Kwa haya ya Baltazar, kuna nyaya kwenye maisha hupaswi kuzikanyaga na pia privacy kwenye mambo ya familia ni muhimu

"Nguza alikanyaga nyaya za kigogo wa state mliona kilichotokea."

Hii ni topic japo umeiweka kama sub topic.
Kama hii ya nguza ilkua ni igizo basi ni hatar sana Kwa ule ushahid uliosukwa unless kama haujawai soma hukumu zake kuanzia mahakama ya Hakimi mkazi mpka court of appeal
 
Ulipoongea ya Babu seya ndio nikaamini we ni popoma,wale wa "hearsays with no facts" yaani kesi rufaa ikatwe mpaka mahakama ya afrika halafu waangukie pua? Muulize Mabere Nyaucho Marando akueleze ukweli wa Mambo,mwanzoni ulipoanza thread yako nikajua una hoja Ila ulipofika hapo tu nikagundua kumbe ni mzee wa viroja
Upuuzi mtupu,ujuaji mwingi mbele kiza
 
Ubinadam uko wapi? .utu na heshima ya muafrika iko wap?maadili yako wapi? Kujitambua kwa mwanaume kuko wapi? Hizo clip ziko wapi?
 
Ianze mara ya ngapi?

Na serikali nayo kutimua wahusika haikua na AI detector? Au unadhani serikali inakurupuka inapotoa uamuzi?
Pale kuna picha za ukweli na AI, sio picha zote ni halisi, kwa kuwa kayakanyaga kwa baadhi ya wake za vigogo, system lazima imuuzie kesi nyingine za kutengeneza ili umma nao uone kuwa hatua zilizochukuliwa au zitakazochukuliwa kuwa hakuonewa. Na hapo wapo watakaotolewa kafara kwa sababu ya mtu mmoja.
 
Nimekufuatilia vizur maelezo yako legend

Binafsi naomba kujua yafuatayo,je Al iliyotumika ina maana kuna watu walifanya tukio la sex ila sura za Bartazar na wanawake zikaingizwa tu?

Au

Al inatengeneza tukio zima kwa maana unachukua picha yangu na demu yeyote yule kisha Al inatengeneza tukio zima yenyewe?

Nikipata majibu hapa ntakuwa nimepata uelewa mzuri na kuamini maelezo yako

Shukrani
 
Dada yangu unajifanya ngangari !!!!
Kwa bahati nzuri dada ni binadamu Tena mwenye thamani kubwa. Kukuthibitishia mwanamke ni kiumbe wa thamani, ni pale ambapo sisi wanaume huwa tunauana tukifumaniana, lakini sijawahi kuona mwanamke anaua mwenzake katika fumanizi! Hivyo kuniita dada hakunisumbui
 
Nimeiona dhamani yako ndio maana nilikwita Dada au nimekosea ulitaka nikuite Mama ?
 
Akili za kuambiwa changanya na za kwako, sawa amepita na wake wa vigogo ila picha ipi ya mke wa mwanasheria mkuu wa serikali au picha ya mkuu wa usalama umeiona ?
Manamake yote yanayoonekana hayajulikani ila unasikia kalala na wake wa wakubwa hao wanawake Wala huwaoneshwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…