Kwa haya ya Baltazar, kuna nyaya kwenye maisha hupaswi kuzikanyaga na pia privacy kwenye mambo ya familia ni muhimu

Mkuuu usitumue nguvu kubwa sana kumuelekeza mtu .
Kama anabisha mwambie anitumie mimi video zake ata mbili akiwa anacheza alafu tamfanyia mafekeche kama yaliyomtokea ndugu yetu Vishu Mtata

Nipo Hapa ku prove ishu nzima za AI wanaobisha watume picha zao alafu waone tunavyo fanya
 
Hakuna kwenda pole hapa😂😂😂
 
Kama ni AI kwanini watu wanajiua?
 
Ndio watanzania tulivyo mkuu, hapo utakuta hata huyo jamaa ni katoto ka first year udom na ndio kwanza kamejifunza AI juzi
 
Ikifika muda wa kureflect kuhusu maisha yako jaribu kureflect ikiwa watoto wako wanastahili mzazi kama wewe. Huna haja ya kua mpuuzi, kuna options nyingi sielewi kwanini umechagua ya upuuzi
Jamaa una maneno ya ajabu wewe.

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…