
Semà watamuua
Hii mikono inayotype haya matusi ndiyo unatumia kumshika mama yako? Ndiyo hii unatumia kumbeba mwanao?Sasa wewe Shoga kwani upo Lodge ? Kuna maandishi yasiyokuwa na maelezo ? Au unahamu wa muda mrefu ya kumegwa bila oil ya engine.
kwamba watoto wakifatana wanakua na utapiamloHakuna AI mkuu. Familia ya yule mjamzito inayosemekana ana unasaba nae ingekuwa imeshaamka kwa udhalilishaji.
Then ukitaka kujua kama jamaa anapenda huo mchezo, angalia familia yake. Watoto sita wanaofuatana vimo kama steers. Kheri yake ana hela ila kama Angekuwa hana hela wale watoto wangekuwa na utapia.
Ina maana hata yule aliyejiua ni AI sio?
AI icheze na misura ya wake za wakubwa tupu?Unaweza kudhani ni kweli kabisa Mzee Baltazar alisafisha kweli wanawake 400; dunia ya sasa imekuwa ni mazombi, just play with social media.
they believe everything from the social media without critical analysis, cha ajabu hata vyombo vya habari now days vimekuwa useless, wapo busy na nani atakuwa wa kwanza ku post.
Hii imenikumbusha enzi ya Babu Seya, Baba Kaka na watoto wote sehemu moja wamebaka.
Mwisho kabisa inakuja kujulikana kuwa jamaa alikanyaga nyaya hatari. Hiki ndio kimemkuta Baltazari matokeo yake jamaa kachafuka na wameharibu reputation ya familia
Now days kuna AI na Machine learning ambazo ni ngumu kutofautishq outputs zake na original. Ndio kinachomkuta Baltazar baada ya kukanyaga nyaya Hatari kwenye pita pita zake ndani ya jengo kuu
Vijana tuwe makini, sio kila nyaya inayojileta unataka pita nayo, chunguza kwanza mtu wake anapower kiasi gani na how stronger uta handle mikiki, wanawake wengi wa vigogo ikulu wana stress hatari maana jamaa zao hawana
Muda na wanakuaga na multiple relationships kwenye heka heka zao na hata nguvu zinakuwa low to handle kwa ulienae ndani.
Matokeo yake ukimpata mtu wake na ukimgusa tu hakuachi halaf along the way wana lose control hadi jamaa yake anastuka…… WAFWA……kama Baltazar
Nguza alikanyaga nyaya za kigogo wa state mliona kilichotokea.
kitu kingine, vijana kwa dunia ya sasa it is not worth it kuweka family issue kwenye social media , siku ukijichanganya kwenye line za wahuni utakuja kunielewa
Hakuna ulazima watu kumjua mke wako au watoto zako, hata your Staff Members hawapaswi kujua anything about your spouse and family issue except work issues
we are not perfect
Kujichanganya ni kawaida in life, unaweza ukajikuta umeingia cha kike, hata kwenye financial conflict or property conflict, mapenzi.
Manipulations alizofqnyiwa Baltazar, Nguza na Hata Mzee Kimambi na wengineo inatupa akili tunapaswa kuwa makini kwenye pita pita zetu
Famili ya Baltazar ipo kwenye shame with fake videos just for the interest of one person at the top.
Kazi kwenu
Sijakuelewa Beibi au una maana kuwa upo kwenye Sink la choo unajisaidia? Ila angalia Beibi uwa kuna ma-snake uwa wanaibukiaga kwenye masink ya choo.Hii mikono inayotype haya matusi ndiyo unatumia kumshika mama yako? Ndiyo hii unatumia kumbeba mwanao?
Kwa hiyo kupelekwa mahakamani ndiyo kuhukumiwa? Kule ndipo ushahidi utatolewa! Watu wanahoji mbona wengine wamejiua ukiwauliza nani kajiua ushahidi hawana zaidi ya picha ya mtu amelala yaani hii nchi imejaa watu wajinga sana.Kama ni AI alipelekwa mahakamani kufanya nini?
Umesikiliza hukumu ya ile kesi?
Kwanini mahakama haijasema zile ni picha za kutengenezwa sio halisi?
Je Kama fake Kwanini wale walioshiriki wamefukuzwa kazi?
Sent from my SM-A325N using JamiiForums mobile app
Hata hiyo picha ya watoto ni AIHakuna AI mkuu. Familia ya yule mjamzito inayosemekana ana unasaba nae ingekuwa imeshaamka kwa udhalilishaji.
Then ukitaka kujua kama jamaa anapenda huo mchezo, angalia familia yake. Watoto sita wanaofuatana vimo kama steers. Kheri yake ana hela ila kama Angekuwa hana hela wale watoto wangekuwa na utapia.
Ina maana hata yule aliyejiua ni AI sio?