Kwa haya ya Baltazar, kuna nyaya kwenye maisha hupaswi kuzikanyaga na pia privacy kwenye mambo ya familia ni muhimu

Kwa haya ya Baltazar, kuna nyaya kwenye maisha hupaswi kuzikanyaga na pia privacy kwenye mambo ya familia ni muhimu

Ungekuwa unajua Picha za Ai zinavoonekana ungeelewa
Those are not really

That was a project mzee, chunguza vema hizo video. Ukitaka hata sura yako itatokea, AI jinsi inao input na kucommqnd ndio unapata out unayotaka

Hata ukitaka aonekane Beyonce anamfanyia Bqltqzar Blow job it is easy

Learn to be smart kwenye ulimwengu wa innovation and technology
Mkuuu usitumue nguvu kubwa sana kumuelekeza mtu .
Kama anabisha mwambie anitumie mimi video zake ata mbili akiwa anacheza alafu tamfanyia mafekeche kama yaliyomtokea ndugu yetu Vishu Mtata

Nipo Hapa ku prove ishu nzima za AI wanaobisha watume picha zao alafu waone tunavyo fanya
 
Mahali nimeona kuwa Balthazar alikuwa na kesi ya upotevu mkubwa wa pesa ya umma,

Wakamkata then wakaenda kwake wakachukua baadhi ya vitu vyake kama laptop ambayo waliifungua na kufanya yaliyoonekana

Ukisema nyaya ni kweli, siamini kama Balthazar ameyafanya yote

Vijana nendeni polepole.
Hakuna kwenda pole hapa😂😂😂
 
Mimi ninazo na nimepitisha kwenye AI video detector tools, zote ni AI

Unayo AI video detector ? Ni ya kulipia, pitisha hizo video nipe majibu

TZ ni very poor country hata technology huchelewa kufika, imagine hadi karne hii TZ kuna watu wanalipia eti kufanyiwa matangazo instagram 😹😹😹😹😹

Unahitaji ujinga kiwango cha reli kuamini hayo mavideo

Hata ya mke wake ni fake

Jamaaa kakanyaga pabaya
Kama ni AI kwanini watu wanajiua?
 
Kwamba wewe ndo una access ya A.I detector tools ila yeye, mawakili wake, marafiki zake, wale wanawake & waume zao hawana access wala hawaijui hiyo A.I detector tools ili iwatoe kwenye hiyo aibu?

Yaani serikali ichukue uamuzi wa kufukuza wale wanawake wote serikalini na wanajua kua hizo ni A.I maana they have all the tools at their disposal?

Haya yatakua ni maajabu.
Ndio watanzania tulivyo mkuu, hapo utakuta hata huyo jamaa ni katoto ka first year udom na ndio kwanza kamejifunza AI juzi
 
Ikifika muda wa kureflect kuhusu maisha yako jaribu kureflect ikiwa watoto wako wanastahili mzazi kama wewe. Huna haja ya kua mpuuzi, kuna options nyingi sielewi kwanini umechagua ya upuuzi
Jamaa una maneno ya ajabu wewe.

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom